muda

MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Ni muda gani sahihi wa kufanya maamuzi magumu?

    Nauliza hili swali kwa sababu hapa duniani inashangaza sana. Ukitafakari na kuwaza ili ufanye maamuzi ya busara utaonekana umezubaa, mzembe au hujachangamka yani huna maamuzi ya haraka. Ukiwa na haraka ukiwa ni mtu wa kuamua mapema, fasta haraka bila kuchelewa, hujazubaa, siku ukikosea tu...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Naftali Bennett akutana na Kachero Mkuu Idara Kuu ya Ujasusi ya Israel na kumuongezea muda wa kukaa Madarakani

    Waziri Mkuu wa Israel Naftali Bennett leo Juni 15, 2021 amefanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Idara Kuu ya Ujasusi nchini Israel Security Agency (ISA) Nadav Argaman. Waziri Mkuu ameamua kuwa Mkurugenzi huyo wa ISA ataendelea kusalia kwenye nafasi aliyonayo hadi Oktoba 2021.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Yanga hawataki mabadiliko klabuni

    Wazee wa busara wanawasha moto hatari, kuna kikao kipo underway hapo utopoloni wale wazee ambao juzi walisema hawatapeleka team uwanjani kucheza na simba hawataki kusikia lolote kuhusu mabadiliko ya uendeshaji wa team hiyo. Binafsi nawaunga mkono sana, Yanga ni team ya wananchi inakuwaje iwekwe...
  4. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya Mdude Nyagali ni leo 14|06|2021

    Leo Juni 14,2021 ni siku ya Hukumu ya Mpaluka Nyagali Mdude (32) kwa jina maarufu Mdude CHADEMA. Namuombea Mdude, Hakimu atakaye soma hukumu Mwenyezi Mungu ampe Hekima kama ya Mfalme Suleiman. Awali Upande wa mashtaka umemuondolea kada wa chadema, mdude nyagali shtaka la uhujumu uchumi...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nchi inahitaji utekelezaji, ziara tulishazichoka au ni kupoteza muda

    Serikali ya CCM imekuja na style mpya ya wakuu waliomo serikalini au tuseme serikali iliyoundwa na CCM inastyle ya kupanga ziara ,mkae mkielewa hakuna cha ziara wala matembezi ni namna ya kula hela kwa njia ya kulipana posho. Wananchi wanahitaji maendeleo mambo ya ziara yamepitwa na wakati...
  6. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Mamlaka za Usafiri Dar hazijali muda wa abiria

    Habari wanaJF, Hoja hii ni mahsusi kwa watumiaji wa usafiri wa Daladala wanaotumia Mabasi ya Mbezi - Kawe na Mbezi Makumbusho pia wale wa Makumbusho - Mbezi na Kawe - Mbezi. Angalieni huu mzunguko; Unatoka Mbezi/Kimara unasimama Taa za Ubungo, ukivuka unasimama tena taa za TCRA kisha unakunja...
  7. Shin Lim

    JamiiForums Tanzania Msaada: Desktop haioneshi chochote kwenye monitor nikiwasha, baada ya muda feni inazunguka sana

    Habari waungwana! Kuna muda nilikuwa nafanya kazi then umeme ukakatika. Baada ya umeme kurudi nilipojaribu kuwasha, monitor ikawa haioneshi chochote. Baada ya ya karibu dakika moja hivi, feni ikaanza kuzunguka kwa kasi sana. Hilo tatizo lilijirudia kila nilipojaribu kuwasha. Je, tatizo ni nini...
  8. Rebeca 83

    JamiiForums Tanzania Rais wetu Samia, tafuta muda wa kupumzika

    Hello JF, SIjui kama nyie mme observe kama mimi? Mama yetu ana movements nyingi mno. Sijui kasafiri na kuona watu/vikundi vingapi ndani ya hii miezi mitatu ya Urais Mama you cant do everything and be everywhere. I feel like you want to prove a point, kuwa ni Rais wa tofauti na watu wakuone...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Siasa Kivukoni ni muda wa kuzaliwa upya, hawa ma-DC na ma-RC ni matokeo ya kutopigwa msasa kiuongozi

    Miaka ile ya awamu ya kwanza kulikuwa na chuo cha kufundisha viongozi masuala yote muhimu ya kiuongozi. Kilikuwepo pale kivukoni. Kiliwapika viongozi na matendo yao yakaonekana baada ya kupewa ukuu wa wilaya na ukuu wa mikoa. Walikuwa ni viongozi wenye maadili yasiyohojika. Taratibu muda...
  10. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Ni muda muafaka kwa sasa Serikali iajiri Manesi, Wahasibu na wataalamu wa manunuzi kwa shule zote za umma

    Nchi yetu inashuhudia tatizo kubwa la ukosefu wa ajira kwa sasa. Basi kutokana na shule nyingi za umma kuwa na idadi kubwa ya wanafunzi basi ni vyema kuajiri Manesi kwa ajili ya kutoa huduma ya dharura ya kitabibu kwa wanafunzi wanaopata matatizo ya afya, wahasibu kushughulikia suala zima la...
  11. MR BINGO

    JamiiForums Tanzania 2021 - Oktoba 2025: Muda mwafaka wa wapinzani nchini Tanzania kujijenga ili kufanya mageuzi ya kisiasa

    Salaam wana jamvi, Twende kwenye mada tajwa moja kwa moja. Tukianza na utawala wa awamu ya tano wa John pombe magufuli ambako tulishuhudia mtikisiko mkubwa wa upinzani nchini Tanzania ambao uliosukumwa na matumizi mabaya ya demokrasia hayo yalithibitishwa kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC wala msipoteze muda kumpima akili Mkude; matatizo yake makuu ni haya...

    1. Uvutaji Bange (Bangi) uliopitiliza na yupo Mtu hapo hapo Simba SC (namhifadhi) ambaye alimzoesha Kuvuta na mpaka akawa anamnunulia. 2. Umalaya uliopitiliza kiasi kwamba mpaka hivi sasa ana Mahawara Watano ila kuna Mmoja kampangia Kawe (jirani na Ukuta wa Lugalo) ndiyo amemuharibu kabisa...
  13. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Chakula gani hujala muda mrefu?

    Habari wadau, Chakula gani hujala kwa muda mrefu na umekikumbuka sana. Mimi nimekumbuka makande nayapenda sana ila muda wa kuyapika ndio unakiwa changamoto. Ila wiki hii nitajitahidi nipike makande ya karanga. Wewe umekumbuka chakula gani?
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tabora: Mamalishe wamzuia Mbowe kwa muda, waomba kupiga naye picha ya Ukumbusho

    Hii ndiyo Taarifa mpya kutoka Tabora , Kwamba Mwamba Mbowe akiwa katika harakati za Operesheni Haki huko Kanda ya Magharibi, amevamiwa na Kundi la Mama Lishe huku wakimtaka kupiga nao picha ya ukumbusho ndiyo aendelee na Operesheni zake, ambapo Mwamba alisalimu amri na kupiga picha na wamama hao...
  15. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu: Secretariati yetu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), kufanya kazi mbili maana muda si rafiki

    MAONI YANGU KWA SECRETARIATI YETU YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM, KUFANYA KAZI MBILI KWA MAANA MUDA SI RAFIKI. Leo 11:11hrs 05/06/2021 1. Kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-25 2. Kuimarisha Chama Cha Mapinduzi kwa kusimamia maswala yote ya Ukuaji wa Chama kwenye maeneo...
  16. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Nigeria yafungia Twitter kwa muda, yatumia Twitter kutoa tangazo la kufungwa kwa Twitter

    Serikali ya Nigeria imefungia kwa muda usiojulikana huduma za Mtandao wa Kijamii wa Twitter kwa madai ya Mtandao huo kutumika kuhatarisha uthabiti wa taifa hilo. Tangazo rasmi la kufungiwa kwa mtandao huo limetolewa siku ya Ijumaa na Waziri wa Habari na Utamaduni, Alhaji Lai Mohammed kupitia...
  17. mwanatanu

    JamiiForums Tanzania Hamis Tabasamu: Kila siku Milioni 168 zinaliwa kwa muda wa miaka 6, Kampuni ya GFI yahusika

    Nimemsikia Mbunge wa jimbo la Sengerema Tabasam Hamis Mwagao, akilia Kwa nini kampuni ya Global Fluids International (GFI) inayohusika na vinasaba vya mafuta imekuwa ikilipwa mabilioni ya pesa kwa muda wa miaka 6. Mimi kinachonishangaza anamsifu waziri Kalemani na wakati wote huo wa miaka 6 GFI...
  18. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Kuna mawe makubwa yametegwa barabarani mlima Salanda muda huu

    Polisi nendeni haraka! Kuna kila dalili ya watekaji kufanya yao hapo. Inauma kumkosa Magufuli!
  19. Cvez

    JamiiForums Tanzania Kinachomgharimu Mugalu ni kuwa eneo sahihi muda wote

    Kama shabiki wa Simba kindakindaki nimekaa nikiiangalia timu yangu hasa eneo la ushambuliaji. Ambako kuna Bocco, Kagere na Mugalu. Katika huyu Mugalu sasa anaweza kupata nafasi 5 za kufunga ila akafunga goli moja tu. Tukirudi kwa Kagere yeye akipata nafasi ya kufunga katika mbili atatupia at...
  20. alcacer

    JamiiForums Tanzania Unabadilisha mswaki baada ya muda gani?

    Hua unabadilisha mswaki baada ya muda gani? ====== Mada unayoshauriwa kusoma:Huwa unatumia Mswaki wako kwa muda gani kabla ya kubadilisha/kununua Mswaki mpya?
Back
Top Bottom