Wanaobeza maendeleo mtoto wa miaka 8 awashangaa

Kiki kileo

Member
May 3, 2020
54
125
Shangazi yangu alienda kutembea Uingereza akakutana na mtoto wa miaka 8 raia wa uko, mtoto akauliza nasikia Africa ni masikini sana?

Shangazi akajibu ndiyo,

Mtoto akauliza wewe unatoka taifa gani? Shangazi natokea Tanzania.

Mtoto akauliza mbona wewe unajua kiingereza? Shangazi akajibu nimesoma, mtoto akauliza kwahiyo uko unakotokea kunashule? Shangazi ndiyo zipo.

Mtoto akauliza na maji? Shangazi yapo.

Mtoto akauliza hospitali? Shangazi akajibu zipo.

Mtoto akauliza na usafiri? Shangazi akajibu upo.

Mtoto akaendelea kuuliza na umeme? Shangazi akajibu upo.

Mtoto akashangaa na kusema sasa ninyi ni masikini kivipi! Shangazi: sisi ni masikini tu!
 
mwekwa ntandu

JF-Expert Member
Aug 24, 2019
395
1,000
Ni kweli maji ya kutosha yapo wala hatubishi na tunaishukuru sirikali ya CCM kwa kutupa maisha bora,maji safi hadi sebuleni.CCM oyeeeeeeeee kidumu chama cha mapinduzi.
Unsafe_drinking_water_01.jpeg
 
Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
52,131
2,000
Shangazi yangu alienda kutembea Uingereza akakutana na mtoto wa miaka 8 raia wa uko, mtoto akauliza nasikia Africa ni masikini sana?

Shangazi akajibu ndiyo,

Mtoto akauliza wewe unatoka taifa gani? Shangazi natokea Tanzania.

Mtoto akauliza mbona wewe unajua kiingereza? Shangazi akajibu nimesoma, mtoto akauliza kwahiyo uko unakotokea kunashule? Shangazi ndiyo zipo.

Mtoto akauliza na maji? Shangazi yapo.

Mtoto akauliza hospitali? Shangazi akajibu zipo.

Mtoto akauliza na usafiri? Shangazi akajibu upo.

Mtoto akaendelea kuuliza na umeme? Shangazi akajibu upo.

Mtoto akashangaa na kusema sasa ninyi ni masikini kivipi! Shangazi: sisi ni masikini tu!
Mtoto anaelewa GDP Per Capita ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Auz

JF-Expert Member
Apr 6, 2016
6,953
2,000
Shangazi yangu alienda kutembea Uingereza akakutana na mtoto wa miaka 8 raia wa uko, mtoto akauliza nasikia Africa ni masikini sana?

Shangazi akajibu ndiyo,

Mtoto akauliza wewe unatoka taifa gani? Shangazi natokea Tanzania.

Mtoto akauliza mbona wewe unajua kiingereza? Shangazi akajibu nimesoma, mtoto akauliza kwahiyo uko unakotokea kunashule? Shangazi ndiyo zipo.

Mtoto akauliza na maji? Shangazi yapo.

Mtoto akauliza hospitali? Shangazi akajibu zipo.

Mtoto akauliza na usafiri? Shangazi akajibu upo.

Mtoto akaendelea kuuliza na umeme? Shangazi akajibu upo.

Mtoto akashangaa na kusema sasa ninyi ni masikini kivipi! Shangazi: sisi ni masikini tu!
Yale yale ya Kikwete! Kwa hiyo Shangazi yako anaamini yeye ni masikini? Wa nini?

Sent from my LM-Q710(FGN) using JamiiForums mobile app
 
SAUTI YAKO

JF-Expert Member
Jan 25, 2014
2,478
2,000
Ni kweli maji ya kutosha yapo wala hatubishi na tunaishukuru sirikali ya CCM kwa kutupa maisha bora,maji safi hadi sebuleni.CCM oyeeeeeeeee kidumu chama cha mapinduzi. View attachment 1467709
Mkuu jitihada zinaendelea za kumtua mama ndoo kichwani kauli mbiu hii siku za hivi karibuni Kama imefifia hivi.ila what I believe Kuna Mambo tungeyaacha Kwanza kuyapa kipaumbele hicho,tukahakikisha the whole country inakuwa na maji safi na salama ingekuwa poa.Picha hii inanikumbusha Jana nilikuwa nakatiza barabara flani huko Pwani nikakuta bwawa lenye maji ambayo sidhani yako safi kihivyo raia ndio wanayatumia kuendeshea Mambo MENGINE.
 
Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
52,131
2,000
Napenda mzitambue jitihada zinazofanyika
Kwani mwanao akija na ripoti kapata asilimia 40 katika mtihani wake, ukamwambia unahitaji jitihada zaidi kuongeza ufanisi, utakuwa hujatambua jitihada zake?

Unaelewa kwamba binafsi sina tatizo kutqmbua jitihada, ika nasema tunaweza kufanya vizuri sana zaidi ya sasa hivi na kwamba kuna ujinga mwingi sana unafanyika ambao hauhitajiki?

Unaelewa hayo?

Unaelewa kwamba hizi ni habari nyingi na nzito na zenye utata mwingi, si habari ndogo na nyepesi tu za kutambua au kutotambua jitihada?

Nikisema rais ni mshenzi kwa sababu kasema atawapiga shangazi wa wapinzani, hapo sijatambua au nimetambua jitihada zake?

Nikisema ukweli kwamba rais ni mshenzi, sijatambua jitihada zake?

Mtu mshenzi hawezi kuwa na jitihada zinazotambulika, akaangushwa na ushenzi wake, watu wakapenda jitihada zake, wakasema "huyu angeondoa ushenzi wake tu, angeweza kufanya vizuri zaidi"?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom