mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,386
- 9,197
Yaani Kila kukicha Hawa ndugu zetu wanazidi kunifanya nishangae ya Dunia..Kuna mwanaharakati mmoja huko Twitter ameachia meseji za askari wa JWTZ akiomba wananchi waandamane ili walau na wao mishahara Yao iongezeke wajione watu katika watu..Eti soldier mzima analia wananchi wawatetee Hali mbaya wanakufa na njaa .😅😅sasa Hawa ndo tumewakabidhi mipaka yetu kweli??. Yaani badala walinde nchi wao wanageuka ombaomba, kazi ipo !