mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. Anayedai kuwa mtoto wa Mwai Kibaki afungua Shauri Mahakamani

    Jacob Ochola, (62) anayedai kuwa Mtoto wa kwanza wa Rais Mwai Kibaki, amefungua shauri la kutaka kutambuliwa na familia ya Hayati huyo kama mwanafamilia na mrithi wa sehemu ya ardhi inayoripotiwa kuwa na thamani ya Mabilioni ya Shilingi Katika shauri hilo Ochola anaitaka Mahakama kuwashurutisha...
  2. Umuhimu wa siku ya kuzaliwa kwa mtoto (birthday)

    Ingawa ni utaratibu wa Magharibi kusherehekea simu ya kuzaliwa, taratibu nyingi tulizoona zinafaa tuliiga kutoka kwa Wakoloni wetu kuanzia Waarabu na hata Wazungu. Siku ya kuzaliwa ni muhimu sana kwa mtoto, hii ni sherehe yake yeye binafsi. Tofauti na sikukuu za dini zinazojumuisha jamii...
  3. Mtoto wangu kazaliwa na kilo 6 na tatizo la mdomo sungura

    Habari za siku nyingi wakuu na members wore wa JF. Ndugu wana JF wezangu tarehe 25 mwezi wa sita mwaka huu, wife alijifungua mtoto wa kilo 6 na mtoto akawa na tatizo la ugonjwa wa mdomo sungura. Nashukuru Mungu hadi sasa mtoto anaendelea vizuri, nimeazisha thread hii kwa lengo la kuweza moja...
  4. U

    Taarifa: Angel Kagame Binti wa Rais Kagame apata Mtoto wa pili

    Hongera sana kwa Rais Paul Kagame wa Rwanda Kupata Mjukuu wa pili Nimeambatanisha picha ya Mjukuu mkubwa wa Rais Kagame akimbeba kwa furaha mdogowe Angel ndiye Binti pekee wa Rais Kagame President Paul Kagame on Wednesday announced the birth of his second grandchild, born to Ange I. Kagame...
  5. Mama na mtoto wafikishwa kortini kwa tuhuma za mauaji ya ndugu yao wa damu

    Mama na mtoto wake wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, kwa madai ya kumuua Beatrice Magombola ambaye ni ndugu yao wa damu moja. Washitakiwa hao ni Alphonse Magombola (34) mkazi wa Bunju B Mpakani na Sophia Mwenda (61) mkazi wa Mbagala, Dar es Salaam. Marehemu...
  6. Naomba kuifahamu Dawa ya mapunye kwa mtoto

    Habari zenu jamani naombeni mnisaidie dawa ya mapunye, mtoto wangu katokewa na punye mkononi. Ana miaka 4 na miezi 7
  7. Sijaamini mtoto niliyekuwa namkimbiza akavae pichu leo hii nasumbunana nae anivulie

    Miaka kumi na kadhaa huko nyuma kuna katoto ka jirani yetu hapo ka kike kalikuwa katundu katundu balaa, Muda wote kanashindia chupi tu, au muda mwingine unaweza kakuta kako uchi kabisa,. Basi mama ake alikuwa anapenda kumtania kweli, huwa nikitokea tu kakiwa uchi utasikia Kimbia nenda kavae...
  8. Muigizaji Nchini Nigeria ahukumiwa Miaka 16 jela kwa kumnyanyasa mtoto kingono

    Muigizaji wa Nigeria, Olanrewaju Ominyika (49), maarufu kama ‘Baba Ijesha’ amepatikana na hatia ya kumnyanyasa kingono mtoto wa miaka 14 kati ya mwaka 2013 na 2014 Mnamo Mwaka jana, Omiyinka alikiri mahakamani kumlawiti mwathiriwa, lakini akasema ni katika muktadha wa nafasi aliyokuwa akiigiza...
  9. The Sea Beast ni animation nzuri sana. Nimependa wametumia mtoto mweusi.

    Nafikiri kati ya animations bora kutoka mwaka hii, hii namba moja. Story yake, waigiza sauti na action zote ni za kiwango cha juu. Kitendo cha kumtumia binti mweusi ni safi sana. Hizi vitu huwa zinachangia sana kujenga watoto kujithamini nk. Hii nafikiri itasumbua kwenye Oscar za 2022.
  10. R

    Hivi Kiongozi anaepeleka mtoto wake Shule ya Milioni 10 atatoa Mawazo Gani ya Maana ya kuendeleza shule za Serikali?

    Katika pitapita zangu nimekutana na video ya Anthon Mtaka akizungumza kuhusu Elimu, hii hapa chini Nikaona kaongea ukweli fulani ,Hivi wana JF ,mtu ambae hajawahi somesha mtoto shule ya serikali hasa ya kata anawezaje akawa na mipango ya maana kuhusu hizi shule?
  11. F

    Siku wazazi wakitumia mbinu za mzazi huyu familia zitaendelea. Hela anazo nyingii ila ada analipa ndogo na mtoto anapata A zote O level na A level

    Mzazi wa huyu dogo ndie mzazi mjanja kuliko wote. Hela anazoo za kutosha tu.. jumba zuri la ghorofa na magari kibao. Ila Watoto wake wanasoma kayumba kuanzia msingi mpaka A level. Na bado watoto wake wanapata A zotee hakuna kufeli. Yaani ada sisimizi ila matokeo temboo Mtoto ukimsimamia...
  12. Watatu wa familia moja wafariki kwa kugongwa na gari Arusha wakipeleka mtoto hospitali

    Watu watatu wa familia moja akiwemo mtoto mdogo, wakazi wa Kata ya Terat katika Jiji la Arusha wamepoteza maisha papo hapo kwa ajali baada ya kugongwa na gari wakitoka hospitalini wakiwa wamepakizana kwenye pikipiki. Tukio hilo la kusikitisha limetokea mapema leo Julai 13, 2022, majira ya saa...
  13. Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo: Jitahidi kumlea katika njia impasayo!

    Na: Denis Mpagaze ______________________________ Kulea ni kazi nyie. Binti mmoja alilelewa katika maadili mazuri sana, ukubwani akapata mchumba kama unavyojua tena binti mwenye tabia nzuri kuolewa ni kugusa tu maana hata mwanaume mwenye tabia mbaya atataka mke mwenye tabia nzuri. Basi bwana...
  14. Hakuna Gari za moja Kwa moja Iringa to Geita zinazopitia Kahama?

    Kwema Wakuu! Hivi hakuna Gari za moja Kwa moja kutokea Iringa au Njombe au Mbeya zinazoelekea Geita kupitia Kahama? Au ni Basi gani ambalo linapita Dodoma mida ya saa nane au saa tisa mchana likielekea Geita ya Kahama kutokea Dar es salaam? Majibu tafadhali!
  15. M

    Maoni binafsi: Ukiona mtoto kafanana na baba yake hizi ndio sababu

    Mosi,baba mtoto ni mtata muda wote anaweza kukataa mtoto kuwa si wake, hapa Mungu uamua kumaliza utata, angalia mimba zote zilizokataliwa watoto hufanana na baba zao. Pili, mama ni mtata, yaani wale wanawake ambao mkigombana au mkiachana anaamua kukupiga na kombora moja kuwa mtoto sio wako...
  16. M

    Kituko gani alikufanyia mtoto wa mwenyeji wako ulipokuwa ugenini huwezi kukisahau hadi leo hii?

    Mimi nakumbuka siku moja nikiwa ugenini, huyu mtoto wa mwenyeji wangu aliing'ang'ania radio yangu na mwenyeji wangu akaniambia tumsubirie asinzie watamnyang'anya nakumbuka walinipatia radio yangu saa nne usiku toka saa 12 jioni Niliwamindi familia yote ila basi tu hawakujua Weka na wewe cha...
  17. Miili 6 ya familia moja iliyouawa Kigoma inaweza kufukuliwa, mtoto aliyefariki maziko yake yasitishwa

    Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma limezuia maziko ya James Januari (4) aliyejeruhiwa usiku wa kuamkia Jumapili na kufariki dunia Julai 5, 2022 katika Hospitali ya Rufaa Morogoro. Aidha, kuna uwezekano wa kufukua miili sita iliyozikwa Jumapili Julai 3, 2022 baada ya tukio la mauaji ya watu sita wa...
  18. Serikali isiwalipe posho waliokuwa wakimsafirisha kwa gari mtoto mahututi toka Kigoma kwenda Dar es Salaam

    Uongozi wa mkoa na hospitali ya Maweni ulishindwa kutumia akili kabla ya kuamua mtoto aliye mahututi asafirishwe kwa gari toka Kigoma mpaka Dar es Salaam kwa ajili ya tiba iliyowashinda, walishindwa kupata ndege ya Flying Doctor au kumpeleka Mwanza! Walizipita hospitali za Kitete Tabora...
  19. Mtoto aliyejeruhiwa na ndugu zake 6 kuuawa kikatili Mkoani Kigoma naye afariki

    Mtoto James Januari (4) aliyejeruhiwa katika tukio la mauaji ya watu sita wa familia moja yaliyotokea kwenye Kijiji cha Kiganza, Halmashauri ya Wilaya Kigoma amefariki usiku wa kuamkia leo Julai 5, 2022. Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Mkoa Kigoma Maweni, Dkt. Stanley Binagi amethibitisha kifo...
  20. Rais Samia katika ufunguzi wa Jengo la Huduma kwa Mama na Mtoto Hospitali ya CCBRT, Julai 5, 2022

    ===== Tayari Rais Samia yupo ndani ya jengo la huduma ya afya ya mama na mtoto akiwasalimia wazazi pamoja na watoto wao (akina mama 88) ambao wapo katika wodi za kupumzikia wakiwa wamejifungua salama kabisa, pia Rais Samia amepata nafasi ya kukagua chumba cha kujifungulia. Katika wodi hizo kuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…