mtu

  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Shemsa Mohammed: CCM Haitambeba Mtu Katika Uchaguzi Mkuu Ujao, 2025

    Shemsa Mohammed: CCM Haitambeba Mtu Katika Uchaguzi Mkuu Ujao, 2025 MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Shemsa Mohammed amesema chama hicho hakitambeba mtu wakati wa uchaguzi mkuu utakaofanyika mwakani na kuwa atabebwa kutokana na matokeo yake ya kukitumia chama hicho...
  2. Mwanamke wa mithali 31

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa ushauri jinsi ya kupata laini za uwakala

    Nahitaji laini za wakala Tigo. (TigoPesa) Halotel (halopesa) Vodacom (m pesa) Airtel (Airtel money) Kwa atakayeweza kunisaidia Nipo Dar es salaam
  3. Dan Zwangendaba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kikao cha Wanaume: Usimkule Mke wa Mtu Hata Kama Kajirahisi Vipi Kwako

    Kikao Na. 34 cha WANAUME kimeazimia kuwa kamwe mwanaume usifanye mapenzi na MKE wa mtu. Mke wa mtu hapa ni yule aliyeko ndoani ima ya kidini, kimila, kiserikali au hata waliojifungisha wenyewe (kwa binti kuchukua mkoba wake kuhamia kwa mwanaume). Maamuzi haya yamechukuliwa kwa kuzingatia hoja...
  4. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Sababu za kufubaza udhaifu wa viongozi waliopo, ni pamoja na kumsema Hayati Magufuli alikuwa mporaji

    Kuna wakati viongozi wa CCM hujaribu kuwatukana watanzania matusi ya rejareja Ni nani atakayeamini hiki wasemacho kina Kinana? Jambo la mapato kuongezeka, ni kweli linaendana na uhalisia? Mimi nasema hivi, halina uhalisia kwa sababu nyingi tu, Moja ya sababu ni pamoja na kuwepo sababu za...
  5. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini mtu anayehitaji attention yako akiona humpi anaumia?

    Kumekua na kawaida kwa watu wawili mnapokua kwenye mahusiano ya kimapenzi kuleteana visa vya hapa na pale especially mmoja anapogundua kwamba mwenzake anampenda sana. Mwanamke au mwanaume anapogundua anapendwa sana na mwenzake basi ataanza kumfanyia visa kama vile kutojibu sms zake kwa wakati...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kuuliza si ujinga, Mtu akifariki watu wanasema Apumzike kwa Amani huwa wanamwambia marehemu au wanamaanisha nini?

    Wakuu ni aje, Leo naomba kuuliza, kwanini mtu akifariki utaona watu wanaandika RIP au pumzika kwa Amani ndugu fulani au Mr fulani au Mrs fulani. Hivi huwa wanamwambia Nani?! Marehemu au huwa wanamaanisha nini? Au ni tamaduni tu kama vile kunywa chai asubuhi japo hata usippkunywa haufi! Wajuzi...
  7. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Kila mtu anataka atambulike kuwa ni "somebody"

    Wanasema, mpe mbwa mzee jina zuri! Anaweza asiwe na uwezo wa kuwinda, lakini kutokana na kupewa jina zuri, atajitahudi kuliishi hilo jina. Mwaka Jana, nikiwa mkoa fulani, nilitaka kumpa mzee mmoja kikazi fulani sehemu nilikokuwa nikifanyia shughuli zangu. Kusudio langu halikufanikiwa kwa sababu...
  8. Mwanamke wa mithali 31

    JamiiForums Tanzania Unaye mtu wa kukusikiliza? Kuna muda unapitia hali unapitia unatamani kumweleza mtu mmoja upate ahueni lakini hayupo

    Mimi Sina mtu wa kumweleza,Sina mtu wa kunisikiliza, Kuna wakati unapitia hali flani una wish angekuwepo mtu M,Moja na akusikilize tu. SISI ni wale tumezaliwa kwenye familia za baba huku na mama kule, Nataka kusema hivi msifanye makosa haya, Kuzaa Kila mtoto na baba yake, Kuzaa Kila mtoto...
  9. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya vitukuu vya mzungu na vitukuu vya mtu mweusi. Miaka 137 iliyopita na leo

    Mercedes benzi miaka 137 iliyopita na leo. Mswahili akipanda miaka 137 iliyopita na leo.
  10. JOVITUS KAMUGISHA

    JamiiForums Tanzania Maendeleo katika Jamii: Kutoka Mtu Binafsi Hadi Jamii Nzima

    Mwezi uliopita, nilichapisha makala kuhusu Kupanga ni Kuchagua na Kuchagua ni Kupanga. Nashukuru sana kwa wasomaji wangu ambao wamekuwa chachu ya kuandika machapisho haya na mengine mengi. Ningependa kuzungumzia ukuaji katika maendeleo ya jamii. Moja ya changamoto kubwa tunayokabiliana nayo ni...
  11. Lycaon pictus

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi mtu akicheza rafu mbaya mpirani anaweza kushtakiwa mahakamani?

    Kuna zile rafu za makusudi na zilizodhamiria kujeruhi. Mtu akicheza rafu kama hiyo kwenye mpira wa miguu au mchezo wowote ule, anaweza kushtakiwa mahakamani kama mhalifu? https://www.instagram.com/reel/C5E8G_TsS26/?igsh=MXg3dzh1YTNrZ2xnNQ==
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kinachosababisha watu wengi kuharibu maisha ya watu makazini ni wivu, uchawi na kufuatilia maisha ya mtu ambayo hayana mahusiano na kazi mnayofanya

    Utasikia huyu jamaa anakunywa kila siku. Wewe inakuhusu nini? Utasikia jamaa huwa haishiwi hata katikati ya mwezi. Shida yako nini? Utasikia jamaa mtaani anamdemu kibao. Tatizo nini? Dili na masuala yanayokuunganisha na mtu kwenye kazi sio maisha yake binafsi kiasi cha kumuonea wivu na kumroga.
  13. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Inawezekana vipi mtu kuweka roho yake kwenye mti?

    Tuna Mzee wetu hapa tunamuuguza kwa muda mrefu miaka mitatu sasa tunampambania nae alipata tatizo kuparalalaizi mpaka sana yupo ICU hali yake sio nzuri miguu yake imeanza kuoza Imenibidi kuandika thread hii humu sababu siku mbili hizi tumepigiwa simu huko kijijini kwamba Mzee wetu twende huko...
  14. haszu

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya kijamii inaweza fanya mtu ukawa na msongo wa mawazo.

    Wakati nawaza mshahara upaongezeka kidogo japo ufike laki 9 au milini 1, nakutana na post mtu anasema ukiwa na mshahara wa milion 1.5 hutoboi, 🙌🙌 Wakati naitafita miaka 35, sojawahi miliki gari chombo cha moto, kuna jamaa anasema kaagiza gari yake ya kwanza akiwa na miaka 22. Kuna jamaa...
  15. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Siyo kosa kama mtu anataka kumuondoa Samia 2025

    Kweli upo wa CCM kuhusu jambo hilo, lakini hakuna sababu ya kugombana na watu wanaoutaka urais. Achilles heel ya Rais Samia ni kwamba anakopa sana hela, watu wanaishi beyond their means. Hizi hela zote zinazokopwa, utafika wakati wa malipo. Hiki ndicho chanzo cha vita. Pesa zote zinamilikiwa...
  16. Allen Kilewella

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umuhimu wa mtu kama Bocco Simba unaonekana

    Kwa Hali ya mambo ilivyo ndani ya Simba hivi Sasa Kuna umuhimu wa kuwa na Kepteni mwenye sifa kama za Bocco. Mohamed Hussein ni mkongwe ndiyo, Lakini sidhani Kama ana nguvu kubwa ya ushawishi kwa wachezaji wenzake. Nakumbuka wakati Yanga wamevurugikiwa Kwa kuondoka Kwa Manji, Mwinyi zahera...
  17. Zamaulid

    JamiiForums Tanzania Umri wa mtu hukoma lini?

    Hivi umri wa binadamu hukoma lini? Ninaqngalia hapa taarifa ya habari hapa eti tunaazimisha 102 ya mwl. Nyerere, hii ni kweli? Mi nadhani umri unakoma mtu akifariki.
  18. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Picha: Hili geto ni la mtu kutoka mkoa gani?

    Unahisi mmiliki halali wa hili ghetto atakuwa anatokea mkoa gani?
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuna Mtu naona analazimisha Mwenyewe kwenda mazima Mavumbini ( Udongoni ) kwa Ushamba, Ujinga na kwa Kukurupuka Kwake

    Akimaliza huu mwaka atakuwa na ana bahati sana, ila nina uhakika kwa mwaka 2025 tunaweza tusiwe nae mazima Ok?
  20. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu kawauliza swali wanaosema "Mungu hafananishwi na kitu chochote" wameshindwa kujibu wanamtukana na kumpa vitisho. Mpeni majibu tafadhali

    Ilikuwa kwenye mjadala kuhusu maoni ya Harmonize kwamba katika miaka ishirini aliyo ishi duniani amegundua kwamba huenda Mungu ni mwanamke.. Wenye dini zao wanasema Harmonize apigwe mawe kwa sababu amekufuru na kwamba " Mungu hafananishwi na kitu chochote kile" Swali la jamaa lilikuwa: 1...
Back
Top Bottom