MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.
Hali ya hewa ya ukame inashawishi kuwa kufika mwezi June kutakuwa na upungufu wa chakula
Wakulima wenye nafaka tutakula kuku Kwa mrija😄
Vijana mawinga na wengine wanaojifanya wa mjini njaa zitawauma na chakula mtanunua tu,
Nilileta Uzi hapa nikitafuta wateja wa mahindi Nina zaidi ya Tani 10...
Kutokana na magari kuwa na tozo za kila aina, napendekeza muda wa kutoza gharama za maegesho mijini uishie saa kumi na moja jioni (17h00)
Nimependekeza hivyo kwa sababu, malipo hutumika kwa lisaa limoja, inamaana kwa kuishia saa kumi na moja wateja wanakuwa tayari wamelipia hadi saa kumi na...
Kama wewe ni mtoto wa Elon Musk, usisome uzi huu, haukufai!
Kila siku, vijana wengi wanatumia muda mwingi kuandika nyuzi mitandaoni kuhusu mambo yasiyo na faida kwa maisha yao ya baadaye. Kwa mfano mtu anaandika uzi wenye kichwa: “Bibi yako alikuwa na vidole vingapi?” Wengine wanazungumzia...
Habarini wakuu, mimi uhuru one nataka kujua muda sahihi wa wakristo kupata kifungua kinywa baada ya fungwa ya kutwa nzima.
Tukumbuke Ramadhani hii imeambatana na ndugu zetu nao wanatimiza funga ya kwa RESMA ila nataka kufahamu namna ya kufuturu, kwanini nimeuliza hivi???
Nipo kariakooo pale...
Hili sio kwa Raisi Samia pekee ni utamaduni hata wakati wa Kikwete
1. Wakati wenzetu wa South Afica na Kenya wana enda na katiba zao za Dunia ya sasa Tanzania tunapoteza muda . Kikwete aliweka jitihada fake za kisiasa badala ya kujali nchi mwaka 2014 na 2015 kama nchi tumepoteza muda wote huu...
Hili tatizo limekuwa linanitokea mara nyingi sana kiasi kwamba nashindwa kukaa na nywele mda mrefu sasa sijui ni mba au kitu gani, naombeni msaada wa dawa gani ya kutumia wakuu.
Habari ya muda wanajamii,niende Moja kwa Moja kwenye lengo tajwa hapo juu.mimi ninaujuzi kwenye kampuni zinazotoa mikopo midogo na ya kati(Small and medium sized loans).I offer my services in three different angles:
1.Finance and Accounting.
All works concerning accounting and Finance i.e...
Wakuu
Huu ndio ukweli mchungu! Usimba na Uyanga ukiwekwa pembeni, Eng. Hersi anafaa kuwa Rais wa TFF baada ya Karia kumaliza muda wake
Eng. Hersi ana sifa na uzoefu mkubwa katika uongozi wa soka, hasa kupitia nafasi yake ndani ya Yanga SC, tangu amechukua nafasi hiyo kubwa katika ngazi ya...
Muda mwingine nawaza na nakuja na jibu kuwa hawa wa-houthi ni mchongo, hawa jamaa ni silaha ya mtu, ni fimbo ya mamlaka fulani kuendelea kufanya fujo katika ukanda ule.
Ebu imagine kipindi kile nyerere ametoka kumdungua amin hadi nchi ikaingia katika ukata, huyo tena aanze kuwashambulia wakenya...
Hii inaweza saidia kupunguza tatizo la ajira nchini ikibidi kutoka miaka 60 mpka 45 au 50 ili vijana nao wapate nafasi kwani hii itatoa nafasi nyingi katika kada mbalimbali .
Kwa ufupi ni kwamba huyu binti tumejuana miaka kumi na moja imepita, Mimi nilikua advance yeye alikua madarasa ya chini, offcourse tumepitia vingi sana kuzinguana hapa na pale, kuna kipindi hapo kati nikaanza mitikasi ya kutafuta mke nioe, maana niliona huyu Mwanamke kama uchumba migogoro ni...
Ukistaajabu ya Musa...Arusha Technical College ni kati ya vyuo Bora na vyenye sifa nzuri hasa kwenye swala la ufundi ndo maana serikali imeipa pia jukumu la kufundisha madereva na kutoa vyeti vinavyotambukilika na serikali.
Ili kuwezesha hili ATC inapaswa kusajiliwa katika mfumo unaounganisha...
Hii ni kwa aina zote za muziki. Bila kupoteza muda ni kama ifuatavyo;
1. Dr Remmy Ongala
2. Marijani Rajabu
3. John Komba
4. Baraka Mwinshehe
5. Banzastone
6. Saida Karoli
7. Papii Kocha
8. Profesa Jay
9. Shilole (Shishi baby)
10. Rose Mhando
11. Lady JayDee
12. Nikki wa II
13. Joseph Mbilinyi...
Hapo vip!!
Andiko hili linatia faraja sana ukilisoma na kama litajidhihirisha kwa matendo ila unapokuja kugundua na kuona kihalisia ni ngumu kulifanyia kazi kwa vitendo na kiroho inaumiza na inakatisha tamaa,labda mimi ndio sielewi ila mwenye ufahamu anifungue kwenye andiko hili.
Mimi binafsi...
Nimepiga simu Tanesco kwa namba yao mpya namba 180 ambayo walisema ni bure. Lakini cha ajabu imekata muda wangu wa maongezi. Tusifike mahala tukawaita majina mabaya kuweni realistic. Asante sana
MASIHARA!
Kuna watu mwezi huu (mwezi wa mfungo) wanatumiana jumbe za simu za namna hii licha ya kwamba na wenyewe wanashiriki mfungo.
Mwanaume:👁️🗨️ "Baby tukimaliza kufuturu, mida ya saa moja na nusu tuonane pale pale pa' siku zote".
Mwanamke:👁️🗨️ "Mh sawa. Ila tusitumie muda mrefu ili...
Hizi ni picha zikionesha umati wa watu kutoka taifa la marekani ambao ni waislamu wakiswali swala ya Taraweeh eneo la Times square katika jiji la New york nchini Marekani. Kwa ishara hii naona kabisa mpaka miaka ya 2050 ukristo utakuwa unaelekea kujifia huko nchini Marekani.
Hilo nimelibaini katika pitapita zangu huko twitter.
Na kingine na maana ubunifu wa kutengeneza maudhui umeisha hadi content nyingi ziwe zina relate tu na mambo ya uasherati na uzinzi🤔
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.