Huwa wanasema mtu mzima ukivuliwa nguo chutama. Yaani chuchumaa.
Nimeshangaa sana. Kuna mtu kavuliwa nguo. Yeye kainama... Sasa tunashangaa kusudio lake nini? Amejitoa mhanga? Hajali au Kiburi?
kama kawaida ya CcM ukiwauliza leteni hoja wao ni kusimanga chama kitakacho kuwa mwiba kwao tena na kutunga.
Sasa leo dodoma tumethibitisha yale ya Idd amin kule uganda yule marehemu alikuwa na kauli za kejeli na masimango mpaka zikamfanya raisi nyerere kumtandika.
Leo ndo ninemegundua Tatizo langu kubwa ni kutopenda kumpa mtu pesa.
Nimeombwa pesa ya Kununulia umeme nikamwambia Tuma miter namba, kilichofuata mtu kaka kimya hajibu sms Wala simu Hapokei.
Baada muda akatuma sms
"Yaani wewe ni Mgumu sana kumpa mtu pesa, mtu akikuambia anashida unamuuliza...
Huu mfumo wa raisi akifa mtu ajitwalie madaraka ya aliye fariki kirahisi tu unaweza kuingiza mtu anayejua kusoma na kuandika tu.
Huu mfumo wa kuiba kura na kuwa na tume isiyohuru unaweza kutuingizia watu wanaojua kusoma na kuandika tu.
Kwahiyo kwa misingi hii mtegemee nini ? utaona mtu anauza...
Kutoka Pm: " Mkuu Likud mbona siku hizi uandiki mada kuhusu uchawi? Anyways mtaani kwetu kuna mdada kafariki ghafla, mama ake anasemekana ni mchawi. Tetesi ni kwamba binti aliingizwa Kwenye uchawi then akaukataa. So nauliza kwanini MTU akijitoa Kwenye chama cha uchawi wana muua...
Habari zenu
Kuna mchepuko wangu ni mke wa mtu,sasa kazini kwao weekend hii wanatakiwa kwenda training somewhere huko arusha ila yeye kaniambia hatoenda huko kwenye hiyo training instead kaniambia twende zetu zanzibar tukale raha.
Nikubali au nikatae wakuu?
Kuna watu wengi sana wakishakula Maharage ya jana wanakula mstari wa mbele kueneza uongo wa kila aina kuhusu Israel.
Wengi wanaoeneza uongo huo hata hawajui Historia ya Israel na hawajawahi kufika katika nchi hiyo wengi wamemezeshwa uongo na viongozi wao wa kidini na wengine wamevutwa tu na...
Mpo salama!
Mbunge mzima, yupo bungeni, anatumia muda wa bunge na watanzania kujibishana na Gen Z ya Kenya. Kweli!
Ni ukosefu wa mambo ya kujadili au ni nini?
Ni kuongozwa na mihemko au ni kitu gani?
Yaani mtu mzima na akili zake asumbuliwe na Gen Z wa Kenya kweli?
Nimesikitika Sana...
Juzi aliyekuwa Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua, alinukuliwa akisema: “Mtu aliacha shule darasa la pili anataka kuwa mbunge? Mtu asiyejua hata neno moja la Kiingereza awe mwakilishi wa wananchi?”
Hii kauli imeibua mjadala mpana kuhusu sifa za msingi zinazopaswa kumfanya mtu astahili kuwa...
Hiyo namba ndio mwaka wangu wa kuzaliwa,ulivyokuwa na hamu ya kujua Etugrul Bey ana miaka mingapi utapiga hesabu bila aibu ujue nina miaka mingapi,usijichoshe hii may nimetimiza miaka 46,je kuna mwenye shida na hilo?
Nakumbuka nikiwa Chuoni kuna mtu wa Library kipindi hicho alikuwa kwenye 40's...
Mshindani aliyejiondoa kwenye Uchaguzi ujao, kwa lugha ya kisasa mnasema "ameweka mpira kwapani"
Yanini akusumbue.....kwanini usiachane nae?
Kwasababu amekuwa si mshindani wako tena.
Naomba niwe straight tu.
CCM kwenye uchaguzi ujao ina mteremko.....nasema hivi nikiamini uchaguzi lazima...
Jeshi la Polisi limesema linamshikilia Mtu mmoja kwa tuhuma za mauaji ya Katekista wa Kanisa Katoliki, Vincent Mwenda ambaye alifariki Mei 10, 2025 kwa kushambuliwa na kitu chenye ncha kali.
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa, Augustino Senga amesema wanamshikilia Lameck Mwamlima (29), Fundi...
Balancing the equation, baadhi ya wakosoaji ni lazima watoke ndani ya ccm ili kutengeneza uwiano ulio mzuri,
#Hata Wana ccm wenyewe hili jambo linawashangaza sana juu wahalifu, katika kuendeleza ualifu wao,
Siamini ya kuwa hata chadema wenyewe wanaidadi kubwa namna hii inayodaiwa watu kupotea...
"KILA MTU ANATAKA KUPATA, LAKINI WANGAPI WANAJUA KUTOA?"
Maudhui ya Post:
Ni rahisi sana kusikia mtu anasema:
“Natafuta connection... nisaidieni fursa... ntaanza biashara nikipata mtaji... nangoja mtu anielekeze njia...”
Lakini ni wachache sana wanaojiuliza:
"Mimi mwenyewe natoa nini kwenye...
Mit 20:27 SUV
[27] Pumzi ya mwanadamu ni taa ya BWANA; Hupeleleza yote yaliyomo ndani yake.
Ukisikia unachunguzwa au unafuatiliwa nyendo zako zote, inaweza kukushtua na kukuongeza umakini katika kutembea kwako na kutenda kwako, wengine tunajua tunachunguzwa kila wakati kutokana na kazi zetu au...
Nafikiri sex inawanufaisha Wanawake Ila kwa wanaume is waste of time
Ukitazama Vijana Ambao hugonoka wamepoteza Sana Nuru .
Binafsi nipo na 30 yrs now nimeacha Sex kwa muda wa mwaka mmoja na nimeacha kutumia vinywaji vya dukani even junk food
Ila nimerudi early 20 Nuru imewaka uwezo wa...
Tunapofikiria reforms za mifumo yetu ya uchaguzi, sisi kama wananchi ni vyema kwenda mbele zaidi ya agenda ya reform kama zinavyodaiwa na wanasiasa. Si puuzi umuhimu wa hoja za uenguaji wa wagombea, wizi wa kura na utangazaji wa matokeo batili, lakini hata kama yanayolalamikiwa yatabadilika...
Its simple,
Wewe anakuuliza hivyo kama njia ya kejeli kwa maana anajua hauna uthibitisho wa kumuona
ila na yeye anasahau kuwa yeye mwenyewe Hana uhakika kama kweli hayupo kwa maana labda kweli yupo ila basi tu yeye ndio hajawahi kumuona🤣
Yule mbunge aliyejiita yeye ni mafia hakuna mtu atakayegombea kwenye jimbo lake atammaliza na kumpoteza amechukiliwa hatua gani ?
Je, wakwapi wale wanaosema wanalinda amani ya nchi, je huyu mbunge haaribu amani na usalama wa nchi kwa hayo aliyoyasema au kulinda amani kunafanya kazi kwa wale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.