Nahisi "house girl" anayedaiwa kuua mtoto ni muhanga

ego

JF-Expert Member
Apr 10, 2013
1,620
1,407
Nimesikiliza kwa juu juu hii habari ya "housegirl" kumuua mtoto Kimara lakini kwa hisia tu nahisi huyu housegirl ni muhanga wa jambo ambalo linaweza kuwa limejificha.

1. Jambo hili linaweza kuwa limefanywa na mtu kwa wivu tu wa kuionea wivu familia. Ukitazama familia inavyoonekana haikosekani binadamu wa kuionea wivu.

2. Yawezekana baba ana mchepuko unaoweza kuona labda mtoto ni kikwazo kwa mambo mengi kwake

3. Huyo mtu aliyemleta housegirl ni nani? na ana mahusiano gani na familia hiyo.

4. Wakati hawana housegirl, ni nani waliyemuacha kuangalia nyumba pamoja na kijana, maana nimemsikia mama akisema hakuwa na housegirl. hapa nataka kusema inawezekana kuna watu waliwaachia uangalizi wa nyumba na walifaidika na jambo hilo, ujio wa housegirl mpya ukakata faida iliyokuwa inapatikana na binadamu kila mtu ana akili zake jinsi ya kutatua tatizo.

5. House girl aliyeondoka aliondoka kwa sababu zipi na yuko wapi?

6. Katika majirani na marafiki wa familia nao wahusishwe.

7. Huyo housegirl anayedaiwa kuuwa afuatiliwe alikotoka alikuwa mtu wa aina gani?

Maana yangu ni kama kuna mtu amefanya uamuzi wa kipuuzi kumuua mtoto kwa sababu ya kipuuzi tu ndogo, tuwaombe vyombo vya uchunguzi wamtafute huyo mtu mpaka apatikane na tusimbebeshe "housegirl" kama siye yeye aliyetenda.
 
.

Kiiini cha tatizo kinaweza kuwa hapa.

House girl aliyeondoka upo uwezekano hakutendewa haki na hii familia kulipwa mshahara mdogo kwa kazi kubwa dharau matusi manyanyaso mengi etc sometimes alivunja vikombe hata kwa bahati mbaya mwenye nyumba akamlipisha mwisho akafukuzwa kama mbwa so akapandikiza mamluki akamtuma akafanye kazi hiyo.

Haiyumkiniki mtu akae siku mbili tu auwe mtoto alimkera nini ndani ya hizo siku mbili cha kumfanya amuue?
 
Polisi waingie kazini, wasilichukulie juu juu hili suala, uchunguzi wa kina unahitajika kuna sintofahamu hapa na house girl anaweza akawa sio mhusika masikini.

Binafsi kuna issue serious naiona hapa hasa masuala ya mahusiano aka michepuko ndio inaweza kuzalisha ujinga kama huu....Michepuko ya Mwanaume na Mwanamke kama ipo ifuatiliwe kwa kina.

DNA za mme na mtoto ziangaliwe hapo.

Binafsi naona kama binti wa kazi anabebeshwa msalaba tu hapa ila tatizo lipo kwa wahusika wenyewe.
 
Nimesikiliza kwa juu juu hii habari ya "housegirl" kumuua mtoto Kimara lakini kwa hisia tu nahisi huyu housegirl ni muhanga wa jambo ambalo linaweza kuwa limejificha.

1. Jambo hili linaweza kuwa limefanywa na mtu kwa wivu tu wa kuionea wivu familia. Ukitazama familia inavyoonekana haikosekani binadamu wa kuionea wivu.
2. Yawezekana baba ana mchepuko unaoweza kuona labda mtoto ni kikwazo kwa mambo mengi kwake
3. Huyo mtu aliyemleta housegirl ni nani? na ana mahusiano gani na familia hiyo.
4. Wakati hawana housegirl, ni nani waliyemuacha kuangalia nyumba pamoja na kijana, maana nimemsikia mama akisema hakuwa na housegirl. hapa nataka kusema inawezekana kuna watu waliwaachia uangalizi wa nyumba na walifaidika na jambo hilo, ujio wa housegirl mpya ukakata faida iliyokuwa inapatikana na binadamu kila mtu ana akili zake jinsi ya kutatua tatizo.
5. House girl aliyeondoka aliondoka kwa sababu zipi na yuko wapi?
6. Katika majirani na marafiki wa familia nao wahusishwe.
7. Huyo housegirl anayedaiwa kuuwa afuatiliwe alikotoka alikuwa mtu wa aina gani?

Maana yangu ni kama kuna mtu amefanya uamuzi wa kipuuzi kumuua mtoto kwa sababu ya kipuuzi tu ndogo, tuwaombe vyombo vya uchunguzi wamtafute huyo mtu mpaka apatikane na tusimbebeshe "housegirl" kama siye yeye aliyetenda.
Huyo house girl alililetewa na dereva taxi anakofanya kazi huyo mwanamke ni dereva taxi aliyemzoea yeye mwenyewe akamwambia ninatafuta house girl yule dereva akamwambia kule kijijin kuna mtoto wa kaka angu yupo tu nyumbani ndyo ukafanywa mpango akaja.Ila mm nina shaka huyo house hajafanya hilo tukio
 
Nimesikiliza kwa juu juu hii habari ya "housegirl" kumuua mtoto Kimara lakini kwa hisia tu nahisi huyu housegirl ni muhanga wa jambo ambalo linaweza kuwa limejificha.

1. Jambo hili linaweza kuwa limefanywa na mtu kwa wivu tu wa kuionea wivu familia. Ukitazama familia inavyoonekana haikosekani binadamu wa kuionea wivu.
2. Yawezekana baba ana mchepuko unaoweza kuona labda mtoto ni kikwazo kwa mambo mengi kwake
3. Huyo mtu aliyemleta housegirl ni nani? na ana mahusiano gani na familia hiyo.
4. Wakati hawana housegirl, ni nani waliyemuacha kuangalia nyumba pamoja na kijana, maana nimemsikia mama akisema hakuwa na housegirl. hapa nataka kusema inawezekana kuna watu waliwaachia uangalizi wa nyumba na walifaidika na jambo hilo, ujio wa housegirl mpya ukakata faida iliyokuwa inapatikana na binadamu kila mtu ana akili zake jinsi ya kutatua tatizo.
5. House girl aliyeondoka aliondoka kwa sababu zipi na yuko wapi?
6. Katika majirani na marafiki wa familia nao wahusishwe.
7. Huyo housegirl anayedaiwa kuuwa afuatiliwe alikotoka alikuwa mtu wa aina gani?

Maana yangu ni kama kuna mtu amefanya uamuzi wa kipuuzi kumuua mtoto kwa sababu ya kipuuzi tu ndogo, tuwaombe vyombo vya uchunguzi wamtafute huyo mtu mpaka apatikane na tusimbebeshe "housegirl" kama siye yeye aliyetenda.
Sasa mbona maswali yote yalioyatakiwa kuulizwa polisi umemealiza mkuu,mimi hapa ningependelea kama watarudi nyuma kidogo kufuatilia h/girl alieondoka, kama point 5 hapo juu,maana kuna kitu hakiko sawa hapo.Huyu mpya kikawaida ni vigumu sana kufanya tukio la namna hii,ni lazima kutakuwa kuna mkono wa mtu mwingine hapo...
 
Kwenye zile W5 moja wapo ni Why???

Umewaza nje ya box vyema sana,hata walioijua dunia vyema walifanya maalifa ya kuitizama kutoka nje kwanza.
nadhani kwa sasa polisi wameshajua kabisa binti ndiye mhusika kwa bahati mbaya au makusudi au siye kwa namna wanavyomuhoji nk.
 
Back
Top Bottom