Rich Mitindo ataja mambo matano aliyopatia kumzalisha Wolper, mtoto wao amiliki bodaboda tatu

Ambakucha

JF-Expert Member
Aug 16, 2019
276
444
Mfanyabiashara Rich Mitindo ambaye anajulikana kuwa, ndiye baba wa mtoto Paschal 'P' aliyezaa na msanii nyota wa filamu za Bongo, Jacqueline Wolper Masawe, anatajwa kuwa, mbali na kumzalisha nyota huyo, pia amembadilisha tabia.

Kauli kutoka kwenye kinywa cha msanii nguli wa kiume, amesema hakuna kipindi Wolper ametulia kitabia kama alivyo sasa baada ya kujifungua P.

Alizidi kusema kuwa, haikuwahi kutegemewa kama nyota huyo atakuja kukauka kwenye michanganyiko mbalimbali, hasa maeneo ya Sinza, Mbezi na Mikocheni.

Ikaendelea kuzungumzwa kuwa, duka la Wolper la kushona nguo lililopo Sinza Madukani ni ' mkono' wa Rich Mitindo mbaye alimfungulia ili ajipatîe kipato.

BIASHARA ZA RICH MITINDO
Rich Mitindo ni mfanyabiashara anayemiliki duka la T-shirt za jumla, anauza viatu vya kuvalia suti, anauza suti zenyewe na mikanda ya kisasa, Kariakoo na ni mwanamitindo maarufu.

Ameendelea kuzoa sifa kwamba, ndiyo mwanaume aliyeibuka kidedea kwa kumpa ujauzito Wolper na kujifungua baada ya kitambo cha kusaka mtoto.

Itakumbukwa mwaka jana, mitandao ya kijamii ilizua gumzo kufuatia kauli ya Wolper aliyosema; 'mwanaume atakayenizalisha mtoto nitamjengea nyumba.'

Hata hivyo, ilibainika baadaye kwamba, wakati Wolper akitoa kauli hiyo, alishakuwa katikati ya uhusiano wa siri na mfanyabiashara huyo na alikuwa na ujauzito wa miezi mitano akiwa ananificha.

Baadhi ya wadau wamekuwa wakihoji kama Rich Mitindo ameshakabidhiwa nyumba yake baada ya kumpa ujauzito Wolper au la!

WATAJWA KUWA 'KAPO' ILIYOTULIA
Wakati huohuo, uhusiano wa kimapenzi kati ya Wolper na Rich Mitindo, unatajwa kuwa ndiyo 'kapo' iliyotulia sana miongoni mwa mastaa wa kike Bongo.

Inaelezwa kuwa, ukiachia mbali Wolper, mastaa wengi wa kike bado wanadanga, tena wengine na waume za watu huku Wolper akitajwa 'kutulizwa' au kutulia kwa mzazi mwenzake huyo.

KIPATO CHAKE HAKINA SIRI
Wakati, baadhi ya wasanii wa kike Bongo wakidaiwa kumiliki pesa za kuhongwa, Wolper yeye anasema ana duka la kushona na kuuza nguo za kila aina jijini Dar es Salaam. Aidha, anauza mafuta ya urembo kwa wanawake waliyoharibika ngozi.

Kwa mujibu wake, "napambana kila kukicha, niko tayari kufungua sehemu ya kuuza nyanya Karikoo, ili mradi iwa kazi halali kwangu," anasema Wolper.

ANAVYOMFAGILIA BABA P
Kuhusu mzazi mwenzake huyo, Wolper alimpa tano akisema kuwa, amekuwa msaada mkubwa kwake kiushauri na kimalezi ya mtoto wao P.

"Baba P ni baba bora kabisa na siyo bora baba. Anajali sana, sijapata kuona. Kwa kweli namshukuru Mungu kwa ajili yake," alisema Wolper.

MTOTO WA WOLPER AMILIKI BODABODA TATU
Licha ya kuwa, hajafikisha hata mwaka mmoja, mtoto wa Wolper P, tayari anamiliki bodaboda tatu.

Wolper anasema: "Baba yake alimfungulia akaunti benki tangu nikiwa na mimba ya miezi tisa, akamnunulia bodaboda tatu. Kipato cha bodaboda cha kila wiki kinaingizwa kwenye akaunti yake."

Inside-Jackline-Wolper-and-Rich-Mitindo-Engagement-Party.jpg

Mfanyabiashara Rich Mitindo ambaye anajulikana kuwa, ndiye baba wa mtoto Paschal 'P' aliyezaa na msanii nyota wa filamu za Bongo, Jacqueline Wolper Masawe, anatajwa kuwa, mbali na kumzalisha nyota huyo, pia amembadilisha tabia.

Kauli kutoka kwenye kinywa cha msanii nguli wa kiume, amesema hakuna kipindi Wolper ametulia kitabia kama alivyo sasa baada ya kujifungua P.

Alizidi kusema kuwa, haikuwahi kutegemewa kama nyota huyo atakuja kukauka kwenye michanganyiko mbalimbali, hasa maeneo ya Sinza, Mbezi na Mikocheni.

Ikaendelea kuzungumzwa kuwa, duka la Wolper la kushona nguo lililopo Sinza Madukani ni ' mkono' wa Rich Mitindo mbaye alimfungulia ili ajipatîe kipato.

BIASHARA ZA RICH MITINDO
Rich Mitindo ni mfanyabiashara anayemiliki duka la T-shirt za jumla, anauza viatu vya kuvalia suti, anauza suti zenyewe na mikanda ya kisasa, Kariakoo na ni mwanamitindo maarufu.

Ameendelea kuzoa sifa kwamba, ndiyo mwanaume aliyeibuka kidedea kwa kumpa ujauzito Wolper na kujifungua baada ya kitambo cha kusaka mtoto.

Itakumbukwa mwaka jana, mitandao ya kijamii ilizua gumzo kufuatia kauli ya Wolper aliyosema; 'mwanaume atakayenizalisha mtoto nitamjengea nyumba.'

Hata hivyo, ilibainika baadaye kwamba, wakati Wolper akitoa kauli hiyo, alishakuwa katikati ya uhusiano wa siri na mfanyabiashara huyo na alikuwa na ujauzito wa miezi mitano akiwa ananificha.

Baadhi ya wadau wamekuwa wakihoji kama Rich Mitindo ameshakabidhiwa nyumba yake baada ya kumpa ujauzito Wolper au la!

WATAJWA KUWA 'KAPO' ILIYOTULIA
Wakati huohuo, uhusiano wa kimapenzi kati ha Wolper na Rich Mitindo, unatajwa kuwa ndiyo 'kapo' iliyotulia sana miongoni mwa mastaa wa kike Bongo.

Inaelezwa kuwa, ukiachia mbali Wolper, mastaa wengi wa kike bado wanadanga, tena wengine na waume za watu huku Wolper akitajwa 'kutulizwa' au kutulia kwa mzazi mwenzake huyo.

KIPATO CHAKE HAKINA SIRI
Wakati, baadhi ya wasanii wa kike Bongo wakidaiwa kumiliki pesa za kuhongwa, Wolper yeye anasema ana duka la kushona na kuuza nguo za kila aina jijini Dar es Salaam. Aidha, anauza mafuta ya urembo kwa wanawake waliyoharibika ngozi.

Kwa mujibu wake, "napambana kila kukicha, niko tayari kufungua sehemu ya kuuza nyanya Karikoo, ili mradi iwa kazi halali kwangu," anasema Wolper.

ANAVYOMFAGILIA BABA P
Kuhusu mzazi mwenzake huyo, Wolper alimpa tano akisema kuwa, amekuwa msaada mkubwa kwake kiushauri na kimalezi ya mtoto wao P.

"Baba P ni baba bora kabisa na siyo bora baba. Anajali sana, sijapata kuona. Kwa kweli namshukuru Mungu kwa ajili yake," alisema Wolper.

MTOTO WA WOLPER AMILIKI BODABODA TATU
Licha ya kuwa, hajafikisha hata mwaka mmoja, mtoto wa Wolper P, tayari anamiliki bodaboda tatu.

Wolper anasema: "Baba yake alimfungulia akaunti benki tangu nikiwa na mimba ya miezi tisa, akamnunulia bodaboda tatu. Kipato cha bodaboda cha kila wiki kinaingizwa kwenye akaunti yake."

Kwahiyo jamaa ni tajiri wa kulamba lips na kushona manguo ya kuwakawaka
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom