Snitch ndiye mtu hatari zaidi🙌

Snitch ndiye mtu hatari zaidi🙌

ShesRise_1

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2025
Posts
7,366
Reaction score
17,956
Wahenga wanasema ni bora kuishi na mchawi kuliko mnafiki usiyemjua
Hivi umewahi kuishi na snitch na unajua kabisa ana kunafikia?

Then ukawa una mchora tu na unafiki wake anavyojimaliza?

Mara zote mnafiki ni mtu wako wa karibu sana, pengine unayemuamini zaidi na ku mkubari sana

Mtu hawezi kukufanyia unafiki kama hakujui vizuri, never
Wanaotuuza ni wale wanaotujua nje ndani, wanajua makazi yetu wanajua mishe zetu, wanajua siri zetu, time ya kutoka na time ya kurudi

Kisa changu, nilikuwa na rafiki yangu hivi mzurii wa muonekano
Yule rafiki yangu ukitoka naye out ukasifiwa wewe, alikua anaumia mno yaani unamuona kabisa uso unabadilika

Ukifanya vizuri anakusifia, ila maneno na uso havina ushirikiano
unaona kabisa ananyongea
Mimi nilimpenda mno na kumsifia, ila siku ikitokea akahisi nimependeza kuliko yeye alikua anachukia

Kipindi hicho alikua jobless, nikasema hapana ngoja nimvute niwe naye sehemu ninapofanyia kibarua
Aisee nilijuta 🙌🙌 kwa sababu alinijua nje ndani basi alinifanyia figisu kazini, karibu nianguke na pressure

Wewe binti popote ulipo nimekusamehe ila nimejifunza

Na ajabu sasa niliona dalili zake za wivu mapema japo zilikuwa ndogo nikawa nazipuuza najidai mtakatifu na mama huruma

Kilichonikuta ni fundisho

Issue ni kwamba bado sikomi, kuna muda najikuta tena naamini mtu haraka pamoja na kwamba nilishawahi kuumizwa( sijui kwanini)

Je wewe umewahi kuishi na mnafiki huku anajua hakupendi/hakufurahii/hakukubali?
Ulifanyaje mwisho ilikuwaje?

Ni namna gani ya kum escape snitch unaemjua kabra hajakusabahishia madhara?

ShesRise_1 👋
 
Screenshot_20260421-160051~2.jpg
 
Nashukuru Mungu unafiki huwa siuwezi kama sikukubali utajua tu, kwetu huwa wananisema sana juu ya kupuuza huwa silembi! Sijui kumnafikia mtu ukizingua nakuchana! Niliwahi kuwa na rafiki chuo nikitoka tu ananisema, nilikuwa nimesuka french curls kipindi zimeingia, kila kona anawaambia zile ni fake sijui nini yani alikuwa mwiba ila nilimnyoosha mpaka leo ana historia! Kwahiyo hivyo vitu vipo dear ila kama mtu hakufahamu vizuri unamuacha aendelee kujifariji! Mara nyingi vinatokea kama umemzidi kete! Ila kama kakuzidi huwezi kuona anajishughulisha na wewe!

C45A1894-1270-4C75-AE23-2EFB7037DF79.jpeg
 
Nashukuru Mungu unafiki huwa siuwezi kama sikukubali utajua tu
si wanasema jifanye mjinga
, kwetu huwa wananisema sana juu ya kupuuza huwa silembi! Sijui kumnafikia mtu ukizingua nakuchana!
mda mwingine ukweli humuweka mtu huru
Niliwahi kuwa na rafiki chuo nikitoka tu ananisema, nilikuwa nimesuka french curls kipindi zimeingia, kila kona anawaambia zile ni fake sijui nini yani alikuwa mwiba ila nilimnyoosha mpaka leo ana historia!
Aiseee hapo pengine mkiwa wote sasa anakusifia japo ukiwa makini utagundua ana fake
MKwahiyo hivyo vitu vipo dear ila kama mtu hakufahamu vzr unamuacha aendelee kujifariji! Mara nyingi vinatokea kama umemzidi kete! Ila kama kakuzidi huweiz kuona anajishughulisha na wewe!View attachment 3590711
Wengine una kuta kakuzi ila tu hataki umfikie au upate na wewe msije kufanana
 
Back
Top Bottom