MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.
Hello wana Jamii,
Niende kwenye Mada/ Kero.
Nauliza maswali Kwa hawa viongozi wetu wa Chama hivi Wana- CCM mnawachukuliaje ?
Kuna watu wanakula Upinzani wakiona hakuna Maisha wanakimbilia CCM na inaonekana wana bahati Sana kuliko Wana CCM wenyewe maana wakifika wanapewa vyeo na nafasi za...
1. Mwalimu wa kiume anayefundisha shule za wasichana
-Huyu muda wowote kinaumana
2. Mwanajeshi anayefundisha au kusimamia kuruti wa kike
-huyu pia mambo yanaweza kwenda kombo muda wowote kama hatakua makini
3. Askari anayeingia ulinzi akiwa na silaha
4. Daktari anayehusika na wajawazito
5...
Wasalaam.
Mwaka 1995 Baba wa taifa hayati mwl J.K. Nyerere akiwahutubia wajumbe wa CCM alisema, nanukuu "CCM inapomtangaza mgombea urais katika uchaguzi wa rais, ni kwamba wanamtamka rais ajae wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lakini huyo anataka urais asiutake kwa siri bali aje aseme mbele ya...
Hatimae mahakama za marekani zimeamuru apple kutolazimisha wateja wake kufanya malipo kwa lazima kutumia mifumo yao ya in app payments ambayo wanakata 30% kwa kila mwamala, hivo basi kwa tanzania tuna njia zetu bora sana za malipo za mitandao ya simu, ni muda mwafaka sasa wa TCRA kufikiria hili...
Wakati nipo zanzibar nilipoteza simu mara tatu ila nikaipata , jamii ya wazanzibar ipo Civilized kwa viwango fulani .
Mwaka 2018 , nilikuwa Zanzibar , nilipoteza simu zaidi ya Mara tatu katika maeneo tofauti Ila niliipata .
Hii issue ilinifanya kuwakubali hawa jamaa. Maana wizi unaboa Sana...
---
🐄📌 ELIMU KWA WAFUGAJI
⏱️ MUDA SAHIHI WA KUPANDISHA NG’OMBE
---
🔍 Kwa nini ni muhimu?
Kupandisha kwa wakati sahihi huongeza nafasi ya kushika mimba na kuepuka kurudia mara kwa mara.
---
✅ NG’OMBE JIKE ANAPOTAYARI KUPANDWA:
1. Dalili za Joto:
- Kutokwa na ute mweupe wa kunata
-...
Hizi ndizo Timu tatu ambazo tayari zimeshaonyesha Nia ya Kumsajili Mchezaji Emil Mpanzu tena kwa Fedha nono sana....
1. KRC Genk
2. Brest FC
3. RS Berkane
Ila Mimi kama GENTAMYCINE mwenye Jicho la USHAURI na kuona mbali kama Ndege Tai nakushauri uende KRC Genk ok?
Hapo vip!!kwa uhalisia uliopo nikwamba viumbe kama majini,mapepo,mashetani,n.k wapo busy sana kufuatilia na kuharibu maisha ya mwanadamu kwa kushirikiana na wachawi na kwa tafsiri hii inaonyesha hivi viumbe vimekaaa kakaa tu huko pasipo na kazi ya kufanya kama mwanadamu,kwa ujumla ni viumbe vya...
Kama ulishawahi kutazama game zake either physically au online bila shaka utakiri huyu jamaa ni mchawi kama sio jini kabisa.
Jamaa anakufunga anavyotaka yeye, yani kuna ile game unaona kabisa imeisha ila jamaa hataki kumaliza ,atataka akufunge ki ladha kiasi kwamba hata wewe unayefungwa...
Kuna watu wanatoka familia ambazo wazazi wao wanawapa kila kitu wanachokitaka na ndugu zao wanawapa support wanazohitaji katika harakati zao.
Lakini kuna sisi tunaotoka familia ambazo wazazi wametupa kile kidogo kilichopatikana. Tumebeba jukumu la ukombozi wa familia katika umri mdogo tukiwa...
Kampuni ya Jay Rutty ndo ilishinda zabuni ya kutengeneza na kuuza jezi za Simba na kuwa waliweka mezani zaidi ya billion 38,
Hilinlilikuwa jambo tamu masikioni mwa wanasimba
Mbali na mapesa hayo Jay Rutty aliahidi ahadi kedekede
1. Kujenga uwanja Bunju wa Mashabiki zaidi ya 10,000
Hadi Leo...
Hakika huu ni uzalendo. Nawapongeza sana kina Godbless Lema na makada wengine wa CHADEMA kwa kufuatilia kwa karibu zoezi linaloendelea la uchukuaji fomu za kugombea uongozi kwenye vyombo vya dola. Hii ni ishara kuwa watanzania wakiwemo makada wa CHADEMA wana imani na CCM. Makada wengi wa...
Unanunua bati lililopakwa rangi lakini ndani ya muda mfupi lishapauka vibaya. Sisi wananchi hatuwezi kutambua kwa kuona mabati ya rangi original.Wala bei sio kigezo cha kujua kwamba haya mabati ya rangi ni original au fake.
Kampuni zote zikitengeneza mabati ya rangi zinatakiwa zifuate standard...
Ni mjadala wa muda mrefu sana huu ambao unahusisha vifurushi tunavyonunua kuisha muda wake.
sasa swali ni je mfano ukanunua MB 1000 kwa sh 2000/= na ukatumia MB 200 kifurushi kika expire huwa hizo MB 800 zinaenda wapi?
Na ikatokea mteja mwingine akanunua kifurushi cha MB 500 kwa sh 1000/= je...
Wakuu,
https://www.youtube.com/watch?v=6TwpERK4wFA
Shauri Na. 8606/2025 la uchochezi na kuchapisha taarifa za uongo kwenye mtandao wa YouTube linalomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antiphas Lissu imeahirishwa mpaka pale mahakama kuu itakapotoa majibu hivyo shauri limeahirishwa kwa muda...
Mimi si mwanachama wa chama chochote. Hata hivyo ninawito kutoka ndani ya nafsi ikinitaka nigombee nafasi ya Urais wa JMP.
Nafsi yangu inaniambia niwatetee CHADEMA, WAISLAM NA WAMASAI DHIDI YA HISIA ZA KIBAGUZI ZINAZODAIWA KUWAKANDAMIZA DHIDI YA USHIRIKI HURU KATIKA SIASA, MAKAZI NA SHERIA ZA...
Album 5 bora za muda wote ni
1. Mapinduzi Halisi - Prof Jay
2. Aka Mimi - Mangwea
3. A boy from Tandale - Diamond
4. Binti - Lady Jaydee
5. Room Number 3 - Mbosso
Mbosso amefanikiwa kuingiza kwenye hii orodha EP yake baada ya kumuangusha Jay Moe n album yake y Ulimwengu ndio Mama.
Hongera...
NRNE
Habari za muda mrefu wana jukwaa, mimi msichana, niko kwenye mahusiano na mwanaume amenizidi miaka 15, yeye ana mtoto mmoja mimi sina.
Mimi nipo Dar, yeye yupo mkoani, tulipoanza mahusiano nilijua kwakuwa ni mtu mzima pengine, tutaenda sawa kwani na mimi huwa sipendi mambo ya hovyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.