Nimeongia mtego flan, kuna mke wa mtu amenikopa hela, karudisha laki mbili na nusu bado namdai nyingine, ahadi ya kulipa imefika lakini ananikwepa, mume wake hafahamu haya. Nifanyeje?
Huu ni ukweli mchungu ambao hata kama kuna watu hawaupendi, itabidi wauvumilie mpaka 2030!
Tusimung'unye maneno, Samia urais anautataka, na amewekeza kuhakikisha anaupata!
Kwenye siasa hakuna bahati mbaya! Kilichotokea kwenye mkutano mkuu, hakikuwa bahati mbaya! Ulikuwa ni mkakati uliopangwa...
Wakuu mpo wazima hapa.
Leo nimewaza tu.
1. Kuna mtu ana jikuta yeye ni NYERERE wa sasa hivi hapa jamhuri ya muungano wa Tanzania
2. Kuna mtu hataki kustaafu. Analazimisha mambo kwa utashi wake na manufaa yake na familia yake.
3. Kuna mtu ameonesha udalali wake wazi wazi. Kashindwa ndani ya...
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila anasema,
Akirejelea Utafiti unaosema kwenye nchi ambazo watu wake wanakipato chini ya DOLA 1,000 Kwa mwaka zinaweza kuishi kidemokrasia si zaidi ya Miaka 10 tu na baadae kuangukia kwenye Tawala nyingine zisizo za...
ULIMWENGU WA SASA MATUMIZI MAKUBWA NI YA ARTIFICIAL INTELLIGENCE (ROBOT) NOW WHATSAPP KUNA ROBOT MAARUFU KAMA WHATSAPP BOT.
""baadhi ya features zilizopo kwenye whatsapp bot""
1. VIEW STATUS HERSELF THEN JUST NOW 🙄📱Ina uwezo wa kuview status hata ukiwa offline muda wowote.
2. TUMA NYIMBO KWA...
80% 90% ya wanandoa wengi wamejikuta wako ndani ya ndoa na watu ambao si sahihi kwao.
Watu wote ni sahihi, wanawake wote ni wife materials, wanaume wote ni husband materials lakini si wote wanaweza kuwa sahihi kwako .
La haula baada ya kufunga ndoa, baada ya kuzaa na mtu ndipo unagundua huyo mtu...
Morning.
Kuna Dada mmoja alimpata kijana mmoja akiwa na only 20 years .
By that time Huyo Dada mchumba wake wote walikuwa wanasoma.
Baadae yule Dada alimaliza masomo yake na kujariwa na Mwananchi na baadae BBC.
Na yule Kijana alimaliza masomo yake akaenda jeshini na Kuwa na cheo kikubwa tu...
Nimekuwa nikiitumia JamiiForums tangu inaanza. Kwanza niliitumia kawaida bila kujiunga, mpaka nilipoamua kujiunga rasmi mwaka 2013. Kila ninapoingia mtandaoni mtandao wangu wa kwanza ni JamiiForums. Mara zote nilipoingia, nilikuta habari za watu wengine mpaka hii leo nilipoingia na kukuta tuhuma...
Abtali Mwerevu ni member Mkongwe Ila tapeli .
Anakuja JF anatangaza ajira ambazo zimejaa utapeli mkubwa kuna ajira katangaza juzi watu wamemfata WhatsApp kawafanyia utapeli.
Kuweni nae makini au apewe life ban
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, amesema kuwa chama hicho hakiogopi vitisho, ukandamizaji wala hila dhidi ya wapinzani, na kitaendelea kusimama kidete kutetea haki, uhuru na maisha ya Watanzania wote
Akizungumza Julai 23, 2025, wakati wa kutoa...
Wakuu, msaada wenu naomba msaada kwenye jambo.
Hivi unamsaidiaje mtu ambae akili zake zimeruka?. Yaani mwanzoni alikua na akili timamu kabisa ila ghafla tu anageuka kua FYATU anaanza kuongea vitu vya ulimwengu ambao hauonekani kwa macho, unamsaidiaje?
Halafu nyie mnaozushia watu...
Hivi sasa ni saa 4 usiku na madakika! Salamu kwenu wanajukwaa!
Katika jamii tunazoishi tunashirikiana na watu wengi sana, kila siku inapoanza maisha yetu yanahusisha kukutana na watu mbalimbali. Sasa utatambuaje kwamba mtu aliye karibu yako ni Psychopath au Serial Killer.
Pyschopath ni mtu...
Habari wanajf
Kuna rafiki yangu ni mwajiliwa mahari flani , anamuda mwingi wa ziada baada ya kazi, anataka huo mda wa ziada ajifunze kozi nzuri online ambayo ipo sokoni Ili imsaidie kupata pesa ya ziada baada ya kumaliza masaa ya kazi.
Vifaa vya kujifunzia vipo Pc, smartphone, bando 24/7 hours...
Utakuta Mtu Ameajiriwa Tayari Serikalini Lakini Bado Anafanya Maombi ya Ajira: Hawa Nao Wanasababisha Upungufu wa Ajira Nchini
Kuna watu ambao tayari wamepata ajira serikalini, wamepangiwa vituo vya kazi, na wanaendelea kupokea mishahara kila mwezi. Lakini jambo la kushangaza na la kusikitisha...
Baadhi ya wanazuoni na maulamaa katika dini ya kiislam wanasema mtu anaweza kula nyama ya nguruwe endapo mtu atakuwa katika mazingira ambayo hakuna chakula cha aina yeyote zaidi ya nguruwe, apa mja anaruhusiwa kula nyama iyo kwa lengo la kupoza njaa na kujiepusha na kifo.
Maana katika maandiko...
Mdogo mtu huwa anapitia misukosuko mingi ila kaka mtu kamwe hajawahi kaa pembeni. Tundu Lissu ana bahati kuwa na kaka kama Alute. Hakika Alute ni mfano wa kuigwa. Apewe tuzo ya kaka bora. Ila pia Tundu Lissu anaonyesha ana adabu kwa wakubwa zake kwenye familia ndo maana kaka yuko naye bega kwa...
Salaam!
Ukisikiza kauli za mtu huyu zilizopita ukilinganisha na aliyotoa Jana,
Ni kama anafuta kauli zake zote zilizopita kwamba tubaki na hii ya Jana .
Amesema kwamba, jukumu lake ni kulinda watu wote na dini zote na Imani zote,
Kwamba serikali haina mamlaka kuingilia uhuru wa watu kuabudu...
Mayai ni chanzo cha lishe mwilini, lakini ulaji wa mayai kupitiliza ni hatari.
Hivi karibuni mtu mmoja kutoka India amefariki dunia baada ya kujaribu kula mayai 50 kwenye mashindano ya kula mayai huko nchini India, alianguka na kupoteza fahamu baada ya kula mayai 42.
Marafiki wawili waliweka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.