Mliotia nia wote naona mmeanza choko choko kabla hata majina matatu hayajarudi, zingatien kaulimbiu yetu kuwa chama kwanza mtu baadae, Kama huwezi nendaaa, msitugawe na kutuharibia chama
Ndiyo hali tuliyofikia kwenye utawala wa Mama chini ya serikali ya CCM,
Yaani kila mtu kabaki kusifiya, si maofisini,mitaani kwenye nyumba za ibada na hata kwenye makundi ya kijamii kama magroup ya kifamilia
Yaani ukionekana unaikosoa CCM na serikali basi unaoneka kama muhaini
Kwa mujibu ya waliosikia sauti yangu kabla ya kuniona walinitafsiri kama brotherman fulani naye vimba halafu nimejipata kumbe ni mshikaji tu wa gheto anayepambania maisha yake.
Mzee mmoja akakutana na kijana aliyemuuliza:
"Unanikumbuka?"
Na yule mzee akamjibu hapana. Basi yule kijana akamwambia nilikuwa mwanafunzi wako, na mwalimu akamuuliza:
"Unafanya nini sasa, unajishughulisha na mambo gani katika haya maisha?"
Yule kijana akamjibu:
"Nilikuja kuwa mwalimu."...
Mtume Paul alipokuwa anachambua karama ya kunena kwa lugha na kuhutubu/ unabii aligusia umuhimu wa kuhutubu (unabii) kwa watu wasioamini wanapokuja mahali kwa walioamini.
Katika karama 9 kuu ambazo mtume Paul kazigusia karama ya kunena kwa lugha na Karama ya unabii ndizo kazichambua kwa upana...
Alichoandika ni mish mash. Lakini I have tried to sort it out.
Hii ndiyo msg yake.
Nitaongea mengi ya kusikitisha.
Lakini kabla sijaongea mtafute yule mtu aliepanda gari na Mr. Magufuli kutoka Mbezi. Kwa sababu walipopanda Ile gari ulikuwepo ugomvi kati yao.
Ugomvi wao ulikuwa yule...
Shekhe aibua sakata la kesi ya Tundu Lissu wakati wa uzinduzi wa jengo jipya la kanisa la Mwamposa.
"Mtu anasema tukinukishe, haya kukishanuka hapa wewe unaenda wapi?" anaeleza Shekhe Mohammed Mawinda
Hiki kitu nimekuwa nikijiuliza sana Masheikh wengi wamekuwa wakitete Amani badala ya haki,huku ukiangalia kwa maksudi serikali na chama tawala haitaki kukubali kubadili baadhi ya vifungu vya katiba na sheria vya tume ya uchaguzi vitakavyotupeleka kwenye haki ya kumchagua kiongozi, siyo amani ya...
Yaani mtu unaweka milion 10 Ili ikuletee elfu 99 Kwa mwezi hivi watu wa aina hii Kuna rafiki yangu anamiaka 30 anafanya huu ujinga hivi Hawa watu waga wamerogwa maana hii pesa ukiifanyia biashara unavuna mpunga wa maana sana Kila mwezi aisee embu vijana changamsheni akili acheni kuzubaa
01. Angalia mabadiliko ya haraka kwa mkeo: Kila wikiendi jioni, anavaa vizuri na kuondoka nyumbani. Ukimuuliza anasema: "Kinamama tuna maombi ya kufunga na kuomba mwezi mzima kanisani, ntarudi baada ya masaa mawili." Tambua anaenda kufunga ndoa nyingine!
02. Chunguza matumizi ya perfume: Mke...
. Huo ndio utaratibu tulojiwekea, ndo maana tulianzisha polisi, mahakama na magereza. Ukilinganisha vitendo vya utekaji, mateso, mauaji ,kupotezwa kwa wananchi kunakoshika kasi inchini, ni bora ten times kukubalina na njia sahihi ya kisheria ya kushugurikia watuhumiwa inayohusisha polis...
Nimeshangaa kusikia wananchi wanamuua MTU kwa kosa la kuiba lap top ya lakimbili .
Na najiuliza hawa jamaa ni kweli hawana akili .Ila hata kufikiria hawawezi?.
Sijawahi kumwambia mtu kuhusu hii hali ambayo imekuwa inanitokea kwa miaka zaidi ya 10 sasa hasa toka nimpoteze Kaka yangu.
Tulicheza pamoja, Soma pamoja alikuwa kama best friend japo alinizidi miaka 3.
Kwanza japo amefariki zaidi ya miaka 10 sasa lakini karibu kila siku lazima niote tupo...
30 Jul 2015
Mbunge Tundu Lissu ambaye pia ni Mwanasheria wa CHADEMA alikutana na ripota Fredrick Mwakikato wa TZA ) na kuzungumzia ishu kadhaa ikiwemo ya Lowassa kujiunga na CHADEMA.
Wakuu, hili suala la kupikapika kuna members humu wanaudharau UGALI kwamba ni chakula cha mifugo km Nguruwe na Mbwa ila nyuma ya Pazia ukiangalia unagundua ni watu ambao UGALI hawajui kuupika wanapika ujinga ujinga mwisho wanatoa kitu DOSO yaani MALOLOSO kitu kibichi kibichi mpaka wageni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.