mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuwekeza fedha nyingi kwa mtoto wako hasa kwenye elimu na malezi; Je, huwa ni uwekezaji au ni wajibu?

    Kumekuwa na hali ya wazazi kutumia fedha nyingi kwa watoto wao ili waweze kupata elimu bora au malezi bora. Wapo wazazi wengine wapo tayari walale njaa, ili watoto wao waweze kwenda kusoma shule ya chekechea ya milioni 5 kwa mwaka. Sasa najiuliza, kutumia fedha nyingi kwa mazingira hayo, je...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wa kiarabu (machotara) wa Tabora, Shinyanga hawachangamani na jamii?

    Kuna muda huwa nashindwa hata kuelewa kama hawa ni wenzetu. Sizungumzii waarabu original wale wa Oman, Dubai, n.k ni hawa waarabu wa hapa hapa bongo wengi wakiwa machotara waliochanganyikana kabisa na wabantu, wengi wapo Sikonge, Igunga, Ngega, Tinde, Itobo, n.k Yani wao ni ndani tu mda wote...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba amshtaki Mtoto wake akitaka akatwe 20% ya mshahara na apewe yeye ili kutunza familia

    Mzee Gideon Kisira Cherowo (73) Mkazi wa Birunda nchini Kenya amemfungulia kesi Mtoto wake aitwaye Washington Chepkombe akitaka akatwe asilimia 20 ya mshahara wake ili apewe Mzee huyo kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya Familia kwakuwa Mtoto wake huyo hampi msaada licha ya kuwa na kazi nzuri na...
  4. JamiiForums Tanzania Zuchu: Diamond Platnumz alinipata nikiwa masikini na kunitunza kama mtoto wake

    Msanii Zuchu ni miongoni mwa wasanii ambao wamesajili katika lebo ya WCB inayomilikiwa na staa wa bongo Diamond Platnumz. Baada ya kujiunga na lebo hiyo Zuchu ameonekana akiinuka kutoka kiwango kimoja hadi kingine kutokana na biii yake. Ni msanii ambaye ana uhusiano mwema na wa karibu na...
  5. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Ashikiliwa kwa tuhuma za kumuunguza mtoto sehemu za siri kwa moto wa sigara

    Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia Apolikarp Mushi kwa tuhuma za kumuunguza sehemu za siri kwa moto wa sigara, mjukuu wake wa kiume pamoja na kumtegua nyonga kwa kutumia kitu kizito. Mushi anayeishi kijiji cha Uru Kyaseni wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro, anadaiwa kumfanyia...
  6. JamiiForums Tanzania Kuchelewa kutembea kwa mtoto kunatokana na kuchepuka mama yake?

    Wana jamvi nadhani mtanichoka ila muendelezo wa maswali nayouliza yanamaana kwangu. Nadhani jinsi nitavyojibiwa na wataalamu mbalimbali humu hivi kuchelewa kutembea kwa mtoto kunatokana na Mwanamke kuchepuka?
  7. JamiiForums Tanzania Hongera Serikali kwa kukubali kumtendea haki mtoto wa kike

    Hatimaye serikali imesikia kilio cha wadau wa elimu waliokuwa wakishauri kuitaka serikali iruhusu watoto wanaopata ujauzito wangali mashuleni waendelee na masomo, binafsi naipongeza serikali kwa kuona kuwa ni vyema na haki kuwaandalia utaratibu watoto hao kuendelea na masomo, Na sababu zangu ni...
  8. JamiiForums Tanzania Tunaposhangilia sheria ya kumrejesha binti aliyezaa shuleni, tusisahau kuuliza haki ya yule mtoto mchanga aliyezaliwa anayebaki nyumbani

    Ni jambo jema tunapofanya kampeni ya kwamba watoto wetu waliopata mimba wakiwa mashuleni wakakatisha masomo warudi mashuleni kuendelea na masomo Lakini ni muhimu zaidi kujiuliza vichanga vilivyozaliwa vitabaki wapi? Na nani atakua akiwalea? Tukiachilia mbali zile familia chanche zenye uwezo wa...
  9. JamiiForums Tanzania Kitabu-Malezi bora ya mtoto wa kiume

    Watoto wa kiume wanapitia changamoto nyingi sana ,kama matumizi ya madawa ya kulevya,udhalilishaji wa kijinsia, uchaguzi wa marafiki wabaya, makundi maovu na nyingine nyingi. Kitabu ni ebook bei 4000. Simu na whatsapp 0756625286.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kumwachisha mtoto kunyonya kidole?

    Ni katoto ka mwaka mmoja na miezi kama mitatu hivi. Kakiwa na usingizi tu basi ni lazima kanyonye kidole chake ndo kanalala vizuri, ukijaribu kukatoa tu anaamka na ugomvi (kilio) unakuwa mkubwa. Hadi awe amelala sana (fofofo) ndo unaweza ukamtoa. Hii tabia imekuwa sugu hadi ukucha wa kidoleni...
  11. JamiiForums Tanzania Ni biashara gani inafaa kufanywa na mtoto mdogo?

    Likizo inayokuja nataka kufanya kitu tofauti kwa watoto wangu. Pamoja na kujisomea nyumbani ila nitaweka nguvu kuwafundisha biashara kwa vitendo. Nataka niwafungulie biashara ya kufanya kila mtu na yake na wapo wawili. Nitawakopesha mtaji na nitawadai wakimaliza likizo faida yao itanunulia...
  12. JamiiForums Tanzania Mbinu za malezi ziendane na hatua za ukuaji wa Mtoto

    Mbinu za malezi zilizoleta matokeo mazuri kwa mtoto wa miaka 13 zinaweza zisilete matokeo yanayotarajiwa kwa Mtoto wa miaka 7 kwa sababu ya hatua ya ukuaji wa watoto hao. Kuna umri unafika katika namna ya saikolojia ya mtoto huwa na kawaida ya kuuliza kwanini, “kwanini nioshe vyombo mimi na sio...
  13. JamiiForums Tanzania Novemba 17, 2021: Maadhimisho ya Siku ya Mtoto Njiti Duniani

    Kila Novemba 17, Siku ya Mtoto Njiti huadhimishwa ulimwenguni kote kwa lengo la kuongeza uelewa na kupaza sauti kuhusu changamoto zinazohusiana na suala hilo. Kuzaliwa kabla ya wakati ni pale Mtoto anapozaliwa kabla ya wiki ya 37 ya Ujauzito. Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) takriban...
  14. JamiiForums Tanzania Je, Mwanamke ana lipi la kumfunza mtoto wa kiume linapokuja suala la urijali?

    Malezi ya mtoto wa kiume bila kuwepo kwa father figure (baba yake, baba wa kambo, n.k) yamegubikwa na changamoto nyingi katika hiki kizazi ambacho tunashuhudia inatumika nguvu kubwa mno kuharibu urijali wa mwanaume. Ili kumlea mtoto wa kiume awe rijali ni lazima kwa kiasi fulani kuwe na mlezi...
  15. JamiiForums Tanzania Kati ya Mwanaume na Mwanamke, ni yupi kama mtoto?

    Katika semina wanazopeana wanawake huwa na msemo huu, ya kuwa mwanaume ni kama mtoto wakiwa na maana ya kwamba ili umuweze mwanaume inakubidi uishi naye kama unaishi na mtoto yani mambo ya kubembeleza n.k Lakini si kwa wanawake tu hata sisi wanaume tunapokutana kupeana semina huwa tunaambiwa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Taarifa za shahidi wa 7 wa Jamhuri ndugu Mahita kuondokewa na mtoto siku Moja baada ya kumaliza Ushahidi wake zina ukweli?

    Zipo Taarifa kwamba Mahita Junior amefiwa na mtoto Arusha na watazika Morogoro kesho, je Taarifa hizi Zina ukweli? Nini chanzo? If so,poleni familia
  17. JamiiForums Tanzania Heshima, starehe, urijali, kipaumbele kwa wanaume ni ngono, kwa mwanamke ni nini?

    Katika maisha ya Mwanaume, hasa chini ya 35, Sex ni symbol yenye uzito mno. Hata akiwa fukara atapata ahueni kama anazo nguvu za kiume. Mwanaume akiwa na umbile dogo hata confidence inashuka, Akisifiwa ana perform vizuri, hio sifa kwake ni kubwa kuzidi pongezi atazopewa kuchangia harambee...
  18. JamiiForums Tanzania Usisomeshe mtoto shule za gharama kwa matarajio kwamba atapata ajira, utaishia kuumia tu

    Kumekuwa na tabia ya baadhi ya wazazi wakisomesha watoto wao shule za gharama za private toka chekechea, msingi, o level na advance mpaka chuo kwa mategemeo kwamba watakuwa na ajira zenye malipo ya juu, watoto wakimaliza chuo hawana ajira aua ajira zinakuwa za chini, kwa o yanageuka kuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Mama atupa mtoto wa siku 3 chooni na kutoweka

    Mtoto mwenye umri wa siku tatu, jinsia ya kike amekutwa amefariki dunia baada ya kutupwa ndani ya shimo la choo na mwanamke ambaye bado hajafahamika huku Jeshi la Polisi mkoani Mbeya likiendelea na msako mkali kumkamata mwanamke aliyefanya unyama huo. Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Mbeya...
  20. JamiiForums Tanzania Umri gani ni sahihi kumpa mtoto smart phone?

    Smart phone na social media haviepukiki katika dunia ya leo. Moja ya faida ni kuelimisha, kuna binti wa miaka 10 aliweza kuandaa period pack yake kabla hata ya kupevuka kutokana na uwelewa alioupata kutoka kwenye Internet. Hii ni moja ya faida chanya za social media. Watoto wanapata habari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…