mtu

  1. JamiiForums Tanzania Tambua namna ya kujua uhalali wa mileage ya gari unalonunua Yard au kwa mtu

    Wakuu Habari, Leo nimeona nielezee kidogo kwa namna gani unaweza kujua uhalali wa kilometer zinazosoma kwenye gari unalotaka kununua either mkononi kwa mtu ama yard. Hii njia haitaweza kuapply kwa magari yote kwa sababu mbali mbali ikiwemo kwamba kipindi fulani hapa nyuma magari yalikuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Tuanze kuwatoza kodi wafanyabiashara wanaofanya matangazo ya sauti kwenye maeneo ya biashara

    Kama umewahi kutembelea maeneo ya biashara mfano Kariakoo n.k utagundua kila mahali ni kelele. Kila mtu anatangazo lake na wakati mwingine kusababisha noise pollution kwa watu wengine. Sasa kwanini tusianzishe kodi itakayotozwa kwa hawa wanaosababisha makelele kwenye maeneo hayo? Ni wakati...
  3. JamiiForums Tanzania Madaraka ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Mjadala ulioshika kasi nchini ni madai ya Katiba mpya, hasa kutoka vyama vya upinzani. Naweka bandiko hili baada ya kusoma michango wa ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera, Dk. Benson Bagonza. Nanukuu baadhi ya michango yake: Hoja ya...
  4. JamiiForums Tanzania CCM imejaa waoga, wanaogopa kila mtu na kila kitu

    CCM imechakaa sana, imekosa watu wenye nguvu za hoja, imejaa watu waoga wanaogopa hata watoto wadogo wanaopigana wakiwa wamevalishwa sare za CCM. Walianza kuogopa wapinzani lakini sasa wanaogopana hata wenyewe kwa wenyewe. Wasipokuwa makini lazima kutatokea jambo lisilofaa.
  5. JamiiForums Tanzania Pole DC Machali ila unapaswa uelewe Bukoba mji wa wabishi kila mtu mwanasheria, wanapikia hata kwenye lami hakuna wa kuwagusa

    Hakuna DC aliyewahi kuja Bukoba mwenye ujasiri na uthubutu kama Moses Machali. Kafanya mambo magumu bila kuogopa mtu, ametouch hata untouchable wa mji wakatikisika japo wamemsagia kunguni kwa Mama mpaka baasi, nawachosubiri nikuona Machali anatolewa Bukoba wafanye sherehe. Kwakweli mji huu uko...
  6. JamiiForums Tanzania Bashiru v/s Sponsor: Kuna dalili mtu kutema au kutemeshwa mnofu soon

    Mungu ni mwema sana sana. Hivi sasa roho wa uharibifu ameanza kumalizia kazi yake ndani ya CCM, na tukae mkao wa soap series yenye maeneo mengi ya wanaCCM kutafunana wenyewe kwa wenyewe huku wakielekea kwenye anguko lao taradadi. I am not joking. Nilishaona kuyumba kwa mwelekeo wa chama hiko...
  7. JamiiForums Tanzania SI KWELI Nywele na kucha za mtu huendelea kukua hata baada ya kufariki

    Siku chache baada ya kufariki nywele za mtu pamoja na kucha zake huonekana zikiwa zimeongezeka urefu. Jambo hili huonekana mara nyingi sana, linaweza pia kuthibitika kwa kutazama masalia ya binadamu yanayoibuliwa kila kukicha. Baada ya kufariki, sayansi inasema kuwa ukuaji wa kiumbehai kupitia...
  8. JamiiForums Tanzania Mtu aliyepanda miti. Umewahi kusoma hadithi hii?

    MTU ALIYEPANDA MITI Hii hadithi imehamasisha mamilioni ya watu duniani kupanda miti na kutunza mazingira. Unafaa sana wakati huu tunaokabili tatizo la uharibifu wa mazingira. Umewahi kuisoma? Ulijifunza nini? Muandishi: Jean Giono 1953. Mtafsiri: Pictus Publishers ltd Email...
  9. JamiiForums Tanzania Kuna Faida Katika Kuamini Uwepo wa Uzima Baada ya Kifo Hakuna wakati mgumu anao upitia mwanadamu kama ule wakati wa kumpoteza mtu wa karibu au ndu

    Hakuna wakati mgumu anao upitia mwanadamu kama ule wakati wa kumpoteza mtu wa karibu au ndugu yake. Wengine hudiriki hata kujikana wao wenyewe kuwa hawawezi kuishi pasipo wapendwa wao waliofariki huchukua maamuzi magumu kwa kujiua wakiamini kuwa watakutana nao katika maisha baada ya kifo...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi kuna mtu anajua kuhusu hii umeme kukatika, nini kinaendelea au shida nini??

    Please naona sasa tunaenda mwendo kimya kimya imekuwaje umeme unakatwa kila siku hatupewi taarifa, nini shida maana tukipata taarifa inakuwa nafuu tunajua namna ya kujipanga na ratiba sasa hii kimya kimya unaamka unakuta wamechukua unajipa moyo sijui utarudi sasa hivi mara inagonga jioni. Hebu...
  11. JamiiForums Tanzania Mungu anaweza kuua watu wengi ili tu amtetee mtu wake

    Habari! Mbele za Mungu sisi wanadamu ni kama majani na upepo tu. Yes ametuumba na anatulinda ila kuna wakati anatutazama kwa namna nyingine. Yaani anatusort kulingana na agano lake na mtu husika, au anatusort kulingana na maisha na mienendo yetu. Kama humchi Mungu , Mungu anaweza kukutumia...
  12. JamiiForums Tanzania Ujasusi Kwa mtu binafsi katika shughuli za kila siku

    UJASUSI KWA MTU BINAFSI KATIKA SHUGHULI ZA KILA SIKU. Anaandika, Robert Heriel Jasusi wa kujitegemea. Dondoo • maana ya ujasusi • Ujasusi Kwa mtu Binafsi • manufaa ya ujasusi Kwa mtu binafsi Lengo kuu la andiko • Mwisho wa Andiko msomaji atapata maarifa na ufahamu katika namna ya kupanga...
  13. JamiiForums Tanzania Ajira ajira natafuta mtu mwenye pikipiki tano tufanye biashara atapewa mauzo ya uhakika kwa mwezi mafuta yangu

    Kuna shughuli yangu nahitaji usafiri wa pikipiki walau tano. Hivyo natafuta mtu mwenye pikipiki tano tufanye biashara atapewa mauzo ya uhakika kwa mwezi mafuta na matengenezo juu yangu. Karibuni mwenye pikipiki tuelewane na tuingie mkataba. Location ni: Dar es Salaam
  14. JamiiForums Tanzania Ajira: Natafuta mtu mwenye pikipiki tano tufanye biashara atapewa mauzo ya uhakika kwa mwezi mafuta yangu

    Kuna shughuli yangu nahitaji usafiri wa pikipiki walau tano. Hivyo natafuta mtu mwenye pikipiki tano tufanye biashara atapewa mauzo ya uhakika kwa mwezi mafuta na matengenezo juu yangu. Karibuni mwenye pikipiki tuelewane na tuingie mkataba.
  15. JamiiForums Tanzania Hakuna mtu aliwasiliana na rubani wa ndege iliyoanguka ziwani, shujaa Majaliwa na Chalamila watuombe radhi

    Kwa mujibu wa maelezo ya watu waliokuwapo ndani ya ndege na kufanikiwa kujiokoa, ndege ilijaa maji ndani ya dakika moja tangu ilipoanguka ziwani. Walilazimika kupanda juu ya viti upande wa nyuma. Ushahidi wa picha za ndege ilipokuwa ziwani unaonesha upande wa mbele wote ukiwa ndani ya maji...
  16. JamiiForums Tanzania Mlango wa ndege unaweza kufunguliwa kwa nje?

    Naomba kuuliza kwa wenye uelewa. Hivi mlango wa ndege unaweza kufunguliwa kwa nje? Wajuzi wa mambo ya ndege tafadhali.
  17. S

    JamiiForums Tanzania Daah! Ama kweli muosha huoshwa. Mcheki huyu jamaa aliyekuwa na confidence la "kufa mtu" kabaki kichwa tu

    Bado na wewe (fulani) unayepuuza sauti zetu siku za kuanguka kwako zinakaribia.
  18. JamiiForums Tanzania Tuwakumbuke watu waliotupokea na kutupa njia za kuishi hapa DSM

    Kwa Mara ya kwanza nilipofika hapa Dsm nilifikia kwa Uncle wangu ni Askari yeye na mke wake. Nakumbuka nilikaa pale wiki tatu tu lakini niliziona Kama Mwaka mzima . Asikuambie Mtu yule uncle wangu ndo alinifundisha kumjua Mungu na kunipeleka Shule Hadi kufika Chuo Mungu Ampe Maisha marefu...
  19. JamiiForums Tanzania Watanzania hawana uwezo wa ku-reason na kwa style hii tegemeeni nchi kuongozwa kama Familia ya mtu mmoja

    Ebu angalieni suala la ajali ya Ndege watu wengi mmepewa uongo na mmeamini Ni aibu kubwa sana Taifa kuwa na Idadi ya wajinga. Mimi hii Ajali najua kila kitu na mlivyoambiwa Ni vitu viwili tofauti hata havi-relate Ndiyo maana Tbc walitumwa na Serikali kumfanyia mahojiano Majaliwa
  20. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni wakati gani mtu anaweza kuthibisha amemfumania mpenzi wake: Kumuona anaongea na mtu? Kumkuta chumbani kwa mtu? Kukuta SMS ya mahaba?

    Kila mahusiano yanakumbana na hizi changamoto. Mtu anamkuta mtu wake anapiga stori na mtu ina kuwa ugomvi. Akimkuta chumbani kwa mtu ndio balaa kabisa. Fumanizi huwa ni kipindi gani?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…