Hongera Clouds Plus kwa kipindi cha Mtazamo

uncle

JF-Expert Member
Dec 10, 2007
323
184
Katika vipindi ambayo naviona vinazidi kuwa bora katika runinga ya cloudplus ni kipindi cha mtazamo. Nafurahia maudhui ya kipindi kwani yanaelimisha na kuhabarisha. Na haswa wanavyowaaliaka wachambuzi mbalimbali ambao kiukweli wana uweledi na ujuzi kwa wanayochambua. Ushauri boresheni kwenye mapungufu na kuwa na segment ya kupata mtazamo Wa watazamaji.

Big up kwa kipindi kizuri
 
Back
Top Bottom