mtu

  1. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Tunaingia mwaka mpya huku mtu akiwa ameuwa maelfu ya watanzania wenzake sio hivyo tu amewasingizia watoto wadogo wa miaka 13 uhaini

    Tunaingia mwaka mpya huku mtu akiwa ameuwa maelfu ya watanzania wenzake sio hivyo tu amewasingizia watoto wadogo wa miaka 13 uhaini. Sio hivyo tu amewafunga wababa wa watu wakina polepole kinyume cha sheria kwa hirq zake.
  2. Stability

    JamiiForums Tanzania Ila kiuhalisia unampaje mtu zaidi ya 5000 kwa ajili ya short time.?

    Hii ni hujuma vijana wa kileo wanayofanyiwa kwa kubabaika na muonekano ili kiuhalisia bado huo ni mlupo na pochi aliyonayo ni hio hio hata zubeda wa silimang'ombe ndani ndani anayo. Kitendo ambacho asilimia 85 ya vijana hawawezi kuvuka hata dakika 2 ndio mtu analipishwa 10k, 20k, hadi 50k.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje mtu unashabikia CCM?

    Unajua huwa najiuliza na sipati jibu. Hivi inakuwaje mtu unashabikia ccm? Yaani pamoja na mateso yote haya yaliyosababishwa na yanayoendelea kusababishwa na hiki chama inakuwaje kabisa bado unashabikia CCM. Kipindi cha mfumo wa chama kimoja unaweza kusema labda watanzania hawakuwa na uelewa...
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kibonzo cha Masoud kipanya: Ishara kama Sudani sasa kila mtu anaweza kuwa mamlaka

    Tulimsikia simba chawene kusisitizia jeshi la polisi ila ndio mliwafanya wawe hivyo.
  5. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje mtu mpaka mdogo wako anakutangulia kuzaa? Ni dharau

    Yaani mdogo wako anakutangulia kuzaa aisee ni dharau sana Wazee kuna mjinga mmoja hapa mtaani mdogo wake ana watoto wa 3, yeye hana hata mmoja aisee halafu kampita mdogo wake kwa miaka 5 Huu ni ujinga
  6. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wakitolewa tu madaraka ya ubabaifu wao moja kwa moja ni jela na minyororo mda utaongea hakuna mtu ambaye hata wajibishwa

    Kuna watu wakitolewa tu madaraka ya ubabaifu wao moja kwa moja ni jela na minyororo mda utaongea hakuna mtu ambaye hata wajibishwa. Hii inaenda kuandika historia tofauti Tanzania kuna watu hawatakuwa wastaafu kwa mauwaji waliyo yafanya ni wahalifu na magaidi hatutawaacha.
  7. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Usihukumu Maisha ya Mtu: Kila Maisha Yana Majira Yake

    1. Kamwe usimdharau mtu kwa sababu ya umaskini au hali yake ya maisha Kila mtu anapitia mapambano yake. Leo unaweza kuwa umebarikiwa, una nafasi nzuri na unaishi kwenye mafanikio, lakini kumbuka fedha zina mabawa. Maisha yanaweza kubadilika ghafla. Tajiri wa leo anaweza kuwa maskini wa kesho...
  8. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Si Kila mtu anaweza kupiga kura za tuzo za kimataifa Sheria na vigezo huzingatiwa, mbona hata vichaa wangepiga kura

    Hizo tuzo za kidunia hizi Tunazozijua zinataratibu zake za jinzi ya kupiga kura, na watu wenye sifa za kupiga kura huwa wanaainishwa kwenye website ya tuzo husika, na ili kupiga kura lazima uwe verified kabisa na upigaji wa kura Huwa unakuwa na ratiba ambayo wanatumiwa wenye sifa tu (voting...
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania Watekaji wana access kubwa ambazo upata taarifa njia nyingi na zengine wanapewa bila lizaa ya mtu.

    Watekaji wanaweza kuomba taarifa zako TRA,Ardhi,idara ya maji,Tanesco,ving'amuzi au sehemu yoyote itakayokuwa na usajili wako. Kwa Jamiiforum ndio maana bado wanaumia kwa nini hawapewi taarifa. Kuna mchezo mmoja jamaa alitekwa wali trace namba yake SMS alinunua umeme.Wakaona jina mita namba...
  10. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Mtu amekemea utekaji na mauwaji alafu linatokea jitu eti limeenda kumsemea kwa Papa halafu watekaji na wauwaji haliwasemi. Hivi zimo?

    Mtu amekemea utekaji na mauwaji alafu linatokea jitu heti limeenda kumsemea kwa papa alafu watekaji na wauwaji haliwasemi hivi zimo ? Haya mambo yanatia hasira sana wanafikiri sisi tunafanya masihara ninatoa onyo kwa wapumbavu kama hao. Kukemea utekaji na mauwaji imekua kosa toka lini ...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene inawezekana hujui watanzania wanataka Nini kutoka Jeshi la Polisi, pitia hapa nikwambie

    Mh. Waziri, Soma mkasa huu kwa makini na uweze kujua haswa watanzania wanataka Nini kuliko kuanza kuwahubiria kuhusu maboresho mnayotaka muyafanye kwa Jeshi la Polisi. Mnamo tarehe 29 Oktoba - 03 November, 2025 Kuna familia zilishuhudia wapendwa wao wakikamatwa na Jeshi la Polisi na...
  12. Superbug

    JamiiForums Tanzania USITAMANI MAISHA YA MTU HUIJUI KESHO YAKE JE UNGETAMANI KUWA KAMA YULE POLEPOLE WA UNAIJUA V8 LEO HII TUNGESHAKUSAHAU.

    Siku zote namshukuru mungu Kwa vile nilivyo Wala sitamani kuwa yeyote zaidi ya Mimi mwenyewe. Hata kuwa Elon Musk sitamani. Imagine kama UNGETAMANI kuwa kama polepole wa kipindi Cha ma V8 je Leo ungekuwa wapi? Any way no one knows tomorrow.
  13. Fbn

    JamiiForums Tanzania Penye miti hakuna wajenzi kwa nini serikali ya CCM inataka wasio umuhimu wakati tuna mtu Malisa GJ anaweza kuwa chachu waziri wa vijana na wananchi

    Nimekuwa nikimfatilia bwana Malisa GJ ambaye ndio msaada wa watu wengi kwa vijana na wananchi. Kuna kijana alivunjwa miguu kipindi cha October 29 na alikuwa ana msomesha mdogo wake ila jamaa alivyoweka ujumbe alichangiwa na kufikisha milion 15. Baada ya siku watu wakaomba na huyu achangiwe...
  14. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Ni vema Askofu Ruwai'chi akatubu kwa kumuita lofa mtu aliyemshitaki Padri Kitima kwa Papa

    Katika Hali isiyo ya kawaida Askofu amemuita lofa mtu aliyeandika barua kwenda Italy kwa lengo la kumshitaki Kitima. Askofu Ruwai'chi ameonesha kukosa uvumilivu wa kimungu na kumtukana lofa mtu huyo, Hivyo basi ni vema akatubu hadharani watu waone ili asamehewe. #Roho itendayo dhambi ndiyo...
  15. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Redcross wasema watu hawataandamana tena. Watadili na mtu wao wanavyojua

    Wanyonge msiumie nyoyo zenyu. Huyu mtu hatutamuacha aingie kuzimu kwa amani. Red Cross wasema lazima alipie. Yeye ajifiche awezavyo wala hiyo haimsaidii hehehee. Yule jamaa wa Baharini. Mzee wa supu ya ngisi anapasha kiporo walahi. Mwambieni kama kufa Kila mtu atakufa asiogope mayii. Siku...
  16. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Sasa hivi Kila mtu anamtegea mwenzi kuandamana na kumlaumu mwenzie

    Kumeibuka na hili jambo watu kulazimisha wenzao kuandamana unakuta li mtu linalaumu wenzie hawajatoka mda huo lipo kitandani Kam kule TikTok mtu kafungua live anawaambia wenzie waandamane lenyewe lipo ndani linatia lawama wazee Sasa hivi watanzania hawawezi kutoka barabarani kama mnavyofikiria...
  17. loose Nut

    JamiiForums Tanzania Lazima kila mtu ashereheke Krismas

    Hili sio ombi ni AMRI. Kila mtu lazima ashereheke Krismas. Kuendana kinyume na hapo utajiweka kwenye wakati mgumu. Na usije kulaumu mamlaka takatifu. Vijana wa Zayuni kwaanzia leo usiku hadi kesho jioni watafanya doria maalum kukagua kila nyumba, kaya, mji na familia. Kubaini kama...
  18. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Rais Anapaswa Kuwa Mtu Mwenye Maono Makubwa na Upeo Mkubwa Kiakili

    Samia Suluhu Hassan hana sifa hizo ndiyomaana anapambana kuua watu wenye upeo mkubwa wa akili wanaomwambia ukweli. "Ni hatari sana kuwa sahihi wakati serikali inakosea" Maxence Melo.
  19. Q

    JamiiForums Tanzania Serikali inataka kutumia mbinu ya 'Sharpeville Massacre" kuifuta CHADEMA kama serikali ya Makaburu ilivyoifuta ANC

    Credit to Hilda Newton (X) 1960, polisi wa Makaburu katika kitongoji cha weusi cha Sharpville nchini Afrika Kusini walifyatua risasi kwa umati wa watu wasio na silaha waliokuwa wakiandamana kwa amani kupinga sheria kandamizi na kuua watu 69 na kujeruhi 186. Serikali ya Makaburu ilidai kuwa...
  20. Q

    JamiiForums Tanzania Pro max wengi wanajadili personality ya mtu badala ya issues.

    Sijui nani huwa anawaelekeza kitu cha kujadili maana huwa naona wanashambulia mtu badala ya kujibu mada husika. Kipindi tunajadili issues za TEC na maandamano walileta mashehe kuwashambulia viongozi wa TEC badala ya kujikita kwenye issue husika ya HAKI. Alipokuja Kitima badala ya kujibu hoja...
Back
Top Bottom