mtu

  1. Last_Born

    JamiiForums Tanzania Mtu aniprove wrong kwamba waislamu hawaabudu mwezi na wakristo hawaabudu msalaba

    Kumekuwa na mjadala kuwa waumini wa dini zote hizo mbili wanaabudu mungu mmoja, lakini kuna namna ukitazama unaona kama ni ibada za sanam.......
  2. Desierto

    JamiiForums Tanzania Kila mtu atakufa lakini omba Mungu angalau ufe kifo cha ghafla

    Kuna jamaa namjua ameugua wakampeleka hospitali wakagundua ini na figo zina shida. Ndugu wamehusisha tu nyumbani. Sio kwamba ni masikini kihivoo amerudishwa akiwa mzima anaongea amekaa tu wiki tatu mwili ukavimba na leo kafariki.😥 Kuleni kunyweni lakini pombe hasa bila kula ni hatari kwakweli.
  3. Half american

    JamiiForums Tanzania Mtu mzima hachungwi, mwanakulitafuta mwanakulipata

    Jamaa alisafiri akampigia simu mke wake akamuuliza uko wapi!? Mwanamke akasema niko nyumbani. Jamaa akamwambia kama uko nyumbani kweli kaa kitandani then mwambie dada wa kazi akupige picha then unitumie WhatsApp. Mwanamke akafanya hivyo, ila alivyotuma tu na ndoa yao ikaishia hapo hapo...
  4. Powell Gonzalez

    JamiiForums Tanzania Hii level siyo ya Kila Mtu, Hata nikielezea hutaielewa

    Hii Level Sio Ya Kila Mtu, Hata Niki-Explain Hutaielewa 😮‍💨💼 Wakuu, kuna maisha unayaishi hadi unajishangaa kama ulikuwa unaishi au ulikuwa unavumilia tu kabla 🤷🏽‍♂️ Juzi nilikuwa napitia account zangu, nikajiuliza hii ni balance au ni namba ya simu ya mtu 😂💰 Sio hata flex, ni reality tu...
  5. Funny boe

    JamiiForums Tanzania JF tuanzishe mpango wa kuwapa au kuwatafutia kazi za kufanya. Sasa inakuaje mtu yupo online JF masaa yote 24/7. Kazi anafanya saa ngapi?

    Kichwa cha habari kinajieleza chenyewe, sina mudi ya kuandika sana Kuna watu humu muda wote wapo online tu wanacomment sasa muda wa kufanya kazi wao wanautoa wapi jamani Kuna mengi sana yananishangaza mno na bado yanakuja chafya ngumu min -me
  6. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Kwa Karne tuliyopo unapoenda kumtembelea mtu jitahidi utoe Taarifa kabla

    Usikurupuke kwenda kwa mtu umetoka sehemu unaenda kwa mtu bila taarifa wengine tunasababishiana tuonekane tuna roho mbaya kumbe mtu unakuja hutoi taarifa yoyote unashtukia tu mtu huyu hapa na mbaya zaidi bora uje ukae kidogo uondoke ila unang'ang'ania kulala kwamba hutaki kuondoka. Watu tuwe...
  7. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Netanyahu na Trump ni watu wabinafsi sana. Hakuna wa kuwawajibisha?

    Kwa sasa, kila binadamu anaumizwa na vita ya kipumbavu ya Israel na Marekani dhidi ya Irani. Vita hii imesabaisha kupanda kwa bei za kila kitu hivyo, kusababisha kupanga kwa gharama za maisha. Yote ni ubinafsi wa wawili hawa wanaokabiliwa na kashfa lukuki na wanaotumia vita kuepuka kuishia...
  8. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Kama Kuna mtu bado anaiamini Serikali ya sasa ya marekani hasa Donald Trump atakuwa mwendawazimu. Imekithiri kwa uongo

    Donald Trump kwa sasa naweza kusema anaweza kuwa ndio Rais muongo kuwahi kutokea duniani na marekani. Huyu jamaa anadanganya mpaka anapitiliza. Ni mengi sana ya uongo na nadhani amefundishwa na Serikali ya Netanyahu. Alianza na masuala ya strait of Hormuz, kushindwa kwa majeshi ya Iran na...
  9. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Je, kuna mtu yeyote aliyewahi kushuhudia na kuthibitisha uchawi? Njoo tuongee hapa!

    Wazee, I'm curious kufahm hili jambo kwa undani zaidi. Nimetembea hadi Sumbawanga nikitafuta uhalisia wa mambo haya, lakini nilichokutana nacho ni simulizi tu hakuna ushahidi wa moja kwa moja unaothibitisha uwepo wa uchawi. Inanifanya nione kama hii ni sawa na stori za wanaume kuibiwa nyeti zao...
  10. The ghost writer

    JamiiForums Tanzania Pale ninapokosa mtu wa kuchati usiku huu. Mambo yanakuwa hivi...

    Meta AI and me with my broke English......
  11. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Mtu anayedaiwa akigusa nyeti zako zinapotea azua taharuki Tunduma

    Kutokea Tunduma, hofu imetawala miongoni mwa Wananchi kufuatia taarifa za mtu anayedaiwa kuwa akimgusa mtu, husababisha kupotea kwa sehemu za siri. Mganga mfawidhi wa Kituo cha Afya Tunduma amethibitisha kupokea watu wawili waliokwenda hospitali wakidai kupoteza sehemu zao za siri.
  12. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Ubaya wa kuomba lift kwenye usafiri binafsi wa mtu ni huu hapa

    Ubaya wa kupewa lift ni lazima ucome up na different topics za kudiscuss kama radio presenter. Hufai kukosa content😂 Na lazima u maintain convos muda wote.
  13. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Kifungu hiki cha Katiba kinamfanya Rais kuwa Mungu mtu, ukienda kinyume naye tu anaweza kuamua ulione jua au lah!

    Wakuu, Ibara ya 15 kwenye katiba ya Tanzaia inampa mamlaka Rais kutoa msamaha kwenye kosa LOLOTE ambalo atakutwa na hatia nalo. Anaweza kumwachia huru mtu kwa muda maalumu au moja kwa moja mtu aliyehukumiwa kuadhibiwa kwa kosa LOLOTE asitumukie adhabu yoyote au kwa kipindi fulani. Anaweza...
  14. Webabu

    JamiiForums Tanzania Trump azidi kusisitiza kila mtu akachukue mafuta yake Homurz.Yeye basi

    Tofauti na waziri wake wa ulinzi,Hegeseth,Trump yeye hajivungi tena kuhusu kushindwa vita alivyovianzisha na Iran. Wakati wa mahojiano hapo jana na mashirika ya habari.Trump amerudia kwa mara nyengine kusema kuwa nchi zinazounda umoja wa NATO ni kama chui wa karatasi tu.Akawapa mipasho kama ile...
  15. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi LATRA: Asipandishe mtu nauli kwa kusingizia mafuta kupanda

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), imewataka wadau wote wa sekta ya usafirishaji nchini, kutopandisha nauli kwa kigezo cha kupanda kwa bei za mafuta na badala yake wafuate utaratibu rasmi utakaowekwa na watakaopandisha hawatasita kuwachukulia hatua kali za kisheria. Akitoa kauli hiyo...
  16. tpaul

    JamiiForums Tanzania Vibinti vya 2000 ni tatizo; mdau kapigwa huku!

    Onyo! Kaa mbali na vitoto vya 2000; visipokutegua nyonga vitakufilisi! Sitaki kuwapotezea muda, hebu msikilize mhusika mwenyewe alichotendewa na kinda wa 2000: MAONI YANGU Jamani hawa watoto wa 2000 sio wa kuhongwa vitu vikubwa kama fedha (e.g. Tsh 400,000) au smartphone. Hawa saizi yao ni...
  17. Red black

    JamiiForums Tanzania Kila mtu asome constitution of United States of America 🇱🇷 mtajifunza jambo kubwa sana

    Third amendment
  18. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Sinywi pombe, sio mtu wa wanawake situmii kilevi chochote na bado maisha magumu, shida itakuwa Nini?

    Kijana Nina misimamo sina makundi situmiii kilevi ila sina maisha Wala Hela tatizo linaweza kuwa Nini wakuuu
  19. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Urais 2030: Kuna Ubaya Wowote kwa Mtu Yeyote Kuwa na Ndoto ya Urais? Mkwala Huu kwa Ndoto ya Urais, Inaweza Kuwa ni Ule Uchawa wa "Atake Asitake"?!

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe, Jumapili ya leo Hakuna Ubaya Wowote Kwa Mtanzania Yeyote Kuwa na Ndoto ya Kuwa Rais wa JMT!, Msiwatishe Bure Wenye Ndoto Hizo!. Leo naomba kuzungumzia tabia mbaya iliyozuka kwa baadhi ya viongozi, kuwatisha watu wengine na kufifisha ndoto...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Kuna Mtu alikua anauwezo wa kumnyanyua Ng'ombe, Ni rahisi nitawafundisha. hata wewe unaweza ukiamua

    alichofanya ni hivi: alianza kumnyanyua ndama akiwa bado mdogo kabisa alivozaliwa, akawa anamnyanyua huyo ndama kilasiku. siku zilivyokua zinaenda ndama anazidi kukua. nayeye uwezo wake wa misuli unazidi kukua, alikua anamnyanyua kilasiku bula kukosa. baada ya muda ndama alikua na kufikia kua...
Back
Top Bottom