mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Nchi inaharibika kwa Kasi sana. Umeshawahi kumuona wapi mtoto wa kigogo anafikiria kusoma VETA?

    Kila wakati nasikia msisitizo ni kuwafanya vijana wasome VETA ili watawaliwe kirahisi na watoto wa wakubwa. Mi nachojua hakuna mwenye division one anaweza kufikiria VETA at first place. Mbona hatumuoni mtoto wa Mwigulu, Samia au waziri yeyote aliyeko VETA kama ni elimu ya maana kweli? Acheni...
  2. Moronight walker

    JamiiForums Tanzania Nini utafanya mke wako akimpa jina la ex wake mtoto wenu?

    Habari wa JF. Hiki kisa ni cha kweli kilitokea huko Ulaya au USA nafikili. Walikuwa mke na mume na mtoto wao wa kiume. Siku moja walitoa kwenda shopping yeye na mkewe. Walipofika wakakutana na rafiki ya mke wake, mke wake akamwambia rafiki yake kuwa nina mtoto wa kiume, rafiki nae akamuuliza...
  3. Moronight walker

    JamiiForums Tanzania Jamani, Msikimbie majukumu ya watoto wenu wa nje. Ukizaa jua kuna kulea mtoto

    Habari wa jf. Kuna rafiki yangu mmoja alioa mwanamke mwenye mtoto tena mapacha ni wakike tupu. Ila wao wanakaa kwa Baba yao na Baba yao ashaoa na amezaa watoto 3 na mke wake huyo mwingine 1 alizaa na mchepuko ni mdogo, Kwa hio mwamba anawatito 6 home kwake. Huyu rafiki yangu yeye anawatoto 2...
  4. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tuwe wazi, kupata mtoto mwenye ulemavu au magonjwa ya kuwa tegemezi maisha yake yote ni zawadi kutoka kwa Mungu?

    Wewe hapo unaesoma uzi huu ukipata mtoto ama tayari unae: Haoni na hasikii Hajitambui Utindio wa ubongo Ugonjwa wa kumfanya ahudumiwe kila kitu Kwako wewe kutoka moyoni mwako, hii ni zawadi kutoka kwa Mungu?
  5. Nsennah

    JamiiForums Tanzania Shida ya mtoto kutopenda kula kwa hiari yake

    Habari zenu wana jamvi!! Moja kwa moja kama mada inavyojieleza, kuna mtoto wa miaka miwili hivi sasa ila bado chakula kwake ni kama anapigana vita hadi akabwe na mama yake ndo anyweshwe uji ila chakula hata akilishwa ni kulia na hatokimeza. Nini suluhu ya hili jambo? Msaada wenu please.
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Shahidi Kesi ya Askari kumjeruhi Mtoto: Majeraha aliyokuwa nayo Mtoto yalitokana na kupigwa

    Kesi Namba 59 jinai, 2023 inayomkabili Askari wa Kituo cha Polisi Bariadi Mkoani Simiyu H.4178 Abati Benedictor anayedaiwa kumpiga hadi kumsababishia majeraha mtoto wake mwenye umri wa miaka 7 imeendelea tena Oktoba 12, 2023 katika Mahakama ya Wilaya ya Bariadi mbele ya Hakimu Mfawidhi wa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tuwacheni masikhara, ukulima tulio nao bado ni cha mtoto

    leo nimeguguli na kuangalia huko ulimwenguni kilimo kinavyofanyika, kwa kweli ni hatari, kuna ukilimo wa hali ya kiwango cha juu sana na tutahitaji karne ili kuwafikia na kuufikia ulimaji wa kisasa. hapa ni kudanganyana tu ,mara madawa,mara mbegu bora, kusema kweli hatuna lolote la maana ni...
  8. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Ni Mazingira gani ya mtoto huyu kupotea

    Salaam na jukwaa, Nitangulize samahani kwa uandishi mbovu (usiofata kanuni) na moja kwa moja naenda kwenye mada. Kutoka shehia ya kibweni mtaa wa Mwanyanya Zanzibar kuna mtoto wa kiume alipotea kwenye mazingira yasiyo fahamika na hadi sasa juhudi za kumpata zimegonga mwamba. Chanzo cha...
  9. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Janeth Rithe: Siku ya Mtoto wa Kike, Ukatili kwa Wasichana ni Kikwazo

    Siku ya mtoto wa kike, ukatili dhidi ya wasichana ni kikwazo Leo ni siku ya Kimataifa ya mtoto wa kike Duniani, siku hii ilianzishwa mahususi katika kutambua haki na changamoto wanazopitia watoto wa kike. Hapa nchini Tanzania tunaona bado watoto wa kike wanakabiliwa na changamoto nyingi sana...
  10. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Mzazi kumchagulia mtoto wako aoe/kuolewa na nani ni ushamba

    Sio Kila mzazi ni Mungu wako wa Duniani wengine wanaongozwa kwa sera na itikadi za kishamba sana, kwa upande wangu na ninayoyaona naenda kupotea nyumbani kwa miaka ya kutosha na kurudi huko sidhani. Fikiria umempata mchumba umekaa nae miaka ya kutosha kuanzia minne, hajawai kukuletea shida Wala...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Malezi bora anayotakiwa kupata mtoto kutoka kwa mlezi aw mzazi wakee...

    Habari wna jf naomb tupitie hii nakala fupi itatusaidia mahali🙏🤝 Ni vizur mtoto kupata mda mzur wa kupata malezi mema kutoka kwa wazazi aw walezi wake kabla dunia haijamfunza kip cha kufanya Maan walezi aw wazazi ndio waalimu wakwanza kuwafundisha watot mambo mema na maadili mazuri na ata...
  12. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi mtoto kufukuzwa shule ya msingi kisa hajui kusoma na kuandika?

    Mtoto ameondolewa/fukuzwa shule ya Serikali kisa hajui kusoma wala kuandika. Mtoto huyo yupo darasa la tatu alikuwa anasoma shule ya kulipia sasa Baba yake kapunguzwa kazini na hivyo kumlazimu kumpeleka mtoto shule ya Serikali. Lakini cha kushangaza baada ya miezi 3 mzazi anaitwa shuleni na...
  13. hamza mahundu

    JamiiForums Tanzania Kushiriki tendo kipindi cha uzazi hakuna madhara yoyote

    "Epuka Imani Potofu, Epuka Imani Potofu" Usimkatae mwanao pindi atakapo zaliwa na white stuff, Wengi wanafikiria kwamba hutokana na kamwagiwa ndani katika kipindi cha Ujauzito, Nikutoe hofu, Kitaalamu hujulikana kama "Vernix Caseosa" Ni hali ya kawaida na hutokea kwa wanawake wachache sana...
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Moto kichakani: Kama mtoto hajafanana na wewe au mzazi wako, kaka huyo mtoto umebambikwa.

    Sina muda wa kupoteza, natupa kiberiti kichakani. Wa kuungua aungue wa kujisalimisha ajisalimishe. Mungu alijua kabisa kuwa wanaume ni watu watata na wenye utawala ndani yao. Hivyo anahakikisha kila mtoto anayetaka kiunoni mwa mwanaume lazima afanane naye, lazima. Bila kujali jinsia ya mtoto...
  15. Desierto

    JamiiForums Tanzania Je, unafurahishwa na tabia za mwanao?

    Niseme tu ukweli kuhusu huyu mwanangu wa kiume Ana mwaka na miezi tisa hajajua kuongea vizuri ndo anajifunza, kwanza kabisa Nina uwezo wa kwenda naye kazini kwangu na asinisumbue wala kulia, Anasalimia kila mtu tunayepishana naye barabarani, Ni msikivu kwa kila ninacho mwambia Akichukua kitu...
  16. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Kusomesha mtoto kwa pesa nyingi halafu kuja kulalamika hakuna ajira( za kitumwa ) ni ujinga uliopitiliza

    Acha tuambizane ukweli kuhusu hali zilizopo ndani ya jamii zetu hata kama tusipopenda kusikia ukweli sawa tu. Huu mtindo wa wazazi wa kitanzania kusomesha watoto kwenye shule zenye kuhitaji pesa nyingi na kuacha za kawaida huku hali ya maisha ikiwa haisomeki ni wa kishamba. Mzazi anaye...
  17. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Hakuna faida ya kumpeleka mtoto English Medium (mabasi ya njano)

    Kuna huu mkumbo tulionao watu weusi wa kuigana igana mambo hata yasiyo na maana. Hapa nitazungumzia huu mtindo walionao wazazi wengi kupeleka watoto wao English medium kwa minajiri kwamba wakapate elimu bora. Inshort hakuna faida yoyote ya kumpeleka mtoto English medium kwa elimu ya bongo...
  18. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kama shule za Private zikifanikiwa kumfanya kila mtoto wa primari kupata A nini kitatokea?

    Elimu biashara imeharibu maana ya elimu ya msingi. Kunamashindo makubwa ya kupata A, madogo wanaboostiwa kwa kufosi ili wapate kula somo A. Nimewahi kukutana na kabinti kanalia eti kamepata 46/50 hesabu wakati kalitarajia kupata 48/50 mock, ila nilipomfanyia udukuzi nikajua hata hesabu za...
  19. Moronight walker

    JamiiForums Tanzania URITHI; Mtoto wa nje alitaka nyumba zote ziuzwe ili apate hela kubwa. Ni shukrani gani hii?

    Habari wana Jamii forum. Ngoja leo nilete hii kesi niliyoishuudia kwa macho yangu. Kulikuwa na Baba mmoja na familia yake wa watoto 4, wapili ni wakiume ambae alimzaa nje na wengine 3 Wandoa wakike alizaa na mkewe. Niliambiwa hivi, Baada ya mkewake kujifungua mtoto wa kwanza ikapita kama...
  20. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Nani anamkumbuka mtoto wa Bob Marley, Arusha?

    Kulikuwa na mama mmoja Arusha aliyezaa na Bob Marley.....Mara kwa mara alionekana ofisi za ESAMI .....sijui kama bado yupo chuga au aliondoka mara ya mwisho tulikuwa nae hapo ESAMI katika sikukuu za Christmas mwaka 1983. Kama wafahamu tujuze tafadhali.
Back
Top Bottom