Sio kwa ubaya CCM tuache kuuzia wananchi matumaini huyu mtu hatoshi hata sisi tuliokua tunamtetea tunaonekana hamnazo

Sio kwa ubaya CCM tuache kuuzia wananchi matumaini huyu mtu hatoshi hata sisi tuliokua tunamtetea tunaonekana hamnazo

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
13,243
Reaction score
15,301
Mambo ya kuuziana matumaini ni suala ambalo limechosha watu huyu mtu hatoshi hawezi kwendana na kizazi cha sasa namshauri akasome public speaking Edition six ajue namna ya kuzungumza nini kwa wakati gani. Kiongozi mkuu wa nchi anasema police wafiche clips za rushwa kweli? Tukisema mambo kama aya mnatuwinda kututeka kweli? Tuseme ameteleza jambo kama hili Serikali nalo inatakiwa kulitolea ufafanuzi?
 
Mambo ya kuuziana matumaini ni suala ambalo limechosha watu huyu mtu hatoshi hawezi kwenda na kizazi cha sasa mnashauri akasome public speaking Addition six ajaue namna ya kuzungumza nini kwa wakati gani. Kiongozi mkuu wa nchi anasema police wafiche clip za rushwa kweli?
Tumepatwa.... license to kula rushwa
 
Leo kajitahidi kuongea yaliyoandikwa peke yake bila kuweka maneno yake (freestyle) ili asitoe Boko wakati wa speech ila wapi!! Imeshindikana... Boko limetokea kama kawaida.

Hakika hii nchi yeyote anaweza kuwa kiranja mkuu.
 
Mambo ya kuuziana matumaini ni suala ambalo limechosha watu huyu mtu hatoshi hawezi kwendana na kizazi cha sasa namshauri akasome public speaking Addition six ajue namna ya kuzungumza nini kwa wakati gani. Kiongozi mkuu wa nchi anasema police wafiche clip za rushwa kweli?
 
Ni suala la muda tu wote tutaongea lugha moja.
 
Mambo ya kuuziana matumaini ni suala ambalo limechosha watu huyu mtu hatoshi hawezi kwendana na kizazi cha sasa namshauri akasome public speaking Addition six ajue namna ya kuzungumza nini kwa wakati gani. Kiongozi mkuu wa nchi anasema police wafiche clip za rushwa kweli?
kwa mfano kama wewe ni hamnazo kabisa gentleman,

unawapotosha na kuwapa matumaini useless wafuata mkumbo badala ya kuwasisitiza wafanye kazi kwa bidii 🐒
 
Hadi anatia huruma, unajiuliza mara mbili mbili huyu ni Rais wa nchi au?
Mkuu kwangu mimi kosa ni la CCM. Huwa najiuliza, pamoja na kuogopa kuwa akiondolewa watakosa ulaji, kwani hawawezi kufanya danganya toto? Kwamba wamwondoe na kumweka makamu wake ili tu kuokoa nchi? Hivi CCM imeshiwa watu wenye busara kiasi hiki?
 
Back
Top Bottom