Je, upo uwezekano mtu mzima above 32 year kuota jino baada ya kung’olewa?

renamaizo

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
2,118
3,004
Habar wadau !!!

Nimejaribu pitia majarida kadhaa uko mtandaoni zipo tafiti nyingi zinafanywa na wanasayansi kujua km upo uwezekano wa mtu mzima kuota meno km ilivyo kwa viumbe km papa.mamba nk

inasemekana kuwa ili jino liote itahitajika stem cell katika fizi ili ikuwe na kuwa jino zipo tafiti zinadai kuwa binadamu ana two stem cells apo means ana set ya meno mawili katika kila jino ndio maana mtu jino likilegea lengine huanza kuota kwa juu yake kwa kids onlys WHY no for adults

ipo hivi inasemekana izo stem cell jino likishakuwa kubea zenyewe hutumbukia ndan ya jino so it means unapong;oa jino na stem cells zinakuwa mule na fizi inakuwa zero with no stem cells and no possibilities for new tooth to regrow

But sikuishia hapo niliendelea kusoma zipo tafiti zinadai upo uwezekano kupandikiza stem cells katika fizi na jino likaota tena but wanadai stem cells zipo only in embryooo apa sikuelewa embryooo ni nn ? lkn tafiti hizo ziliendelea kudai majaribio hayo yalishafanyika kwa mbwa na so later it comes to humans

zipo shuhuda mbalimbali za watu kudai kuota meno in adults years kupitia vyakula km maji yaliyo ndani ya mifupa kongoro , protein supplement ,BITAMIN B supplements nk lakini hizi ni shuhuda not scientificallly proved

kwa mujibu wa chuo cha HAVARD ni kwamba binadamu kuota meno ilo swala lipo na DNA zetu zinaturuhusu kuora meno again and again shida ni kwamba io system ipo turned off there is need for ways to turn it on na wanadai wameshafanya experiments kukuza jino la mtu mzima kupitia laser technology

sasa nimekuja apa wandugu zangu kuuliza km hv vitu vipo na hata km kuna dawa za asili tupeane ujanja na tuelimishane TUPATE ujuzi dunia hii ina mambo so usiseme haiwezekani sema i have no idea

NATANGULIZA SHUKRANI

madaktari pia mje tusaidiane
 
Mm nna miaka 24 nmengoa jino nimiwa na miaka 19 mpka leo halijaota mkubwa ila wengne husemaga huwa linaotaga
 
Mm nna miaka 24 nmengoa jino nimiwa na miaka 19 mpka leo halijaota mkubwa ila wengne husemaga huwa linaotaga
huku iactivate system inasemekana km unataka liote kuna baadh ya vyakula uache ikiwemo sukar na maharage
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom