mtu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Wanawake: Unajisikiaje kila ukipata mwanaume anaeleweka, anakuwa tayari ana mtu wake

    Kwema humu Jamani mimi kadogo2 sijui lini nitapata laazizi wa moyo wangu.. kila napogusa pamewahiwaa Hii hali kwangu imekuwa ikiniumiza sana maana unajikuta unampenda mwanaume kumbe tayari ana wake ambae labda wanapendana ama anampenda na kuachana kwao inakuwa ngumu Katika umri wangu huu...
  2. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Nini kinachochea mtu kwenda kutembelea kwao?

    Kuna jamaa bodaboda Tu ila kwao loilondo amekuja dar 2009 hajawah kwenda kwao hata mawasiliano na watu wake Hana.Hio imekuaje ni fair kweli kutuachia wakati mgumu wa kutafuta ndugu zako ukipatwa majanga.Na mtu anajivunia kabisa kutokuwa na maelewano mazuri na watu wa kwake.
  3. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Kama kuna Mtu yupo na shule ila anahitaji mwalimu competent ambaye ataisaidia shule kuhakikisha inakua naomba tuwasiliane

    Habari wakuu . Mimi ni Mwalimu ambaye nafundisha kuanzia Kindergarten mpaka form six . Kama upo na Shule ambayo unahitaji kuikuza kupitia Mwalimu competent . Uwezo wangu upo katika haya maeneo . Kufundisha Kufanya mentoring Kuwashawishi wazazi ili wawalete wanafunzi kujiunga katika shule...
  4. Knock life

    JamiiForums Tanzania Mtu anajiita 45 ukifatilia kwa makini hata 45 yenyewe hajui ni nini

    Unakuta MTU anajiita 45 , ukifatilia huyu Ana anachojua anajua hata 45 yenyewe au ni nini au nikufatilia trending za kishamba. Badala ya kufuatilia mambo ya msingi ya kuwainua kiuchumi wao wanafatilia cheap issues.
  5. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Polepole kaonyesha kivitendo maana ya Demokrasia: Usipokubaliana na Kiongozi wako, unajiuzulu!

    Balozi Polepole kaonyesha kivitendo maana halisi ya Demokrasia. Hakutaka kuwa mtu mnafiki, kucheka usoni lakini hukubaliani na yanayotokea hadharani kisiasa. Kaonyesha kuwa UCHAWA NI DHAMBI ya nafsi. Kujiuzulu kwake Polepole kutamjengea heshima in the long run. Bila kuonyesha sababu zake za...
  6. Nazjaz

    JamiiForums Tanzania Ukizingua, Kikwete haku-deal na watu, ali-deal mtu

    Mzee Kikwete alikuwa vizuri sana kupangilia vitu vya kuongea hakuwa mropokaji na mtu kwa watu. Alijua kudeal na mtu siyo watu! Yaani kama issue ya Gwajiboy, yaani waumini wala asingewapiga mabomu ange deal na mhusika ila baada ya kufatuta hasa chanzo ni nini. Bahati mbaya sana Mama inawezekana...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Chonde chonde watia nia, kumbukeni chama kwanza mtu baadae

    Mliotia nia wote naona mmeanza choko choko kabla hata majina matatu hayajarudi, zingatien kaulimbiu yetu kuwa chama kwanza mtu baadae, Kama huwezi nendaaa, msitugawe na kutuharibia chama
  8. Principle girl

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu amewahi kupata mwenza kupitia hili jukwaa?

    Kama kuna mtu amewahi kupata mwenza kupitia hili jukwaa alete ushuhuda hapa
  9. E

    JamiiForums Tanzania Crystal palace aikosa nafasi ya kushiriki Europa ,Huku Bongo kuna mtu ana mkono katika timu 8

  10. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania Chains and Whips: Pharrell Williams sio mtu wa kawaida

    Pharrel Williams hafai, hii ngoma amejua kuisuka. Bila kusahau...Pusha T is him!!! https://youtu.be/P-9aHIcg1Vc?si=QwBmxX8Slo8UEqX7
  11. K

    JamiiForums Tanzania Watu wengi wameingiwa na uoga wa kuikosoa serikali,kila mtu kabaki kusifia kwa kuogopa kufanyiwa mabaya

    Ndiyo hali tuliyofikia kwenye utawala wa Mama chini ya serikali ya CCM, Yaani kila mtu kabaki kusifiya, si maofisini,mitaani kwenye nyumba za ibada na hata kwenye makundi ya kijamii kama magroup ya kifamilia Yaani ukionekana unaikosoa CCM na serikali basi unaoneka kama muhaini
  12. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Sauti yako ina kutafsiri kama mtu wa namna gani?

    Kwa mujibu ya waliosikia sauti yangu kabla ya kuniona walinitafsiri kama brotherman fulani naye vimba halafu nimejipata kumbe ni mshikaji tu wa gheto anayepambania maisha yake.
  13. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Ili kumfundisha mtu, huna haja ya kumdhalilisha

    Mzee mmoja akakutana na kijana aliyemuuliza: "Unanikumbuka?" Na yule mzee akamjibu hapana. Basi yule kijana akamwambia nilikuwa mwanafunzi wako, na mwalimu akamuuliza: "Unafanya nini sasa, unajishughulisha na mambo gani katika haya maisha?" Yule kijana akamjibu: "Nilikuja kuwa mwalimu."...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Msaada Vitafunwa sahihi kwa mtu mwenye Madonda ya tumbo

    Wakuu nauliza vitafunwa vipi sahihi kwa mtu mwenye Madonda ya tumbo,atumie vitanwa Gani kwa ajili ya chai
  15. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mtu anafika madhabahuni anatoka bila kumpokea Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wake. Hili ndilo tatizo nililoliona madhabahuni kwa Mwamposa jana

    Mtume Paul alipokuwa anachambua karama ya kunena kwa lugha na kuhutubu/ unabii aligusia umuhimu wa kuhutubu (unabii) kwa watu wasioamini wanapokuja mahali kwa walioamini. Katika karama 9 kuu ambazo mtume Paul kazigusia karama ya kunena kwa lugha na Karama ya unabii ndizo kazichambua kwa upana...
  16. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Mtu kanitumia huu ujumbe; Unadhani mtu huyu kanywa pombe gani?

    Alichoandika ni mish mash. Lakini I have tried to sort it out. Hii ndiyo msg yake. Nitaongea mengi ya kusikitisha. Lakini kabla sijaongea mtafute yule mtu aliepanda gari na Mr. Magufuli kutoka Mbezi. Kwa sababu walipopanda Ile gari ulikuwepo ugomvi kati yao. Ugomvi wao ulikuwa yule...
  17. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh aibua sakata la kesi ya Tundu Lissu kanisani kwa Mwamposa. Asema 'Mtu anasema tukinukishe, haya kukishanuka hapa wewe unaenda wapi?'

    Shekhe aibua sakata la kesi ya Tundu Lissu wakati wa uzinduzi wa jengo jipya la kanisa la Mwamposa. "Mtu anasema tukinukishe, haya kukishanuka hapa wewe unaenda wapi?" anaeleza Shekhe Mohammed Mawinda
  18. K

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Masheikh wengi wanatetea Amani,badala ya Haki?j wakati Mtu Muhamad S.A.W ilibidi kuitafuta Haki kwa upanga?

    Hiki kitu nimekuwa nikijiuliza sana Masheikh wengi wamekuwa wakitete Amani badala ya haki,huku ukiangalia kwa maksudi serikali na chama tawala haitaki kukubali kubadili baadhi ya vifungu vya katiba na sheria vya tume ya uchaguzi vitakavyotupeleka kwenye haki ya kumchagua kiongozi, siyo amani ya...
  19. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu na akili zako timamu unawekezaje milion 10 Ili ikuletee faida ya elfu 99 m wekeza huu ni ukichaa

    Yaani mtu unaweka milion 10 Ili ikuletee elfu 99 Kwa mwezi hivi watu wa aina hii Kuna rafiki yangu anamiaka 30 anafanya huu ujinga hivi Hawa watu waga wamerogwa maana hii pesa ukiifanyia biashara unavuna mpunga wa maana sana Kila mwezi aisee embu vijana changamsheni akili acheni kuzubaa
  20. Setfree

    JamiiForums Tanzania Ukiona dalili hizi, ujue tayari kuna mtu ameishamuiba mke wako!

    01. Angalia mabadiliko ya haraka kwa mkeo: Kila wikiendi jioni, anavaa vizuri na kuondoka nyumbani. Ukimuuliza anasema: "Kinamama tuna maombi ya kufunga na kuomba mwezi mzima kanisani, ntarudi baada ya masaa mawili." Tambua anaenda kufunga ndoa nyingine! 02. Chunguza matumizi ya perfume: Mke...
Back
Top Bottom