Kuna muda mtu anabadilika, halafu watu wanaanza kujiuliza: “Huyu amepatwa na nini?”
Jana nilikaa nikawaza mambo mengi sana kuhusu maisha, watu na namna tunavyohukumu mtu bila kujua kinachoendelea upande wake.
Nikagundua kuna watu wanapenda sana mtu wa zamani.
Ukianza kukaa kimya, unasemekana...