Wanasheria na Mawakili Wasomi
Mtusaidie sisi mbumbumbu wa Sheria.
1.Mtu Akihitajika mahakamani kutoa ushahidi je, analazimika kwenda?
Na akigoma kwenda kuna kosa.?
Au akitoa sababu labda ni mgonjwa au sababu nyingine yoyote, kesi itasimama kumsubiri au itaendelea?
2. Na je huyo mtu akiwa ni...
Ni stress kwa kweli...
late night calls maana ndo katoka kwenye mambo yao
A lot of Dm za mabinti
duhh am going to ruin this tooo...
Siwezi kwa kweli how unaweza dili na mtu wa namna hii
Umewahi kutapeliwa mali, pesa, imani au mapenzi katika mazingira yasiyoeleweka mpaka wewe mwenye ukajishangaa imewezekanaje "kuingizwa mjini" ?
Mifano ya utapeli ni pamoja,
Unaambiwa utume pesa upate kazi na unatuma kweli, kazi hupati
Unamtumia nauli demu aje na haji na wakati mwingine...
Mbunge wa Jimbo la Ubungo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amemjibu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, akisisitiza kuwa uongozi wa nchi unahitaji mipango na kura za wananchi badala ya maombi ya ‘kupewa’ nchi ili kuijaribu.
Akizungumza leo...
Kila akifungua kinywa chake yanatoka maneno ya Shari tupu. Vitisho, kejeli, malalamiko, manung'uniko nk. Hakuna tena neno la faraja kutoka kinywani mwake.
Hivi ni dalili kuwa hana amani moyoni au ni tatizo la kisaikolojia?
Wakuu,
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima, ameeleza kuwepo kwa vikundi vilivyopangwa mtandaoni vinavyoshambulia watu na kuvuruga utamaduni wa uaminifu, huku akihoji sababu za watu hao kuachwa bila kukemewa.
Dkt. Kitima alibainisha hayo hivi...
Kada wa CCM kachafukwa👇
Pia Soma: Wakili Dkt. Masoud: Video iliyowekwa kichwa cha habari kuwa: 'Kada wa CCM amvaa Samia, hatukuogopi wewe Siyo Mungu' imepotoshwa
Habari zenu wakuu..
Naomba ushauri kuhusu mpangaji wa baba yangu
Wakuu, naomba ushauri kwenye jambo ambalo limenifanya nifikirie sana.
Mzee wangu ana nyumba anayopangisha, na kwa sasa ana mpangaji ambaye amekuwa akilipa kodi yake kwa wakati. Tatizo ni kwamba nimepata taarifa zinazodai kuwa...
Habari wanajamii forum,
Naomba experience kwa wadau wa forex.
Nimekuwa niki trade pullbacks strategy kwa muda hasa baada ya kusoma kitabu cha Al brook nikasema acha ni focus na hii,
Win rate kila niki analyse per day ni 80% hadi 90% but shida moja tu discipline,
Unaanza week na discipline...
Kuna watu humu wanaroho nyepesi sana.
Yaani hawana emotional maturity kabisa
Yaani nimeanzisha uzi unakuja na maneno machafu, then na kujibu kiustaarabu alafu una report kwa modz eti umetukanwa?
Aisee mnachekesha sana.
Anyways..
Najua mimi ni platinum maana hakuna kiumbe mwingine hapa wa...
Kuna wakati maisha yanakupeleka sehemu mpaka unatamani usingezaliwa kwenye hiyo familia uliyopo.
Au unajikuta unajuta kuishi, imefikia hatua mpaka mtu unatamani kujiua tu ili uepukane na madhila ya dunia.
Naandika hii thread huku nikiwa natetemeka na kukata tamaa. Natamani mtu aniambie tu...
SIO KOSA WALA DHAMBI MTU KUWA CCM AU CHAUMMA; NI USHENZI NA UKATILI KULAZIMISHA WATU KUWA CHAMA KIMOJA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Hii tabia wako nayo wafuasi na wanachama wengi wa CHADEMA.
Ni tabia mbaya sana ambayo ni kiashiria cha ukatili na ubinafsi.
Muache hii tabia. Ni tabia...
Mwenyezi Mungu Baba alituumba kwa mfano wake yeye mwenyewe, hii sio KAULI yangu ni ya Mungu mwenyewe, nenda kasome maandiko matakatifu.
Sambamba na kufanana nae, pia alimpa mwanadamu akili za kutawala viumbe vyote ILA hapo si kwamba ukiwa Rais UNAKUWA na akili kuliko mpaka viumbe wenzako yaani...
Wakuu hii imakaaje kwamba kwamba wazanzibar ndio wanauchungu na Zanzibar ila watanganyika wao ni mapoyoyo yanalipwa kufanya chochote.
Wazanzibar walikupigia kura kwa sababu ya uwezo au uzanzibari wako!? Watanganyika wao ni wakurubuniwa kufanya chochote
Sio kwa ndugu, rafiki, askari wala mwanajeshi hata kwa mkuu wa nchi siwezi jiliza wala kutia huruma ili nipate kitu fulani au haki fulani nitapambana mwenyewe.
Nimegundua watu hutumia kujiliza kwako au kulalama kwako kama mwanya wa kukukandamiza japo sio wote
Usimlazimishe mtu akuelewe.
Watu sahihi wataona nia yako bila kulazimika kujieleza mara elfu. Sio kila mtu atatafsiri moyo wako kwa usahihi, na si kila mtu anahitaji kupata maelezo ya kila unachofanya.
Acha matendo yako yazungumze. Linda amani yako, na usipoteze nguvu ukijaribu kujithibitisha...
Wanajamvi kama kichwa kinavyosomeka, natamani kujua biashara yenye mzunguko na faida nzuri kati ya agrovet na hardware kwa maeneo ya Mbeya.
Kwa faida yangu na ya wengine naomba wazoefu na watalaamu mtupe dondoo kidogo hapa.
Natanguliza shukrani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.