mtu

  1. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu na shetani wote hawataki kufanya kazi na mtu mvivu asiye mbunifu?

    Mtu mvivu, legevu, asiyejali muda na mwenye maneno mengi kuliko vitendo Mungu hampendi na shetani hampendi. Waliomstari wa mbele (frontliners) kwa Mungu na kwa Ibirisi huwezi kukuta mtu mvivu asiyejali na mzembemzembe. Hakuna nabii wa uongo mvivu asiye risk taker. Wako smart, wanaamka mapema...
  2. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Mtu anapomtukana mwenzake anafaidi nini?

    Hata kama amekasirishwa, kutukana kutamsaidia? Nimo kwenye basi naelekea mkoa fulani. Njiani, mama mmoja kapitilizwa na konda kituo alichopaswa kushukia. Kutokana na kukerwa na hiyo hali, aliposhuka, hakulalama tu, bali pia alisindikiza manung'uniko yake na tusi la nguoni. Alitukana kwa kutaja...
  3. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Kila mtu ni mtumwa wa utamaduni wake

    Kama umezaliwa kijijini kwenu, ukakulia kijijini kwenu, ukasomea kijijini kwenu, na shughuli zako zote ukazifanyia kijijini kwenu, ni rahisi kuamini kuwa mila na desturi zenu ndizo bora kuliko zingine zote. Lakini wakati huo huo, kwa watu wa tamaduni zingine, wanaweza wakawa wanawashangaa jinsi...
  4. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtu unajirekodi chumbani ili iweje? Nina uhakika Aslay na Lukamba wameteswa sana kisaikolojia kusubiri kuziona dhambi zao zilizovuja

    Inasikitisha lakini ni funzo kwamba siri za chumbani ziishie chumbani Mnaojirekodi vyumbani video zenu hazipo salama kwa asilimia 100 kama mnavyojidanganya, Simu yako ikiibiwa inaweza kuwa unlocked kwa software, Umeenda kuprint pdf stationery wezi wa data wananyonya folder zima la camera...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua tofauti ya mtu asiye na gari na mwenye gari lakini kila siku analipeleka gereji kutengenezwa

    Hapa kIpaumbele changu Kikubwa ni kusoma tu Comments zenu Matajiri, Wasomi na Masikini Wenzangu hapa JF sawa?
  6. BigTall

    JamiiForums Tanzania Zamani ukitembelea nyumbani kwa mtu unapewa albamu ya picha uangalie, siku hizi unapewa nini?

    Hizi mambo za kupewa albamu kuangalia picha za wenyeji wako hivi bado zipo kweli ndugu zangu? Wewe ukienda kutembelea ndugu, jamaa na marafiki ukifika wanakupa nini au wewe ukitembelewa huwa unawapa nini?
  7. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Kumbe Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni ukoloni wa mtu mweusi kwa mweusi mwenzake na hofu ya Uislam ?

    Msikilize hapa aliyewahi kuwa Waziri wa ardhi JMT Ni kwamba watu weusi hatukujifunza kabisa kuwa ukoloni, utumwa na kutawaliana kimabavu kuwa ni kitu kibaya. Kumbe wazungu na waarabu walikuwa sahihi sana kututawala kimabavu na kutukamata watumwa na kuuza sokoni kama mbuzi sasa nimeelewa kuwa...
  8. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Hii ni Breakfast ya 1500. Akili mtu wangu!

    Ni ushauri lakini ukiufuata utakufaa hakikisha katika kila mlo unaokula hasa huu wa asubuhi usile carbohydrates peke yake changanya na protein na vitamin pembeni maana usiku cell zimefanya kazi kuzifanyia repair inabidi upate protein fulani aidha mayai, vipande vya nyama ila mimi napendelea...
  9. Melki Wamatukio

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa mtu ndio anaingia ndani sasa hivi (saa 9:16 usiku)

    Aisee, kumbe ndoani ni pagumu. Kama mambo yenyewe ndio haya, basi nitaoa mwaka kesho kutwa. Kweli mke wa ndoa unaingia ndani saa 9 usiku ukiwa na rafiki yako mumelewa chakari, plus bodaboda wenu pembeni!!!? Mnategemea mlale kwa nani!!? Nawasikia wanabisha mlango hili mwanaume awafungulie😂 Na...
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kipi kigumu kwenye kufuta mchezo kwa maamuzi mabovu ya Refa? Madhara yake ni yapi kiasi cha mtu mmoja kuwa na maamuzi ya mwisho yasiyoweza kubadilika?

    Hili ndio swali ninalijiuliza huku nikizingatia uwekezaji wa gharama kubwa unaofanywa na vilabu plus wachezaji kuvuja jasho halafu kunakuwa na sheria/kanuni inayompa mtu mmoja anaeitwa mwamuzi kuwa na maamuzi ya mwisho na kibaya zaidi hayabadiliki hata ikithibika alitoa maamuzi yasiyo sahihi...
  11. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Ukimuomba au ukimdai hela mtu wa Dar es Salaam utaambulia sound

    Hakwambii kama hana au atakutafutia kesho anaanza kukupanga Mara ooh subiri kidogo kipengele hapa usafiri Mara blah blah kibao yaani lazima akuingize viswahili acheni ujanja ujanja watu wa dar sio unamuaminisha mtu asubiri ukipigiwa simu inazingua acheni kudanganya danganya wakuu.
  12. kijana wa leo

    JamiiForums Tanzania Kupata Haki ni gharama sana kwa nchi yetu, mnasabisha watu kujichukulia sheria mkononi na kuachana na mifumo ya haki jinai

    Leo niliibiwa materials kutoka eneo langu la kazi Mkoa A, baada ya kufatilia nikagundua mwizi amesafiri kwa njia ya Bus kuelekea mkoa B, nikafanya mawasiliano na Police wa mkoa B, wakanipa ushirikiano na kumkamata mwizi wangu akiwa na hayo material kwenye Bus kama nilivo report, na bahati nzuri...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Waliowahi kupotelewa na ndugu au mtu wa karibu mje mtupe experience

    Kwa mtu aliyewah kupotelewa na ndugu au mtu wa karibu aje atoe experience. Nikiona mtu anatangaza kupotelewa na ndugu ua nashikwa na uchungu sana mpaka najiuliza nduguze hali ikoje.
  14. Sapphire Mc

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu computer specifications kwa mtu anayesoma Bsc. Cyber security

    .
  15. G

    JamiiForums Tanzania Naona Syria inaenda kuwa uwanja wa vita kati ya Iran na Israel; sijui Assad amekubalije nchi yake kila mtu kujikatia kipande chake

    Baada ya shambulio la Mchana kweupe la Israel kwenye ubolozi wa Iran tulitegemea majibu kwa Iran. Lakini mpaka sasa hakuna majibu yoyote kutoka Iran. Ila inaonyesha msafara mkubwa wa magari ya Iran kuelekea Syria. Pia kauli ya kuanza na Jerusalem kama mji mkuu au mashuri wa Israel ni dalili...
  16. Melki Wamatukio

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mpenzi wangu amenichekesha sana. Katamka mbele ya kadamnasi kuwa hana mtu

    Binafsi hata mimi sikuwa na malengo naye, nilitaka ku-hit and run. Hakuna mtu aliyefahamu kuwa nilimuomba kudet nae, ilikuwa ni siri, maake muonekano wake ni aibu tupu. Nimeshangaa sana kumuona anatamka kuwa hana mtu mbele ya hadhira baada ya kuona tabasamu la jibaba lenye miraba minne na...
  17. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uko tayari mtoto wako aoe au kuolewa na mtu mweye tabia kama zako?

    Kila mtu anajujua tabia zake, kama wewe ni mwanamke je uko tayari mtoto wako wa kiume aowe mwanamke mwenye tabia zako? Na wewe mwanaume uko tayari mtoto wako wa kike aolewe na mwanaume mwenye tabia kama zako?
  18. T

    JamiiForums Tanzania Ni akili tu Mtu Wangu

    Akili mtu wangu ebu mtag rafiki mwenye timing kama hizi🤣🤣hapo kaskilizia mara kashasogea mdogomdogohuyo nae anajisevia msosi, ni akili tu mtu wangu
  19. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kuna uhuni Mkubwa, Dawa ya kumsaidia mtu kuacha kupiga Punyeto? imekaaje?

    Wale jamaa wanaojichukulia sheria mkononi, wanaopenda kucheza Pool. wanaopiga punyeto. kuna dawa eti inazuia mtu asifanye hilo jambo. maswali yangu 1. Punyeto ni ugonjwa gani? 2. Nini kinasababisha mtu aoige punyeto? 3. Inaenda kutibu nini hiyo dawa? Kuna wauzaji wa dawa hizi za supplement wana...
  20. Kibiriti ngoma

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu/ taasisi ya kunikopesha tshs laki mbili na nusu, nitalipa 340k ndani ya miezi minne.

    Nashukuru kwa michango, nilikuwa nahitaji taarifa fulani za kina kutokana na maoni ya wadau through jf. Mbarikiwe wapendwa.
Back
Top Bottom