de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 10,855
- 21,543
Jamani tuachane na maelezo ya kawaida I need genuine explanation. Kuna jitu litajibu Kikawaida, nataka psychological, cultural, biological and scientific reasons
What causes fear, na why do we fear to die... Na wengine hata huogopa kuwa wao na kufanya vitu watakavyo.. Mfano mtu anaweza kusikia mziki unapiga mbele Za watu akaogopa kucheza, ila akiwa mwenyewe ndani anakata mauno.
Naombeni nijue wataalam