Muigizaji Nchini Nigeria ahukumiwa Miaka 16 jela kwa kumnyanyasa mtoto kingono

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,024
1,614
1657869595785.png

Muigizaji wa Nigeria, Olanrewaju Ominyika (49), maarufu kama ‘Baba Ijesha’ amepatikana na hatia ya kumnyanyasa kingono mtoto wa miaka 14 kati ya mwaka 2013 na 2014

Mnamo Mwaka jana, Omiyinka alikiri mahakamani kumlawiti mwathiriwa, lakini akasema ni katika muktadha wa nafasi aliyokuwa akiigiza katika filamu inayopinga unyanyasaji wa kingono kwa watoto

Wanaharakati wa haki za Wanawake na Watoto wanasema hukumu hiyo itakua ya mfano kwa mtu yeyote atakaye mnyanyasa mtoto kingono

................................................................

A Nigerian actor has been found guilty of sexually assaulting a minor between 2013 and 2014.

The trial of Olanrewaju Omiyinka at a special offences court in Lagos lasted a year.

The 49 year old is popularly known as Baba Ijesha in Nollywood - as Nigeria's film industry is called.

The judge ruled that Omiyinka should be sentenced to 16 years in total for the four charges of which he was found guilty.

However, as he is to serve the sentences at the same time, he will spend a maximum of five years in prison.

Two counts of sexual assault were dropped because of a lack of sufficient evidence.

Last year, Omiyinka admitted in court to molesting the victim, but said it was in the context of a role he was playing in a film campaigning against child sexual abuse.

Women and child rights activists say the ruling will serve as an example to anyone intending to take advantage of a child.

His lawyers are planning to appeal against the judgment.

Source: BBC
 
hata kama ni kuigiza ndio afanye kweli, duuh
 
Back
Top Bottom