Mwenye kujua dawa ya kumfanya mtu ajiamini

LA7

JF-Expert Member
Aug 26, 2019
455
1,661
Yaani kiujumli hili tatizo la kutojiamini limenianza toka nikiwa mtoto mpaka kufikia sasa japo nahisi limepungua kidogo labda kutokana na kukutana na watu wa tofauti tofauti kila wakati.

Kwa mfano kuna kitu nimewahi buni nikapeleka shuleni veta nikaambiwa nikitolee maelezo nilishindwa kabisa kila nikijitahidi mikono inatetemeka tu.
 
yaani kiujumli hili tatizo la kutojiamini limenianza toka nikiwa mtoto mpaka kufikia sasa japo nahisi limepungua kidogo labda kutokana na kukutana na watu wa tofauti tofauti kila wakati

kwa mfano kuna kitu nimewahi buni nikapeleka shuleni veta nikaambiwa nikitolee maelezo nilishindwa kabisa kila nikijitahidi mikono inatetemeka tu,
Tafuta kinyesi cha nkyalu uogee mayu utapona kabisa
 
yaani kiujumli hili tatizo la kutojiamini limenianza toka nikiwa mtoto mpaka kufikia sasa japo nahisi limepungua kidogo labda kutokana na kukutana na watu wa tofauti tofauti kila wakati

kwa mfano kuna kitu nimewahi buni nikapeleka shuleni veta nikaambiwa nikitolee maelezo nilishindwa kabisa kila nikijitahidi mikono inatetemeka tu,
Dawa yake ipo inatengenezwa kama kashata unakua unakula kwa muda wa siku 40 asububi na jioni
 
  • Kicheko
Reactions: LA7
yaani kiujumli hili tatizo la kutojiamini limenianza toka nikiwa mtoto mpaka kufikia sasa japo nahisi limepungua kidogo labda kutokana na kukutana na watu wa tofauti tofauti kila wakati

kwa mfano kuna kitu nimewahi buni nikapeleka shuleni veta nikaambiwa nikitolee maelezo nilishindwa kabisa kila nikijitahidi mikono inatetemeka tu,
sku nyingine ukiwa na presentations tumia propanol
 
Jichanganye na aina ya watu tofauti sehemu za michezo,draft bau huko watu wanabishana muda wote na watu wa mpira sijui Man City atamfunga Madrid ukiweza kuongea na watu kumi wakakubishia ukawaeleza rudi tena huko Veta watakushangaa ukiongea kwa kujiamini...
 
shida kuna wakati inakuwa poa ila nikipewa nafasi watu wote wanakaa kimya halafu napoteza point kabisaa
 
Puuzia vitu visivyo vya lazima kupiga kelele kama boya,

Penda kuwa updated

Pendeza nukia na penda vitu vya gharama

Changamka na usiogope mtu heshimu mtu Tena Kwa mipaka , Saidia Kwa mipaka Kaa nawatu walio na vitu hata kama hawakupendi tafuta njia tu
 
kwamba alipoteza au au unamaana yakuwa hata teni na faru hana hapo alipo ooh ndio maana hajiamin...okwee mtoa uzi fuata ushaur wa mcoment uzi
Kaka nikisema pesa namaanisha pesa nyingi..
Ukiwa huna pesa ugonjwa wa kujiamin hauwezi pona.
 
Back
Top Bottom