muda

MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Utabiri raisi ATAKAE tawala Tanzania kwa Muda mfupi Dr Samia or Magufuli?shekhe Yahaya njooo duniani!

    Magufuli alitawala miaka HAIJAWAI tokea Tanzania Mama Samia Suluhu hassani anaenda Mwaka WA 5 Sasa je Shekhe Yahaya alimtambilia nani kuwa raisi wa Muda mfupi? Je akilazimisha amzidi Magufuli Nini kitajili? Mbinguni kunani?
  2. JamiiForums Tanzania Habari za JWTZ Kuna muda zinachekesha

    Yaani Kila kukicha Hawa ndugu zetu wanazidi kunifanya nishangae ya Dunia..Kuna mwanaharakati mmoja huko Twitter ameachia meseji za askari wa JWTZ akiomba wananchi waandamane ili walau na wao mishahara Yao iongezeke wajione watu katika watu..Eti soldier mzima analia wananchi wawatetee Hali mbaya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wanariadha 10 bora wa muda wote nchini Tanzania

    Mambo ni mengi muda hautoshi. Twende kwenye orodha moja kwa moja bila kupoteza muda. 1. FILBERT BAYI Mzee wetu kaongelewa kwenye makala mengi mno duniani kiasi kwamba shirikisho la ridha duniani limehifadhi kumbukumbu zake kwenye makumbusho ya shirikisho huko Ufaransa. Mzee Filbert Bayi...
  4. JamiiForums Tanzania Itachukua muda kiasi gani binadamu kufikia ustaarabu wa asilimia mia moja!

    Nimekaa nikatathimini kuhusu ustaarabu naona tunasafari ndefu sana!, na hili ni moja kati ya swala nyeti maana linagusa katika kila sehemu!. iwe ni maendeleo,siasa,michezo,tamaduni,imani n.k hauwezi ukawa binadamu mwenye akili timamu kama hauzingatii ustaarabu!. Naghafirika sana pale napoona...
  5. JamiiForums Tanzania Tetesi: Huenda muda wowote internet ikazimwa

    Tujipange haraka Sana internet inazimwa muda wowote Leo
  6. M

    JamiiForums Tanzania Fursa ya ajira ya kazi ya kibarua kwa muda wa miezi 6 hadi mwaka mmoja malipo 12000 kwa siku

    Habari JF Kuna kazi kwa vijana wa kiume 10 wanahitajika Mahali pa kazi ni Dar es salaam Vetenari Aina ya kazi ni kusaidia mafundi wa mechanics kuna ujenzi wa kiwanda unaendelea utakaochukua muda kati ya miezi 6 hadi mwaka au zaidi kulingana na kukamilika kwa mradi, kwahiyo ni kazi ya uhakika...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tushauriane vya kudownload kabla ya changamoto za Internet Desemba 9

    Changamoto kama hii ina uwezekano mkubwa sana kutokea na ikawa ya siku nzima hadi wiki kama ilivyokuwa Mo29. Tushauriana vitu vya kudownload na machimbo yake.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Ishu za mahusiano me nimeachana nazo rasmi, ntasubiri muda ufike nioe

    Baada ya kupambana kwa muda mrefu angalau nichakate mbususu Nikapata kidem cha mwaka wa kwanza, fikisha gheto ile kuanza harakati kanadai kanataka kurudi hostel, nimem boltia ameondoka, sitamtafuta tena. Niliwekeza pesa na muda kumfikisha hii hatua but nafikia hitimisho moja tu "mambo yote ni...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mtu mmoja amwambie Samia, Kabla ya hoja ya Udini. Achokonoe Muungano. Vinginevyo anapoteza muda

    Weakest point ya Tanzania ni Muungano, na sio dini, Udini unaweza kuja tukiwa nje ya Muungano. Samia anapoteza hela na muda wake kuchochea mgogoro wa Dini ndani ya Muungano. Kama amekusudia kweli kuleta chokochoko za Dini aanze na chokochoko za Muungano, Wahafidhina wa Zanzibar wapite naye...
  10. JamiiForums Tanzania Kwamba TEC wanamchukia sababu ni Mzanzibari na muislamu? Wamuache amalizie muda wake! Huku ufisadi na Nepotism ikifanyika

    Hili sijalielewa kabisa? Kwamba niachieni kwanza nimalize hii ngwe iliyobaki. Huku ufisadi, dhuluma, utekaji, upendeleo wa familia zetu ukiendelea mpaka nimalize. Mnanichukia Sababu natoka Zanzibar na mimi ni muislamu!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ni muda sasa wa Kuunda Serikali Mbadala - #D9 Ndio msingi wake

    Watanzania kwa wingi wenu tunaomba mjitokeze tarehe 9 December hasa Dar es salaam. Mkifanya hizi tutakuwa na uwezo wa Kuunda/Kutangaza serikali Mbadala kutokea Dar es salaam, Jambo hili ni muhimu sana kama Samia atakataa kutoka madarakani. Lazima tuwe na serikali nyingine ya uma, ambayo ita...
  12. JamiiForums Tanzania Nashangaa radio kupiga mziki muda wote kumbe wamegoma buana

    Watu wegoma kisa mishahara ndio maana hata soka halichambuliwi😂🤣😂mambo yanaanza kuwa magumu kila kona.
  13. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Bishop Gwajima ni CCM alikuwa mbele ya muda

    Huyu ni mmojawapo kati ya watu waliolishauri taifa kabla ya maafa kutokea. kulikuwa na namna zote za kusuluhisha jambo linalokabili taifa letu kwa sasa Hatukuwa na haja ya kufika hapa tulipo, kwa jambo ambalo tungeweza kusikilizana na kupokea mashauri yaliyokuwa yakitolewa na wazalendo wenzetu...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Naona safari hii hakuna vitisho vya dola au muda bado

    Kuko kimya, hakuna vitisho vya maandamano. Au muda bado?
  15. JamiiForums Tanzania Muda wowote kuanzia sasa huenda kikanuka, jaza mahitaji muhimu sasa usisubiri mpaka tarehe 8 December

    Tahadhari ni muhimu, Huenda mambo yakawa tofauti zaidi kuliko ilivyokuwa hapo awali. Huenda hata hiyo tarehe tajwa isifike watu wakashtukiza ,hivyo kama ulikuwa hujajiandaa kimahitaji kikamilifu utakufa njaa. Nunua umeme wa kutosha angalau wa miezi miwili, Jaza jaza mavyakula hayo maana kuna...
  16. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Vilio vitaanza vya watawala muda sio mrefu kuanzia kesho

    Watawala watalia Kwa uchungu sana kuanzia kesho na kuendelea mnamuona kama chizi au anamkwara ila kuanzia kesho watawala mtaumia sana jiandaeni zamu yenu ya maumivu imefika endeleeni kumuona chizi
  17. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu, Waziri Mkuu hatuna hapa! Ni kichekesho na kasheshe

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Kwanza anaongea kama kakatwa kichwa Pili hajitambui Tatu hajielewi Nne anajaribu kwenda na beet za anko Magu lakin hiyo karama hana Tano ni mshamba na limbuken Waziri mkuu hatuna Full stop LONDON BOY
  18. M

    JamiiForums Tanzania Suzuki swift M13a

    Habari wadau Ninachangamoto zifwatazo kwenye Suzuki swift M13a naomba ushauri tafadhari 1.kuwaka kwa tabu Asubuhi mpaka nikanyage accelerator Kwa muda 2.nikiwasha AC gari inatingishika na kuzima nikiwa nimepaki, 3.Engine inatoa ngurumo mkubwa kama land cruiser 4. Inatembea umbali mrefu bila...
  19. JamiiForums Tanzania Nini kinamfanya Emmanuel Nchimbi kuwa na furaha muda wote kuliko kiongozi yeyote nchini?

    Mayi! Mimi mwenyewe au nanyi mwaona? Yaani Emmanuel bhana anafuraha muda wote kuliko kiongozi yeyote hapa nchni. Anayefuata ni Baba Levo. Nyie embu nijuzeni kunani? Maana sio bure. Jamaa yenyu stress Hana. Amzidi furaha Mama Samuya, samuya body language yake tuu yaonyesha ako na stress full...
  20. JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua Serikalini hakuna mwenye akili angalia Press ya Msigwa muda mchache ujao

    Waswahili waliposema ukivuliwa nguo chutama hawakuwa wamekosea kabisa. Muda mchache ujao Msemaji wa Serikali anaenda kuongea na Waandishi. tena baada ya CNN kutoa habari ya kutisha kuhusu mauaji yaliyofanywa na vyombo vya ulinzi na usalama wakati na baada ya Uchaguzi wa mwaka huu. Tuhuma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…