NASA wanatafuta mtu wa kumlipa ili aishi mazingira ya sayari ya Mars yaliyojengwa Marekani

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Feb 26, 2018
2,490
3,534
Habari wadau
Kama umri kuanzia Miaka 30-55 fursa hii hapa mkwanja mrefu utatolewa, wale wazee wa kujilipua kazi kwenu.

=====

The space agency is looking for paid volunteers to spend a year living in Mars Dune Alpha, a Martian habitat based in Johnson Space Centre in Houston, Texas. The successful applicants will work a simulated Martian exploration mission including spacewalks.

The space agency wants people to apply so that it can prepare for eventually sending astronauts to the red planet.

The 1,700-square-foot Martian habitat, created by a 3D-printer, is based inside a building at Johnson Space Centre in Houston, Texas.

There will be no windows, and the applicants will consume ready-to-eat space food.
Advertisement

The paid volunteers work a simulated Martian exploration mission which includes spacewalks, limited communications back home, restricted food and resources and equipment failures.

Three of these experiments are being planned by NASA, with the first one starting in the autumn in 2022.

SOURCE: Skynews
 
Mkuu nijuavyo mimi ni kuwa NASA walikuwa wanatafuta volunteers wa kuigiza kuishi Mars kwa mwaka mmoja (sijui kama kiswahili kitaeleweka) ila kwa kiingereza ni kuwa wanatafuta "volunteers to live in a simulated Mars habitat for a year"
 
Habari wadau
Kama umri kuanzia Miaka 30-55 fursa hii hapa mkwanja mrefu utatolewa,wale wazee wa kujilipua kazi kwenu.
Source:World Economic Forum LinkedIn account
Akina mwijaku sasa wanachelewa nini kuchukua fomu???
 
Applicants have to hold a master's degree in science, engineering or maths, or have pilot experience.

The agency also says only American citizens or permanent US residents are eligible for the experiment, which echoes 2015 film The Martian, starring Matt Damon.
 
Sisi wabongo mbona ni wepesi sana kukubali kila jambo mbogo kwa Experiments daaah shida sana. Wao kama wao NASA wanaogopa kwenda kuishi huko sayari ya Mars si waende wao akaaah mpishi wa chakula ni mwingine na anayeonja chumvi tena ni mwingine
 
Back
Top Bottom