mtego

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mwanamke akikuambia "Nipe tu Mimba mtoto nitalea mwenyewe", huo ni mtego, utalea tu

    Makubaliano ya "Nipe Mimba Tu" ni Mtego na Haramu: Inabainishwa kuwa mwanamke akimwambia mwanamume "nipe tu ujauzito kulea nitalea mwenyewe," huo ni mtego na ni haramu kisheria,,. Makubaliano kama hayo yanalinganishwa na biashara haramu (kama ya bangi) ambayo haina uhalali mbele ya sheria tangu...
  2. JamiiForums Tanzania Tusiingie kwenye mtego wa kugombana na wazanzibar, Na wazanzibar kugombana na watanganyika

    Kinachoendelea ukitulia utajua kimepangwa kwa makusudi, akili yangu inaniambia hili jambo limetengenezwa na wanasiasa kutugawa. Siwezi kujua sana lengo lake ni nini ila ninaamini wajuzi wa mambo wataelewa hichi kinachoendelea, nia yake ni kuvuruga kitu fulani. Kama tunaweza tusiingie kwenye...
  3. JamiiForums Tanzania Simu za nyumba ni mtego unaomaliza pesa za watu

    Shtuka! Kitu unachotakiwa kuangalia kabla hujanunua simu ya "Mtumba" au ile iliyoandikwa "Refurbished" dukani. Watu wengi wakitaka kununua simu kali (kama iPhone au Samsung) kwa bei nafuu, wanakimbilia simu zilizoandikwa Refurbished (zilizokarabatiwa na kufungwa upya kwenye maboksi) wakiamini...
  4. JamiiForums Tanzania Mtego wa "Mshahara wa Kwanza": Kwanini Vijana Hawaendelei?

    Huu ni mtego wa "Lifestyle Inflation" (Mfumuko wa Gharama za Maisha Binafsi)—ule ugonjwa unaotafuna vijana wengi wa Kitanzania kati ya miaka 24 na 35 pale wanapoanza kushika "pesa kidogo" ya mshahara au biashara. 1. Shambulio la Gari: Chuma vs. Ardhi Hili ni kosa namba moja la vijana wa kiume...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Ford Foundation Misaada au Mtego wa Kimataifa? Historia ya FF je ina mchango wowote klatika uchochezi wa machafuko popote Duniani haswa Afrika

    Uchunguzi wa Kina · JICHO La Afrika 2026 | Makala ya Uchunguzi Uchunguzi Maalum NA ITS MALEKOGJ. malekoj27@gmail.com 0798888486 Ford Foundation: Siri Zilizofichwa kwa Miaka 70 — Jinsi Philanthropy Inavyoweza Kuwa Silaha ya Kisiasa Kipindi TUTAKACHOANGALIA 1936 – 2025 Nchi Zilizohusika...
  6. JamiiForums Tanzania Mtego kwa Chadema

    Kuna rumansi zinaanzishwa na vijana wa UVCCM kuwa, kutokana na mwenyeti wa Chadema Tundu Lissu kuwa getezani kwa tuhuma za uhaini, basi inamuondolea sifa ya kuwa Mwenyekiti. Wapo wanaoanzisha kumsifia John Heche kuwa ni jembe kweli kweli na anacheleshwa na Lissu kuwa pale juu, ndugu zangu...
  7. JamiiForums Tanzania Chama ni mtego kwa Simba msimu ujao

    Viongozi wa Simba wanajua wanaenda poteza ubingwa kwa mara ya 5 mfululizo. Wakaamua kuja na njia ya kusifia magoli ili mashabiki wahamishie furaha Yao kwenye kushabikia magoli. Hivi timu kubwa km Simba ni yakukaa na kuwa wanafurahia magoli ya wachezaji wao?? Turudi kwa kiwango cha chama...
  8. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Viral video yageuka Mtego: DCI washika mshukiwa kwa Hate Speech

    Mambo yanazidi kuwa moto mtandaoni baada ya Directorate of Criminal Investigations (DCI) kumkamata mshukiwa anayehusishwa na video iliyosambaa sana kwa madai ya hate speech. Kwa mujibu wa DCI, mshukiwa huyo alikamatwa baada ya detectives kufanya review ya hiyo video na kubaini kuwa ilikuwa na...
  9. JamiiForums Tanzania Ahadi za Ajira kwa Watoto: Mtego au Fursa?

    Watoto wanaoishi katika mazingira magumu, bodaboda etc walipewa fedha kati ya TZS 10,000-50,000 katika kipindi cha kuanzia Tarehe 12-28 Oktoba na mafunzo kwa ahadi ya Ajira na vipato zaidi #NeverAgain
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume tumeumbiwa starehe ya ngono kama mtego wa kuangukia kwenye majukumu mazito hadi tunazeeka?

    Sex ni kuburudisho kikubwa kwa mwanaume lakini ni tendo lenye majukumu mengi sana. Unapokuwa na girlfriend umeshajiingiza kwenye mtego wa kumhudumia, utalalamika vizinga lakini unajua fika hilo ni jukumu lako tayari. Haya yote kwa kiasi kikubwa huwa tunayaanza kwa sex. Unapompa mimba...
  11. JamiiForums Tanzania Kifo cha Uaminifu: Madhara ya Kuminya Habari na Mtego wa "Content Creators"

    Mimi ni Mwanahabari na Mtanzania Nasema ... Kuna huzuni nzito inayotanda ndani ya vyumba vya habari nchini,siyo huzuni ya kukosa vifaa au teknolojia, bali ni huzuni ya kuona taaluma yetu ikigeuzwa kuwa "kipaza sauti" cha upande mmoja, huku misingi ya uhuru wa kutoa maoni na kuchambua ukweli...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwenu Wanaume, Mwanamke akikuletea Zawadi jua ni mtego, atachukua kwako mara 2 yake

    Naam, hawa viumbe acha tu, Waliosema ishini nao kwa akili hawakukurupuka, haikumaanisha kuwa hawana akili bali upeo wao ni mkubwa sana na usipokuwaa na akili za kudeal nao, rafiki yangu umeisha. Sasa basi Mwanamke akikuletea zawadi wewe Mwanaume iwe ya sikukuu au yoyote ile, iwe fedha au zawadi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa masikini usiingie mkenge huu wa kwenda Urusi kuipambania

    Huu ni mtego, baki nyumbani pambania haki yako, usiende Urusi kupambania haki ya Warusi Ukrain, usidhubutu. Utapelekwa frontline ukafe. Kwenye hiyo video hapo juu, huyo jamaa anatuambia eti meseji ya mshahara imeingia! Kulikua na umuhimu kutuambia suala hilo?! Eti hakuna shida yoyote, uende...
  14. JamiiForums Tanzania Huu ni mtego, shituka mapema Gen Z

    Eti tumetenga billion 2 za content creators , ikumbukwe kwamba hata mo 29 maandamano yalichochewa mtandaoni kwa kiasi kikubwa hasa tiktok, fb na instragram. Paul Makonda kawekwa pale kimkajati zaidi ili kunyamazisha gen z mtandaoni na strategy aliotumia nikuanza kuwavuta content creator mwisho...
  15. O

    JamiiForums Tanzania Mzee Mbowe anawachezea akili vijana wake wa CHADEMA, mwisho wa siku wataangukia kwenye mtego wake

    Baada ya hotuba yake kwenye mazishi ya Mzee Mtei (RIP), vijana wengi wanaonekana kukoshwa na hotuba hiyo, wengine wakimpongeza kwa hashtags kwenye social media. Wengine wanaona kama ni mwelekeo mzuri wa Mbowe kurudisha heshima iliyotetereka ndani ya chama chake cha CHADEMA kwa siku za hivi...
  16. JamiiForums Tanzania Mnada wa Ubalozi wa Marekani: Fursa au Mtego kwa Mwananchi?

    Ubalozi wa Marekani unatarajia kupiga mnada wa kukata na shoka Jumamosi ya Januari 24, 2026, pale Golden Resort, Sinza. Kuanzia magari hadi vifaa vya TEHAMA, kila kitu kinauzwa "kama kilivyo." Lakini je, ni kweli bei ni rafiki kwa mlalahoi na mtanzania? Wadau wanalalamika kuwa bidhaa bora na...
  17. JamiiForums Tanzania Tafadhali GenZ msije mkaingia huu mtego wa Maria kuvamia magereza, mtachakazwa vibaya mno

    Huyu kigagula alipofikia ni pabaya. GenZ yeyote atakayethubutu kuvamia magereza kisa kaambiwa na shetani Maria ajue kitakachompata sio kitu kizuri. Anaweza pata ulemavu wa kudumu au kifo. Watapigwa wachakae. Kwa msiofahamu ni kuwa Askari Magereza hupitia mafunzo magumu sana kuliko askari wa...
  18. JamiiForums Tanzania Mwigulu: Tunawindwa kwenye suala la dini, mtego wake hauna mshindi

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, amewaonya Watanzania dhidi ya kuingia kwenye kile alichokitaja kuwa ni mtego wa migogoro ya kidini, akisisitiza kuwa migogoro inayogusa imani za watu haina mshindi na inaweza kulivuruga taifa zima endapo haitakwepwa mapema. Akizungumza na wananchi wa...
  19. JamiiForums Tanzania Waleta Fujo na Wavuruga Amani Wajikuta Kwenye Mtego Mkali

    My people, Hawa watu wasio itakia meme nchi yetu wanajikuta katika mtego ufuatao Kwanza wakiandamana kuna uwezekano wa kuingia mwaka 2026 wakiwa selo au hospitalini wakijiuguza,kwahiyo watakuwa wamejichagulia wenyewe wauanze vipi mwaka Na wasipoandamana basi ndio itakuwa mwisho wa mikakati...
  20. JamiiForums Tanzania D25 ni mtego mwingine kwa Chinjachinja, asivyo na akili atauvaa kama ulivyo

    It's very unlikely hiyo D25 kwa watu kotoka na kuandamana kwa wingi kama ilivyokuwa O29. Ila hilo ndio lengo halisi, serikali ijitutumue kisha ionekane inakandamiza haki za wakristo, siku ya Krismasi wamefungiwa ndani. Ukisoma kwa makini matamko ya serikali ya Marekani pamoja na baadhi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…