mtu

  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Huwa nachukia sana pale Mtu ambaye namjua Kitabia akiwa mbele za Watu na Camera anadanganya na kujifanya Mtakatifu

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amewataka wananchi kutosikiliza maagizo ya waganga wa kienyeji yanayochochea ukatili na udhalilishaji, ikiwemo kubaka, kulawiti na kuua. Makalla amesema hayo leo Jumatatu Septemba 9, 2024 Kiteto mkoani Manyara alipozungumza katika...
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Hakuna hata mtu mmoja aliyeweza kurekodi video clip ya mtu akitekwa ?

    Inawazekenaje watu wanaweza kurekodi kwa siri video clip za dungadunga kwenye dalalala na mwendokasi ila walishindwa kabisa kurekodi video ya Ali Kibao akichukuliwa mateka na wasiojulikana katika bus lenye abiria zaidi ya 40?! Ni kweli mpaka sasa hakuna hata raia mwema mmoja aliyefanikiwa...
  3. Adam Clark

    JamiiForums Tanzania Tabia 7 zinaonesha kuwa wewe ni mtu mwe IQ ya juu

    Tabia saba zinaonesha kuwa Wewe ni mtu mwe IQ ya juu. 1.Kuongea mwenyewe 2.Kukesha usiku 3.Kuota ndoto za mchana. 4.Kuuliza maswali mengi 5.Kufanya fujo na ukafanikiwa. 6.Kuwa mpweke. 7.Kusoma vitabu. NOTE:ivi vitu ukiwa unavifanya kwenye jamii yetu, kwa mtazamo wa watu utaonekana we...
  4. The25824

    JamiiForums Tanzania Ijue tiba ya ugonjwa wa kusikiliza kila maoni ya mtu

    Kwenye maisha kila mtu ana haki ua kutoa maoni yake kwa vile anavofikiria. Bahati mbaya wengi tumeshindwa kufikia ndoto zetu au kuamua mambo yetu kwa kuishia kusoma comments za watu humu ambao bila kutafakari tumeishia kufanya maamuzi ya juu kwa juu. Ni wangapi wameacha kuanza biashara kwa...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Salamu Kutoka Marekani: Nimeuliza kitabu/filamu inayoweza kumfanya mtu aijue Tanzania

    Well! Well! Well! Well!, Mshamba kutoka Tanzania mikoa ya ndani ndani anayewakilisha taifa huku kwa Biden Marekani, nilipata kukutana na washika dau kadhaa. Mimi nimekuja kishamba zaidi ili kuonesha natokea wapi. Basi huwa naeleza kwa kujiamini tu kwamba mimi ni Mtanzania. Nawapiga mikwara na...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Wakati wa Utawala wa Ali Hassan Mwinyi, ameshawahi kutekwa au kuuwawa mtu?

    Jamani sina mengi sana nimemkumbuka Rais wangu Ally Hassan Mwinyi, Mungu amjalie pepo ya filidausi, kweli sisi sote ni mashahidi wake na amani iwe juu yake mpaka siku ya kufufuliwa kwake
  7. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa usikubali kukamatwa na mtu yeyote hata kama anavielelezo ,na usikubali mtu akamatwe mbele yako pigana mpaka kufa hatuna Tena wa kumuamini ,

    Nchi imebadilika hakuna wa kumuamini Tena ! Ukamataji wa kizamani hakuna atakayekubaliana nao Tena ,ukiona mwenzako anakamatwa mbele yako au wewe mwenyewe tambua kwamba unaenda kufa au kutupwa kusikojulikana ! Pigana kwa siraha zote uhai Hauna nyongeza sisi sote ni wazazi tuna watoto na wazazi...
  8. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Huyu mtu anayejiita Mwijaku, amesoma Vyuo gani?

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Wakuu nimekuwa nikimuona huyu jamaa Anayejiita "MWIJAKU" (Sijui kama ni jina lake halisi,ufupisho wa jina lake au ni a.k.a yake) kwenye Platform mbalimbali za mitandao ya kijamii akijinadi Kwa sifa kedekede na kuwadhoofisha wapinzani wake akiwemo "Baba...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Ni Kwanini Watanzania hufurahia mtu akipatwa na matatizo au kuyumba kiuchumi au kutumbuliwa?

    Ndugu zangu Watanzania, Mimi Lucas Mwashambwa nikiri kwa moyo wa dhati kabisa pasipo unafiki wa aina yoyote ile ya kuwa ni mtu ambaye hufurahia mafanikio ya mtu,kupanda kwa mtu kiuchumi,kupata mafanikio katika maeneo mbalimbali.mimi nikiona mtu wa karibu yangu au niliyekuwa namfahamu au kusoma...
  10. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania CRDB wanazingua mno, inakuwaje wanachelewesha kumpatia mtu mkopo licha ya kukamilisha kila kitu.

    Yani wiki ya 3 hakuna mpunga wowote, ukiwauliza ni stori tu wanakupatia Sasa ni kwamba hawa watu hawana liquidity nzuri au nini, basi hata kama ni wanafanya analysis juu ya mkopaji haiwezekani ikawa muda wote huu. Imekuwa benki ya kiduanzi, simu hawapokei, Nyie wenzangu mnachomeshwaga...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Ukikutana na mtu akakuita Mwanaume wa Dar es Salaam, jitahidi upigane mpaka ushinde hilo pambano

    Jiji hili limedumaza sana ujasiri ,ueledi na uanaume kwa ujumla . Kuna tukio nimekutana nalo nimewaza sana I stand to be corrected labda tukiwasema watabadilika .
  12. F

    JamiiForums Tanzania Kazi za mtu wa IT

    Nisaidieni kazi ambazo mtu aliyesoma IT anazifanya kwa upana zaidi.
  13. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtu kama huyu anawezaje kusimamia uchaguzi CHADEMA wakapata haki yao?

    Sijui mahakama yetu huwa inashindwaje kuelewa hoja rahisi kama hii? Au kuwa msomi maana yake ni kuwa mtu usiyefuata mantiki? Unaikumbuka ile kesi ya kupinga wakurugenzi kusimamia uchaguzi. Na si unakumbuka kuwa hoja ilikuwa wengi wa wakurugenzi hao ni CCM hivyo hawawezi kutenda haki Kwa vyama...
  14. Magical power

    JamiiForums Tanzania Mtu tajiri wa Kiarabu alikwenda kusoma Ujerumani. Baada ya mwezi wa masomo, alimwandikia baba yake barua akimwambia:

    Mtu tajiri wa Kiarabu alikwenda kusoma Ujerumani. Baada ya mwezi wa masomo, alimwandikia baba yake barua akimwambia: “Baba, Berlin ni jiji lenye kupendeza sana, na watu wananihurumia sana, lakini ninajisikia aibu ninapofika chuo kikuu kwa gari langu la Range Rover. huku maprofesa wangu wakuu...
  15. Phobia

    JamiiForums Tanzania Mume wa mtu miaka 5 hataki kunioa nimepata mwanaume mwingine nae ni mme wa mtu

    Mume wa mtu miaka 5 hataki kunioa nimapata MWANAUME mwinagine naye ni mume wa mtu! Niko kwenye mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 5 na tuna mtoto mmoja. Ni mwanaume ambaye ananihudumia kwa kila kitu, ananijali na sijawahi kukutana na mke wake, hata sijui kama ananifahamu kwani huyu mwanaume ana...
  16. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Mfahamu mtu hatari zaidi Yanga

    Anaitwa Moussa N'Daw Msenegal ambaye aliwahi kuwa Striker hatari sana wa Wydad ac na Al hilal ya Saud Arabia. Pia amewahi kuwa Manager msaidizi pale Wyadad Ac 2021/22. Yaani ile Wydad ya moto iliyochukua ubingwa CAFCL jamaa alikuwepo. Uhatari wake haupo pale anapokuwa ameketi. Shida huanza...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Muogope mtu ambaye ni maskini ila anaishi kitajiri, kimahusiano atakufilisi

    Muogope sana mtu ambaye bajeti zake za kuishi tu ni kubwa zaidi ya uwezo wake kujimudu yaani yupo radhi aishi kwa madeni ili nje aonekane tajiri. Muogope sana mtu ambaye yuko tayari kumiliki simu ya laki tano ila kipato chake kinamruhusu amiliki ya laki moja, mtu huyu ambaye ana simu ya laki...
  18. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Mtu akinywa castlelite 4, kisha akaendesha gari 120kph, anajihisi kama 30kph, sababu ni ipi hasa?

    Hii nimeshajaribu mara kadhaa, ukicheki dashboard mshale unasoma 120kph, gari inaenda kasi, lakini unaona kama imesimama hivi.., ukicheki nje unaona kabisa hii gari haizidi 30kph..,
  19. M

    JamiiForums Tanzania MUOGOPE MTU AMBAYE NI MASKINI ILA ANAISHI KITAJIRI, KIMAHUSIANO ATAKUFILISI.

    Muogope sana mtu ambaye bajeti zake za kuishi tu ni kubwa zaidi ya uwezo wake kujimudu yaani yupo radhi aishi kwa madeni ili nje aonekane tajiri. Muogope sana mtu ambaye yuko tayari kumiliki simu ya laki tano ila kipato chake kinamruhusu amiliki ya laki moja, mtu huyu ambaye ana simu ya laki...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mtu wa kuanzisha biashara ya kuagiza magari nje ya inchi

    Kama ujumbe unavyojieleza natafuta mtu mwenye wazo la biashara ya kuagiza magari mtandaon
Back
Top Bottom