MLEE MTOTO WAKO; ACHA KUMFUGA
Kwa Mkono wa, Robert Heriel
Katika jamii zetu za kiafrika imekuwa ngumu sana kutofautishaa kati ya Kufuga na kulea, yaani Ufugaji na Ulezi/Malezi.
Unaweza ukawa umezaa mtoto wako ukawa unamfuga kama kuku lakini wewe ukadhani unamlea, na unaweza ukadhani unamfuga...