Nimesikia kwamba Rais wa Tanzania, Mheshimiwa Samiah Sukuhu Hassan hataki kusikia maoni ya wananchi wake juu ya mkataba wenye ukakasi wa ugawaji bure wa Bandari zote za Tanganyika.
Sina shaka habari hizi ni za ukweli, maana nimeona video clip, na it seems aunthentic. Sasa hapa kuna maswali...
Nimeshangaa sana.
Penzi ni kitu cha Kumnyima Mtu Kweli? Mpeane Mapenzi na Mfurahie.
Inashangaza mtu anakuwa tu na roho mbaya, roho ya kichoyo na kibinafsi. Mtu kaja kakuomba penzi. MPE. si suala la kufanya liwe inshu, hasa tabia hizi wanazo sana Wanawake.
Kwa wanaume ni nadra kumnyima...
Habari wakuu, nimeona niulize swali hili baada ya kuona Jamii imekuwa na shutuma Sana kuhusu mahusiano au ndoa.
Iwe kwa kijana wa kiume au wa kike, je hakuna nafasi ya free will Kama mwanadamu🤔
👉Ni lazima wote twende na trend hiyo iliyopo??,
👉 Usinambie kupendwa, je wewe huwezi jithamini Kama...
Mtu mjinga ni yule anayenyang'anywa mali huku akicheka pasipo kujiuliza kwanini amenyang'anywa.
Mtu mjinga anamiliki mali nyingi lakini anaruhusu mali hizo kuharibiwa na maadui na hata anaponyang'anywa kabisa basi yeye anabaki kuduwaa akitazama huku na kule pasipo kuchukua hatua kali kupigana...
Habari,
A Sales and marketing officer is needed. (Cheti sio muhimu )
Skills needed
1. Deals closer
2. Uwe na ushawishi
3. Marketing skills
NB : Should be able to help reach monthly target
Salary 200k monthly plus 10 percent commission per each deal closed .
Location: Mbezi Mwisho, Dar Es...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Rafiki yangu alitumiwa pesa kimakosa kwenye no. yake ya mpesa inayoishia na 8650. Baada ya kutumiwa hiyo hela huyo rafiki yangu aliitoa yote.
Alipigiwa na aliyekosea mwamala akamrudishia elf 50 Kwa ahadi ya kulipa kilichobaki ila aliposhindwa aliacha...
Tuliuza Loliondo kwa mwarabu. Tumeuza gesi ya Mtwara kwa wazungu, mabomba yanaelekea Ulaya, by d’r. Slaa. Tumewafukuza wamasai wa Loliondo tukampa mwarabu.
Tumeuza wanyama wetu Dubai sasa huko kuna artificial forest inaitwa Sharjah Safari Park ina kila mnyama mkubwa unayemuona mbugani...
Salaam wote!
Nimeaona sio vibaya nikawashirikisha hili wakuu daah, maisha ya duniani kama huyajui unaweza dhania unayajua kumbe kuna vingi vitu huvijui.
hata ule chumvi nyingi lakini vipo bado vingi hutakuwa huvifahamu.
Hawa viumbe tunawasikia wanaitwa majini wapo lakini mara nyingi...
Salim Abdallah Try Again, Murtaza Mangungu na Mohammed Dewji endeleeni tu kutuona wana Simba SC ni Wapumbavu ila GENTAMYCINE nawaonyeni kama hatutabeba Makombe ya Ngao ya Jamii, la NBC, la ASFC na kufika Nusu Fainali au Fainali ya Klabu Bingwa ( CAFCL ) au Kubeba Kombe la Shirikisho ( CAFCC )...
Habarini nahitaji mtu mmoja aliye karibu na ofisi za Halmashauri ya Sikonge tabora mwaminifu nahitaji anisaidie kuchukua nyaraka pale ofisi ya halmashauri nitagharamia na kumuwezesha tafadhari nichek 0626402722 muhimu sana leo au kesho ikifika tarehe 21/6/2023 zoezi hili litakuwa limefeli asanteni
Hivi kibongo bongo mtu asiye na degree even if ni mcute au handsome kiasi gani, huko kwenye ndoa huwa yuko romantic kweli, is he/she tasting good?
Binafsi Naona kama they are not romantic na hawajui lolote linaloendelea hapa duniani?
Chukulia mfano Diamond hana hata form six failure, ampate...
Ukimuangalia sura yake kwa kuzoom utaona chembechembe za kiburi na dharau.
Feitoto alisema bayana ila wako wengi tu hawamkubali,kuanzia benchi la ufundi mpaka wachezaji.
Acha kiburi ba majivuni mdogo wangu
Habar wadau !!!
Nimejaribu pitia majarida kadhaa uko mtandaoni zipo tafiti nyingi zinafanywa na wanasayansi kujua km upo uwezekano wa mtu mzima kuota meno km ilivyo kwa viumbe km papa.mamba nk
inasemekana kuwa ili jino liote itahitajika stem cell katika fizi ili ikuwe na kuwa jino zipo...
Baada ya kuiona habari hii nikaona acha nivae uhusika. Ya watuhumiwa wa ugaidi kuachiwa huru baada ya miaka tisa ( 2014-2023).
Katika hali ya kawaida tu mtu anapotoka kwenye matatizo basi roho yake na nafsi yake usawajika.
Tokea 2014- 2023 ni miaka 9 imekatika wale walioingia gerezani kwa...
Nawasalimu natumaini tuko poa na wagonjwa Mungu atujaalie afya zetu ziimarike.
Leo imekuwa siku nzuri ya kumbukumbu nzuri maishani mwangu
Kama kitu nilibahatika ni kuwa mtoto wake.
Mama aliwahi kunambia kabla ya kuzaliwa kwangu baba yangu alikuwa asiyejali kabisa kuhusu future yake ila baada...
Katika Mashindano ya mchezo wa kuogelea huko Budapest, Anita Alvarez wa Marekani alizama chini ya swimming pool.
Akitazama huku na kule na kugundua kuwa Anita alikua ndani ya maji muda mrefu sana, kocha wake, Andrea Fuentes mara moja akaingia ndani ya maji na kumuokoa. Anita alikuwa amepoteza...
Nilipokuwa napitapita zangu kwenye kitabu kinachoitwa Dark Psychology nikakutana na mambo ya kuvutia sana.
Do you know kwamba watu wanatumia hiyo skill kukufanya ufanye maamuzi nje ya tabia yako ya kawaida? Ukiwa unatangaziwa kitu alafu unaambiwa "offer hii ni ya wiki moja pekee" au unaambiwa...
Habari wandugu na poleni na kazi,
Mdogo wangu alifanya usajili wa NIDA na kukamilisha taratibu zote sasa namba ilivyotoka akiangalia online au kupitia mitandao ya simu anakuta limekosewa herufi moja. Alivyouliza NIDA wakamwambia apeleke nyaraka zake kama cheti cha kuzaliwa, cheti cha darasa la...
MBUNGE TAUHIDA NYIMBO - TUFIKIE WAKATI MTU KUTOKA BARA AENDE KUWA RAIS ZANZIBAR
"Ufike wakati tutamani kuona mtu kutoka bara na kwenda kuwa Rais wa Zanzibar tuipelekeni Tanzania huko itikadi za kisiasa tusiivunje Tanzania kwani upande wetu ndiyo umoja wetu" - Mhe. Tauhida Cassian Gallos, Mbunge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.