mtu

  1. Mtu mmoja awa albino baada ya kutumia Metakeflin

    Hafidh Damson Masokola (57) alikuwa katika na rangi yeusi kama watu wengine lakini mwaka 2010 alipougua malaria na kuanza kutumia metakeflin alibadirika na kuwa albino. Masokola, mkazi wa Tabora anadai kuwa hakuwa anajua kuwa ana mzio na Sulphur, madini ambayo yako mengi kwenye dawa hizo...
  2. Kisa cha Kweli: Pale mtu wa kawaida unaposhindwa kutumia fursa iliyo jitokeza ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Star wa Hollywood

    Salam ziwafikie wana MMU wote, Leo nimeona nije kuwacheki wadau wa MMU na kuwapa kisa cha dada mmoja maarufu sana Hollywood anaitwa Sharon Stone. Upweke noma sana, hakuna shujaa mbele ya upweke au penzi, Penzi ni pacha wa upweke, huzuni na furaha. Mapenzi yanapo vamia roho ya mtu lazima atii...
  3. M

    Vitu gani muhimu vya kuangalia na kukagua wakati wa kununua gari kwa mtu

    Wajuzi naomba nipeni elimu kidogo nataka kuchukua ndinga kwa mtu ni Toyota Allex, ni vitu gani vya muhimu kuangalia na kuchunguza kabla sijatoa hela nisije kupigwa.
  4. Z

    Kuna yeyote aliyewahi kufanikiwa kupata simu yake iliyoibiwa kupitia Cyber Crime Unit?

    Wanajamvi, Nipo hapa kutaka kujua nakosea wapi. Mpaka sasa ndani ya miezi sita nimeibiwa /poteza simu tatu- smart phones. Simu ya kwanza nikairipoti polisi, Central Police, Dodoma kwa taratibu za kawaida za kipolisi pale Cyber Crime Unit lakini nikawa sina IMEI number hivyo nikaambiwa ndiyo...
  5. T

    Tambua: Matokeo yanaweza kuonyesha negative, lakini mtu akawa na HIV na kuambukiza zaidi kuliko mgonjwa wa zamani

    Nimeona mara kadhaa watu wakijiona wapo salama kufanya ngono bila kinga kwa sababu tu wamepima na matokeo kuonyesha negative. Hiyo sio sawa, kwa sababu vipimo vya juu kabisa kwa ujumla vita-detect HIV angalau week 4 baada ya maambukizi. Vipimo vitaonyesha matokeo sahihi kwa watu walio wengi...
  6. S

    Tukiwa jamii iliyostaarabika, lipi ni kosa kubwa na zito zaidi kwetu kati ya kuua mtu au kuchana kitabu cha dini kama Quran au Biblia?

    Ukituhumiwa kuua mtu, (au kumnyang'anya mtu haki yake ya kuishi) tunategemea utafikishwa mahakamani na kujibu mashataka ya kosa la kuua. Inawezekana kabisa, hukumu ya kesi yako ikawa ni kuachiwa huru kwa kuwa katika ushahidi uliotolewa ulionyesha labda ulisingiziwa, au uliua kwa kujitetea maisha...
  7. Dhana: Virusi vya Corona ni gonjwa la kutengeneza na atakayeumia zaidi ni mtu mweusi

    Kichwa chahusika, huu ni utafiti wangu, japo kuwa kuna mtu atasema umetoa wapi chanzo cha taarifa, sasa hata uko unakotaka kuamini ni watu kama mimi tu, na ikiwezekana nimewazidi baadhi ya mambo. Unajua, Afrika, tunashida sana, JF, story nyingi ni migegedo tu, lakini amini amini nakwambia, huyo...
  8. K

    Pengo la mtu kama Balozi Sefue linaonekana Serikali hii

    Pamoja na kwamba hakuwa mwanasiasa Sefue alikuwa mtu kama vile Consultant kwenye serikali ya Kikwete. Kwanza hakuwa mbunge, hakuwa waziri lakini aliziba pengo kwenye sehemu muhimu za kitaifa. Kwanza alikuwa ni mtu ambaye anajua biashara za kimataifa, alikuwa balozi aliyebobea, alijua miradi...
  9. Kuna mtu alipost ana nyumba mbili za kupangisha Chanika na moja Banana naomba namba yako

    Kuna mtu alipost tangazo kuwa ana nyumba mbili Chanika na moja banana ilikuwa kama week mbili nyuma. Nahitaji namba yako nimetafuta thread sijaipata.
  10. Jinsi mtu aliyekata roho anavyoweza kurudi kwenye mwili wake

    Jamii zetu za Kiafrika na Tanzania kwa upekee wamekuwa wakifanya sayansi hii ingawa miaka ya karibuni umeonekana kumezwa na maendeleo ya sayansi na teknolojia. Ipo hivi.." Mtu anapokata roho hufa taratibu na kwa hatua na kwa yeyote aliyewahi kuona wakati mtu anakata roho anaweza kubaini hatua...
  11. Ota ndoto yako, usioteshwe ndoto ya mwingine

    Na Elius Ndabila 0768239284 Kuna mtu ukionana naye au ukimsikia unatamani umwambie unapotea, lakini hofu inakujia kuwa nikimwambia uhusiano wangu na yeye utakufa au anaweza kunidhuru. Njoo nikwambie kitu; Hivi hujawahi kutana na mtu akakwambia kuwa mimi darasani kwetu ndiye nilikuwa na akili...
  12. J

    Lema: Wabunge wa CCM kumbukeni kuwa mambo yakiharibika tutazama wote bila kujali itikadi ya mtu

    Mbunge wa Arusha mjini mh Lema amesema wabunge wa CCM wanajisahau sana lakini mambo yakiharibika ni kama " mafuriko" yatawazoa wote bila kujali itikadi. Lema amesema atagombea ubunge mwezi octoba ili kuacha alama kwamba katika mminyo wa demokrasia kuna " wanaume" wachache walisimama hadi...
  13. Hii nchi imekuwa kama familia ya kambale, kila mmoja ana ndevu

    Hii nchi yetu sasa imekuwa ya ajabu sana. Viongozi wetu nao wamekuwa vituko na watu wa ajabu kabisa. Imekuwa kama familia ya kambale ambapo ukoo mzima una ndevu.Yaani kanchi kamekuwa na mambo ya kipuuzi puuzi tu yasiyokuwa na adabu. Kanchi sasa hakana mipango, hakana sera wala hakana uelekeo...
  14. Kumpiga mtu picha akiwa eneo la kazi na kuzituma mtandaoni; taratibu za kisheria zinasemaje?

    Nahitaji kujua taratibu za kisheria kuna mzungu Kingozi wangu kanipiga picha eneo langu la kazi na ametuma WhatsApp
  15. Mtu mwenye deni la trillioni 100 ni tajiri kuliko mwenye bilioni 100 kwenye akaunti yake, kuna mtu anabisha?

    Kuna ufafanuzi nilitaka niutoe ila nimeghairi kwanza, labda aje mtu aseme anabisha
  16. GE2020 Dkt. Bashiru: Wanaotegemea Tume Huru iwape ushindi wanajidanganya! Tume haipigi kura

    Binafsi nimeshindwa kumuelewa kabisa huyu bwana mkubwa wa CCM. Maneno aliyo yaongea na elimu aliyo nayo sidhani kama vinaendana. HOTUBA YA DR. BASHIRU KWA UFUPI CCM inatoa salamu za mwaka mpya 2020, niwahakikishie watanzania kuwa tutaongoza siasa safi,ni mwaka wa kuheshimu maoni na uamuzi wa...
  17. K

    Zitto Kabwe adai kuna mkakati wa kumweka gerezani kabla ya uchaguzi

    Hii nimeitoa kwenye official Twitter page ya Zitto ==== Serikali ya Rais @MagufuliJP wameamua kutengeneza mashtaka ya utakatishaji Fedha dhidi yangu. Ofisi nzima ya TAKUKURU Makao Makuu imehamia Kigoma kubumba Mashtaka. Lengo ni kuhakikisha nakuwa Gerezani wakati wa Uchaguzi. CCM inatapatapa...
  18. K

    Elimu yetu iwe ya mfumo wa 6+3+2+3, miaka 20 mtu kashahitimu chuo

    Amani iwe kwenu! Kwa mfumo wetu wa sasa wa elimu mwanafunzi anaanza darasa la kwanza akiwa na miaka 7, anasoma elimu ya msingi kwa miaka 7, akifaulu anaenda sekondari kwa miaka 4, akifaulu anasoma sekondari ya juu miaka 2 na akifaulu anaenda chuo miaka 3 (au zaidi kwa baadhi ya fani). Kwa...
  19. Mjue mtu aliyemaliza kusoma kitabu kwa muda mfupi zaidi

    Anaitwa Anne Jones. Ni katika mwaka wa 2007, baada ya kuachiwa ujazo wa mwisho wa kitabu cha Harry Potter chenye jumla ya Page 784, Anne alifanikiwa kumaliza kusoma kitabu hicho kwa muda wa Dakika 47 tu. Kwa maana hiyo, Anne aliweza kusoma Maneno 4,200 kwa dakika. Ina maana, alikuwa na wastani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…