Division 3 au 4 za Zanzibar zina dili kuliko division one kali za bara

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,032
Zanzibar Walishapewa incentives nzuri kwenye muungano na katiba ya Tanzania. Akili za necta wamewaachia wapenda ma vyeti wa bara. Leo hii bara kuna watu kibao waliopata Division 1 ila hawana ajira.

Kwa upande wa Zanzibar mambo ni bam bam!! Wao wapo wachache sana lakini ajira asilimia 21 za Tanzania ni zao na huko kwao Zanzibar ajira ni zao peke yao, hawana stress za mavyeti.

Kwenye ajira mtu wa bara aliepata division 1 kali anaweza kuwekwa pembeni hio nafasi akapewa mzanzibar aliepata division 4 ili kuwe na usawa katika muungano.

Halafu utasikia punguwani anaropoka 'Zanzibar ni kama wilaya"
 
Hivi hili la ajira ni la kweli? Maana Zanzibar ni kama 2.5 percent ya watz wote. Iweje wapate asilimia 21 ya ajira za muungano?
 
Hivi hili la ajira ni la kweli? Maana Zanzibar ni kama 2.5 percent ya watz wote. Iweje wapate asilimia 21 ya ajira za muungano?
Njooni muone washenz walivyojazana huku mpka tafrani HATUPUMUI
 
Zanzibar Walishapewa incentives nzuri kwenye muungano na katiba ya Tanzania. Akili za necta wamewaachia wapenda ma vyeti wa bara. Leo hii bara kuna watu kibao waliopata Division 1 ila hawana ajira...
Ni lini hiyo 21% imetumika? Wacha kuvisha watu kilemba cha ukoka
 
Back
Top Bottom