muda

MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. mwasamasole

    JamiiForums Tanzania Watanzania tukubaliane na Zitto Kabwe, kumpa muda Rais Samia

    Ni ukweli usiopingika kuwa mfumo uliopo sasa hivi unaoongoza nchi yetu ni mfumo uliosukwa na hayati Magufuli, hivyo siyo rahisi kwa rais aliyepo kuoneasha mabadiliko makubwa na ya kushangaza yanayoweza kuwa tofauti na mtangulizi wake. Hivyo baada ya muda fulani ambapo atakua kafanya mabadiliko...
  2. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Kama Mtanzania namshauri Spika Ndugai kuwa huu si muda wa vijembe na utani kwa kina Mbowe. Tujibu hoja chafu za awamu iliyopita

    Nimemsikia Spika wetu akibeza baadhi ya viongozi wa Upinzani na wengineo kuwa hawakufanya lolote wakiwa wabunge akiwemo Mh. Mbowe na wengine. Ati Hai sasa ndo imepata Mbunge wa kuisemea! Nimejiuliza mengi kama Mtanzania kuwa tunataka kujenga nchi ya aina gani? Tutaendelea kuudanganya Ulimwengu...
  3. Half american

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi wanawake huwa mnasamehe kweli baada ya muda gani?

    Habari za wikiendi wakuu, bila kupoteza wakati niende moja kwa moja kwa linalonitatiza. Kama mnavyojua kuwa kukosea ni sehemu ya maisha na mda mwingine ni njia moja wapo ya kujifunza(sihalalishi kukosea kuwa ni sahihi). Baada ya kutambua kosa ni kuomba samahani na hapa kuna...
  4. Alvin Slain

    JamiiForums Tanzania Biashara gani zinazoingiza mamilioni kwa muda mfupi?

    Taarifa za kufanikiwa katika biashara zinapatikana kila mahali lakini hakuna mahali wamenyesha hizo biashara zinazosababisha hayo mafanikio, ni biashara za aina gani hizo? Soko la mitaji likiwa katika hali ya kuzorota. Ni biashara gani inayoweza kukufanya kuwa milionea katika kipindi cha miaka...
  5. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Je, ilichukua muda gani kuanza kupata faida katika biashara yako?

    Habari wakuu! Kuendesha biashara inahitaji akili nyingi sana, huu uzi ni maalum kwa watu ambao wamewahi kuanzisha biashara na zikafanikiwa. Katika biashara kuna mtaji (Fungu la pesa la kueendeshea biashara), matumizi (kodi ya fremu, umeme, ulinzi, usafirishaji n.k) pia kuna faida (Mauzo -...
  6. Applicant

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najua kuna watakaonicheka kuwa mimi ni mzembe lakini muda mwingine inahitajika kupumzika

    Wataalamu mpo? Kwema? Niliwamisi sana. Juzi bana nilitoka out na shemeji yenu mmoja hivi ambae ndio bado hatuna hata week 2, tulitoka weekend tulikunywa vinywaji kiasi baada ya kuchangamka akapendekeza twende kwake nikapumzike kwanza then ndio niende home kwangu kwakua kwake sio mbali na hapo...
  7. Podcast

    JamiiForums Tanzania Muda gani ni sahihi kuondoka bar?

    Wakuu habari za muda huu, Naomba tusaidiane kujibu hili swali, na litawahusu wanywaji na walevi tu maana ndio watakao elewa nini namaanisha hapa. Wakuu ile time umefika Bar ukaanza kutia vitu huwa ni muda gani kwako unaona ni muafaka kuondoka na kurudi nyumbani?
  8. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inakera sana: Mtu umemlipia nauli kutoka mkoa hadi mkoa baada ya muda mrefu hamjaonana, akija gemu hafifu sana

    Jamani hizi ni zama za nipe nikupe! Huu ndio ukweli wa maisha ya siku hizi. Wadada mnaopenda kuhudimiwa na wanaume( Karibu nyote mnapenda) mjipime na kujitafakari kama huduma mnazotoa zinakidhi viwango au la! Huyu mpenzi wangu mimi kutokana na kazi zangu za kuhudumia jamii, nakuwa bize sana...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ili uchumi ukue, tukubali Rais aongezewe muda hata miaka 20 Ili amalizie miradi yake yote

    Hapa leo tuelewane, maana hata kwenye kupinga hua tunakua pamoja. Tunahitaji Rais Akae Miaka 20 ili tuweze kupiga hatua ya kweli. Miradi yenyewe ni kumalizia miundomsingi na miundombinu yote kama reli ya kisasa SGR, Miradi mikubwa ya barabara inayoendelea nchi nzima, Bwawa hilo kubwa la...
  10. Mwifwa

    JamiiForums Tanzania Huwa unatumia Mswaki wako kwa muda gani kabla ya kubadilisha/kununua Mswaki mpya?

    Wataalamu tofauti wa Afya hasa madaktari wa meno, wamebainisha kwamba mswaki lazima ubadilishwe kila baada ya miezi mitatu. Hata hivyo, wengi wetu hatuzingatii hii kanuni ya kiafya ipasavyo kwa kuweka mdomo katika hali ya usafi, ila kuna baadhi wanaozingatia hii kanuni. Kwa mimi binafsi hii...
Back
Top Bottom