mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    Naomba ushauri: Mke wangu aliondoka na mtoto sifahamu anapoishi sasa, hataki kumleta mtoto nimuone

    Habari za weekend wana JF Nilioa mwaka 2016, na tukabahatika kupata mtoto 1 wa kiume mwaka 2017 ambae ana miaka 4 kwa sasa na sehemu ya makazi yetu ni hapa Mbeya. Mapema 2020 mke wangu alianza kubadilika sana baada ya yeye kupata biashara nzuri ukilinganisha na ile aliyokuwa anafanya mwanzo...
  2. Nasimama na Yanga

    Tunaweza tusikichukulie kwa jicho la tatu ila kitendo kilichofanywa na yanga ni cha kishujaa na manufaa makubwa ya soka letu. Kama hii mechi ingechezwa leo saa 1 usiku basi tayari ndio ingekuwa michezo ya TFF kila siku kucheza na ratiba kwa sababu wangejua kumbe hakuna kitu chochote...
  3. Sakata la mtoto wa Amber Lulu, Harmorapa akamatwa na Polisi

    Msanii wa Bongo Fleva anayependa kiki Bongo, Hamorapa amekamatwa na polisi, leo Jumamosi, Mei 8, 2021, katika Ukumbi wa Hotel ya Kebbys, uliopo Mwenge, jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari. Kukamatwa kwa Harmorapa kunatokana na kauli yake aliyoitoa akidai kuwa mtoto wa...
  4. B

    Maajabu ya awamu ya Sita: Hotuba za mama zinapokonga nyoyo za watu

    Mabibi na mabwana pongezi nyingi zimfikie mama Samia rais wetu. Ama kwa hakika kajua namna za kukonga nyoyo za watu wake. Mama amekuwa muwazi. Sote sasa tunajua angalau tulipo na tunakoelekea. Mama anaeleweka na mama anasomeka. Mama hana makeke, mama hana kuomba omba kuombewa. Mama anajua...
  5. Mwalimu wa Kanisa ahukumiwa miaka 30 kwa kosa la kulawiti

    Mahakama ya Mkoa wa Kinondoni imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela Elisha Mushi, mkazi wa Ubungo Kibangu baada ya kuthibitika kumlawiti mtoto wa miaka minne kanisani. Mushi, ambaye alikuwa akifanya kazi ya kufundisha watoto kanisani anadaiwa kutenda kosa hilo Februari 19, mwaka huu katika...
  6. Amber Lulu aonesha sura ya mtoto wake kwa mara ya kwanza

    Video vixen na msanii Amber Lulu ampost kwa Mara ya kwa mtoto wake. Hiyo ni baada ya week chache zilizopita kujifungua, mtoto huyo ameanza kupokea deals za matangazo mbali mbali, Mtoto Huyo ambae baba ake ajulikani ameanza kula shavu za kuwa brand ambassador wa kampuni za bidhaa za watoto...
  7. Nimemchukia mke wangu

    Habarini wanajamvi, kama tittle inavojieleza, sina amani ndani ya ndoa kwa muda mrefu sasa najikuta nina stress hadi afya imeanza kuzorota. Nipo kwenye ndoa mwaka wa 10 sasa, nilifurahia mapenzi ya mke kwa miaka 2 tu ya kwanza ya ndoa. Wakati namwoa mke wangu alikuja na mtoto ambaye alidai ni...
  8. Geita: Amchoma Mtoto kisu tumboni na kisha kujiua baada ya kugundua ana UKIMWI ila Mkewe hana

    Mkazi wa Nyantorotoro mkoani Geita, Shija Mwanzalima (30) amemjeruhi kwa kumchoma kisu tumboni mwanae wa kambo mwenye umri wa miaka mitatu kisha kujiua kwa kujinyonga. Kamanda wa polisi mkoani Geita, Henry Mwaibambe amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema limetokea mwishoni mwa wiki...
  9. Lemutuz kavuta jiko, mtoto mkali yaani Kim Kardashian huyu hapa kabisa

    Kuteleza sio kuanguka, baada ya Lemutuz mara kadhaa kula hela za michango ya harusi yake kwa bahati mbaya hatimaye gwiji la mitandao ya kijamii ukanda huu wa maziwa makuu limefanikiwa kuvuta jiko, mtoto guu guu, super mtindi yaani Kardashian huyu hapa. Ndoa hiyo iliyofanyika downtown Bongo...
  10. Nimepata mtoto wa kiume. Je, nimuite John Pombe Magufuli?

    NIMEPATA MTOTO WA KIUME;JE NIMUITE JOHN POMBE MAGUFULI!? Leo 17:15hrs 02/05/2021 Namshukuru Mwenyezi Mungu,Muumba wa mbingu na dunia kwa kunitendea tena,mara zote nilipokuwa kwenye shida nilimuomba Mungu nikikumbuka mema aliyokwishanitendea nae hakuniacha kamwe,sawa sawa na andiko langu la tar...
  11. Kwanini mtoto anampiga mama yake (3years)

    Wadau na wazoefu naomba tuelezane. Mtoto mdogo wa ana umri wa miaka mitatu lakini huwa anampiga mama yake na wakati mwingine kumng'ata. Mama yake akimkataza kitu anamfuata na kuanza mpiga au kumrushia kitu au kumuuma meno.. Nikirudi mm nyumbani kutoka miangaiko yangu hataki mtu amguse zaidi...
  12. Ni muhimu kuacha mtoto kabla ya kufa?

    “Dereve taratibu bana usije ukatuua, mi sina mtoto hata mmoja” Msemo kama huu husikika sana katika jamii yetu watu wakimaanisha ni kama mkosi kufariki kabla hujaacha mtoto. Imefikia watu kuona ni bora ufe na kumuacha mwanamke wako mjamzito kuliko kufa hujaacha chochote. Katika jamii yetu kuna...
  13. Kila mtoto duniani lazima afanane na baba yake.

    Huu ndio ukweli. Uzae mtoto wa kiume au wa kike lazima atafanana na wewe baba yake. Baba yetu ana watoto karibu 20, na wote kafanana nao kwa sehemu fulani bila kujali jinsia zao. Mungu ameamua kufanya hivi ili kumpa baba imani zaidi au uhakika na uhalali wa mtoto wake. Huwezi kuwa na doubt juu...
  14. Katoto kenyewe kabaya, kaache kafe

    NI STORI NZURI YENYE FUNZO HASA WALE TUNAOCOMMENT KTK MITANDAO YA KIJAMII BILA BUSARA, HEKIMA WALA STAHA. MY STORY: KATOTO KENYEWE KABAYA, NANI ATAKACHANGIA, ANGEKAACHA KAFE TU! Tofauti na watu wengine ambao wakimaliza chuo wanahangaika kupata kazi mimi haikua shida kabisa. Nilizunguka mara...
  15. C

    Mke wangu amekubali nimuadhibu viboko vitano ili yaishe

    Nilivyosafari kuenda kwenye shughuli zangu za biashara takriban mwezi moja na nusu, jana nilirudi nikakuta mke wangu hayupo kasafiri na kuenda kwa Dada yake kukaa huko na nyumbani hamna mtu yeyote kuna giza kote, nikakagua nyumba yote na Kigari changu nikaona vyote viko salama nikamshukuru Mungu...
  16. FT: Yanga 0-1 Azam | VPL | Benjamin Mkapa | April 25, 2021

    Ni mechi muhimu kwa Yanga kuendeleza matumaini kuwania ubingwa wa ligi kuu ya Tanzania Bara na kurejea kileleni ikiwa imeshinda mechi zake mbili zilizopita. Azam baada ya kusuluhu mechi iliyopita na Dodoma jiji itajitahidi kushinda mechi ya leo. Yanga yenye alama 57 na michezo 26 itaikaribisha...
  17. Sikutegemea kama ningeishia kuchapwa kama mtoto mdogo

    Ndio ivo uzi wangu asilimia 90% unajieleza kupitia kichwa Cha habari. Ilikuwa mwaka juzi tumeenda kwenye harusi ya kaka wa rafiki yangu kule Meru. Nianze kwa kusema Meru ni pazuri Sanaa kwa mazingira yake Migomba na miti pia ukijani uliotawala ulionifanya nifurahie kwa mda wa siku 5 nilizo kuwa...
  18. Ujauzito huonekana kwenye kipimo (UPT) baada ya siku ngapi?

    Habarini wanajamvi wa MMU.Natumai mu wazima wa afya kabisa. Jaman naombeni msaada wenu, wajuzi wa mambo ipo hivi kama tarehe 11/04/21 nilikutana na huyu binti(kimapenzi) lakini kama mnamo tarehe kuanzia 20 hivi mwezi huu huu wa nne akaanza masihara kudai ana ujauzito mara baba kija mara ooohh...
  19. Mtoto mwenye koti la rangi ya chungwa aliwapotea wazazi wake akiwa kwenye Shopping Mall

    Madhara ya kunyonyesha watoto mpaka wakianza kutembea. Haya miaka miwili dogo amenogewa na maziwa.
  20. Waasi nchini Chad watishia kumng'oa madarakani mtoto wa Rais Deby aliyeuawa katika mapigano na waasi

    Waasi nchini Chad wametishia kumng'oa madarakani mtoto wa Rais aliyeuawa baada ya kuteuliwa kuwa kiongozi wa mpito nchini humo. Kundi la waasi ambalo jeshi limelilaumu kwa mauaji ya Rais Idriss Deby Itno, limesema kuwa wapiganaji wake wanaelekea katika mji mkuu wa N'Djamena wakati huu. Waasi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…