mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hakuna faida ya kumpeleka mtoto English Medium (mabasi ya njano)

    Kuna huu mkumbo tulionao watu weusi wa kuigana igana mambo hata yasiyo na maana. Hapa nitazungumzia huu mtindo walionao wazazi wengi kupeleka watoto wao English medium kwa minajiri kwamba wakapate elimu bora. Inshort hakuna faida yoyote ya kumpeleka mtoto English medium kwa elimu ya bongo...
  2. JamiiForums Tanzania Kama shule za Private zikifanikiwa kumfanya kila mtoto wa primari kupata A nini kitatokea?

    Elimu biashara imeharibu maana ya elimu ya msingi. Kunamashindo makubwa ya kupata A, madogo wanaboostiwa kwa kufosi ili wapate kula somo A. Nimewahi kukutana na kabinti kanalia eti kamepata 46/50 hesabu wakati kalitarajia kupata 48/50 mock, ila nilipomfanyia udukuzi nikajua hata hesabu za...
  3. JamiiForums Tanzania URITHI; Mtoto wa nje alitaka nyumba zote ziuzwe ili apate hela kubwa. Ni shukrani gani hii?

    Habari wana Jamii forum. Ngoja leo nilete hii kesi niliyoishuudia kwa macho yangu. Kulikuwa na Baba mmoja na familia yake wa watoto 4, wapili ni wakiume ambae alimzaa nje na wengine 3 Wandoa wakike alizaa na mkewe. Niliambiwa hivi, Baada ya mkewake kujifungua mtoto wa kwanza ikapita kama...
  4. JamiiForums Tanzania Nani anamkumbuka mtoto wa Bob Marley, Arusha?

    Kulikuwa na mama mmoja Arusha aliyezaa na Bob Marley.....Mara kwa mara alionekana ofisi za ESAMI .....sijui kama bado yupo chuga au aliondoka mara ya mwisho tulikuwa nae hapo ESAMI katika sikukuu za Christmas mwaka 1983. Kama wafahamu tujuze tafadhali.
  5. JamiiForums Tanzania Ngoja mtoto wako afike adolescent age (foolish age) ndio utaukumbuka umuhimu wa shule za Kayumba

    Biblia inasema Mungu aliwapenda sana wana Isachar ( sio Isaka ni ISACHAR: Huyu Isachar alikuwa ni kati ya watoto 12 wa Yakobo. Sasa huyu Isachar alikuwa na watoto wa kiume 200 ndio hao ambao ninawazungumzia. Biblia inasema Mungu alipendezwa sana na wana wa Isachar. Sababu kuu iliyo mfanya...
  6. JamiiForums Tanzania Kumuelimsha mtoto wa kike ni kumuwekea msingi wa kuwa mkombozi katika familia yake

    Tunajua kumuelimsha mtoto wa kike kwa elimu bora pamoja na malezi mazuri, atakuja kuwa mkombozi bora katika familia yake. Bila kumpatia msingi mzuri wa elimu, pamoja na kumjengea hofu ya Mungu; ndio wanakuja kuwa, hawa wanao tanguliza pesa mbele kabla ya mahusiano. Baba ukiwa mtu wa totoz...
  7. JamiiForums Tanzania Msaada dawa ya kutibu minyoo kwa mtoto wa miaka 15

    Msaada dawa ya kutibu minyoo kwa mtoto wa miaka 15. Maana tumbo lake lina unguruma sana wakati wa usiku.
  8. JamiiForums Tanzania Waafrika tunabaguliwa sana. Tupende vya kwetu. Mtoto huyu ilivyonyanyapaliwa

    Mtoto mweusi arukwa Kavalishwa medali mbele ya camera. Imagine what is happening behind the camera? hawa watu wa nje wanatubagua sana waafrica. Ndo maana Magufuli alisema tupende n vya kwetu. .. huko nje hatupendwi hata kidogo
  9. R

    JamiiForums Tanzania Ni makosa Serikali kumdhalilisha mtoto mitandaoni kwa kumwita muongo bila hata kumsikiliza

    Kuna taarifa za mtoto kudanganya au kuibiwa matokeo ya kidato cha nne zinasambaa mitandaoni Serikali imejibu malalamiko kwa press tatu hadi sasa lakini kati ya wote walioripoti hakuna mtumishi wa umma au wizara iliyokiri kuhojiana na mwanafunzi anayelalamika. Means wizara zetu m halmashauri...
  10. JamiiForums Tanzania Simiyu: Kesi ya Askari kumjeruhi kwa kumpiga mtoto wake, iliyofutwa, yarejeshwa Mahakamani upya

    Kesi ya Jinai Na 08 ya Mwaka 2023 iliyokuwa inamkabili Askari wa Jeshi la Polisi H.4178 Abati Benedectio wa Kituo cha Polisi Bariadi Mkoani Simiyu kutuhumiwa kumpiga hadi kumjeruhi vibaya mtoto wake mwenye umri wa miaka 7 (jina linahifadhiwa) imerejeshwa tena. Askari hiyo Februari 17, 2023...
  11. JamiiForums Tanzania Ni mwezi wa tano sasa mtoto Warda haonekani

    Ni miezi mitano imepita tangu Mwanafunzi wa kidato cha pili Nyumbu Secondary, Kibaha Mkoani Pwani Warda Mohamedi(15) atoweke nyumbani alipokuwa anaishi April 19,2023 na hadi sasa hajulikani alipo licha ya juhudi za Familia kumsaka huku Polisi ikisema inaendelea na uchunguzi. Mwandishi wa...
  12. JamiiForums Tanzania Kasumba ya kuna uchungu wa mzazi kwa mtoto aliyemzaa haina ukweli

    KASUMBA YA KUNA UCHUNGU WA MZAZI KWA MTOTO ALIYEMZAA HAINA UKWELI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Mada hii inaweza ikawa Tata. Pengine ikazua mfuragano wa kutoleana hoja. Ni vizuri kila mmoja atoe hoja zake Kwa utulivu kutetea upande wake. Kuna dhana au tuseme Kasumba iliyoenea Duniani...
  13. JamiiForums Tanzania Je, ni haki mtoto wa Chekechea au la kwanza kufundishwa hesabu za kukopa?

    Je, ipi ni ngazi sahihi kwa mujibu wa mtaala kwa mtoto kufundishwa hesabu za kutoa kwa mtindo wa kukopa?
  14. JamiiForums Tanzania Gabon Mtoto wa Ali Bongo ashtakiwa kwa Uhaini na Rushwa

    tua hiyo inakuja wiki 3 tangu aliyekuwa Rais wa Nchi hiyo, Ali Bongo kupinduliwa Kijeshi muda mfupi baada ya Tume ya Uchaguzi kumtangaza kushinda Urais kwa muhula mwingine Noureddin Bongo Valentin ambaye ni Mtoto mkubwa wa Ali Bongo na washirika wao wakiwemo Msemaji wa Rais na waliokuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi linamsaka aliyemfanyia Mtoto Kitendo cha Ukatili na Udhalilishaji kwa Kumning’iniza kwenye mti

    Jeshi la Polisi limeona video hii fupi (clip) ikimwonesha Mtoto aliyefanyiwa vitendo vya ukatili na udhalilishaji na limeanza kuifanyia kazi kuanzia ilipoanza kusambaa ili aliyefanya kitendo hicho cha kinyama kisichokubalika aweze kukamatwa na hatua zingine za kisheria ziweze kufuata. Mtoto...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali imchukulie hatua kali za Kisheria huyu aliyemtesa Mtoto kwa staili hii

    Haijalishi hata kama atakuwa Mtoto ana makosa kiasi gani, hii sio namna sahihi ya kumuadhibu Mtoto. Tafadhali Waziri Dkt. Gwajima D tunataka kuona huyu aliyefanya hivi anafikishwa kwenye vyombo vya sheria Pia soma: Jeshi la Polisi linamsaka aliyemfanyia Mtoto Kitendo cha Ukatili na...
  17. JamiiForums Tanzania Tuache unafiki, kuwa na mtoto mwenye ulemavu au magonjwa haya ni baraka?

    Na wengi wao huishia kufungiwa ndani, Mtoto mwenye matatizo ya akili, waweza kuta mtoto umezaa ana ulemavu kwenye akili yani hata yeye ni kama vile hajitambui, Kipofu - Hawezi kuona, kujifunza pia inakuwa ngumu sana, kwa mazingira yetu hata kutembea nje kwa fimbo si salama. Bubu - Hawezi...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini mtoto wako ukimwambia alale chini au anyonyooshe mikono umchape anakaidi lakini kwa mwalimu wake anatii?

    Kwanini mtoto wako ukimwambia alale chini au anyonyooshe mikono umchape anakaidi lakini mwalimu wake akisema afanye kitu au achapwe fimbo tano bila kufuta na inawezekana?
  19. JamiiForums Tanzania Mtoto wa kambo haniheshimu kama baba, nifanyaje?

    Mimi ni kijana umri wa miaka 25 Niko daresalam, Nina mapenzi na Mwanamke wa miaka 55. Tunakaa Pamoja na mtoto wake wa kiume miaka 36 Sasa huyu mvulana Haniheshimu kabisa kama baba yake wa kambo, hata nikimshauri kuhusu maisha hataki kunilewa kabisa nifanyaje? au nimfukuze hapa home? Source...
  20. JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye mtoto/watoto, unapotafuta mume tafuta ambaye atakubaliana na hali yako

    Habari za j2 wana JF. Naitaji kuzumza hili kidogo kwa single mothers, Unapokuwa unatafuta mume wa kuingia nae kwenye ndoa tafuta ambaye atakubaliana na hali yako kwa sababu wewe unamtoto tayari. Sasa akikataa mtoto wako unataka aende wapi? Kuna ndugu yetu mmoja ni single mother mwaka huu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…