mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,664
- 18,039
Mechi ya jana ya fainali kati ya Argentina na Ufaransa pamoja na kutoa jibu ni nani atakayetwaa kombe la dunia mwaka huu, ilitoa jibu pia ni nani zaidi kati ya Messi na Christiano Ronaldo.
Nikiri kwamba mimi ni timu CR7 lakini nimenyoosha mikono!! Messi ni zaidi ya kuwa zaidi! Wenye vinasaba vya ubishi endeleeni mimi simo!
Nikiri kwamba mimi ni timu CR7 lakini nimenyoosha mikono!! Messi ni zaidi ya kuwa zaidi! Wenye vinasaba vya ubishi endeleeni mimi simo!