Uchaguzi mkuu umekwisha. Huu ni wakati wa kupiga tathmini. Nitaleta tathmini yenye vipengele vifuatavyo:
1. Mchakato wa kuandaa Ilani ya uchaguzi
2. Mchakato wa kujenga Mtandao wa kampeni za uchaguzi
3. Kusimamia kura za Maoni
4. Historia ya kufuata Katiba ya Chama
5. Utaratibu wa kufanya...
Naona haya ni mabadiliko ambayo watanzania wengi wanataka...
1. Kuvunja Muungano..
Huu Muungano na uvunjwe Tu kuliko kutumia Damu za watu kuulinda..
2. Kuifuta CCM..
Hiki chama hakiwezi kabisa kushindana bila kuiba kura wala ubabe na vurugu.
Kwa afya ya Demokrasia yetu kivunjwe na kipigwe...
Nimejaribu kumsikiliza Rais Museveni wa Uganda wakati wa kuapishwa kwa Rais Dr Magufuli ili kuelewa anasema nini hasa. Nakubaliana nae juu ya mambo manne aliyoyasema- liberation, prosperity, strategic security na brotherhood. Ingawaje hiyo strategic security sikuielewa vizuri.
Pia alisema kuwa...
Mada Maalum itakayozungumzia ziara nzima kwenye mchakato wa kampeni za mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli na Mgombea Mwenza Mama Samiah Suluhu.
Agosti 25, 2020
M/Kiti wa NEC, Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa amemteua Dkt. John Pombe...
Kwa mtazamo wangu, Raia wa Zanzibar wako more informed kuliko wa Tanganyika.
Uthibitisho ni wakati Zanzibar ni nchi ya Pili afrika kuwa na Television miaka ya sabini sisi tumeanza mambo hayo tena kwa tabu sana miaka ya 90. Exposure yao iko huu kuliko sisi. Information is power.
Sitegemei CCM...
Habari za pilika Wana JF Wenzangu.
Niende madani.
Kwa muda mrefu nimekuwa nikiwaza kwenye faili la Makabidhiano ya Urais Kuna nini ndani yake? Niliwaza hili wakati Rais Mkapa akikabidhi nchi kwa Rais Kikwete na Pia wakati Kikwete naye akimkabidhi Rais Magufuli. Hili jambo ni Muhimu kwani huu...
MTAZAMO TU
Kwa jinsi mambo yanavyoenda hadi muda huu inaonekana wazi CCM wamefeli plan zote A.B.C na extra plan D+E
Ukiangalia mikakati ovu ilopangwa kimantik inaonekana yote haipiti njia ilokusudiwa hii wasahili husema *KIFO CHA NYANI*
Tuangalie jinsi mipango ilivyosukwa miaka mtano nyuma...
Pamoja na kumuunga mkono Mkulu wetu kwa kiasi kikubwa katika maamuzi yake mengi, upenzi wangu haunizuii kuyasemea madhaifu yake kadhaa.
Mara kadha Mkulu akimtambulisha msaidizi wake (Makamu) amekuwa akimsifia kwa "weupe na uzuri". Kwangu hilo linanichefua kwani kwa hadhi na nafasi yake akitoa...
Siku ya jana, tumeshuhudia na kusikia hukumu iliyotolewa na Mamlaka ya mawasiliano Tanzania juu ya kipindi maarufu cha Jahazi kinachoruka kupitia Clouds Fm.
Hukumu hiyo imekuja baada ya watangazaji wa kipindi hicho akiwemo G. Habash, Dj Fetty na wenzao kukiuka miiko na maadili ya utangazaji...
Mambo pekee niliyoyabaini katika uchaguzi huu wa kura za maoni ni kama yafuatayo:-
Ni mara 100 urudi utaratibu wa zamani wa kila mwanachama wa CCM arudi kupiga kura za maoni. Huu mchakato wa sasa hivi ndio una rushwa zaidi.
Angalia wajumbe ukumbini wanakaa katika kata zao, wanakwenda kupiga...
MAWAZO YALIYONIJAA KICHWANI DHIDI YA MSAADA WA VYANDARUA VYA KUJIZUIA NA MALARIA TULIVYOWAHI KUPATIWA NA MARAFIKI ZETU WA UGHAIBUNI NA JITIHADA YA WENZETU WOTE NCHINI WALIOIFANIKISHA KWA NAMNA MOJA AMA NYINGINE
Kwanza, nimekuwa nikimfikiria sana yule mfanyakazi wa ofisi ya Ubalozi wa Marekani...
Serikali imeazimia kuipa mamlaka TRA kuhusika moja kwa moja na ukusanyaji wa mapato yanayotokana na utalii katika taasisi hizi TANAPA, NCCA, na TAWA.
Je, huu uamuzi kwa mtazamo wako una athari chanya au hasi katika utalii?
Nimekumbuka ujumbe wa Mwl Nyerere kabla ya kung'atuka aliporusha dongo kwa wapambe wake waliomshauri abaki madarakani kwa kuwa ana afya, uwezo na wananchi wanamuhitaji sana kama kiongozi wao mzalendo.
Mwalimu aliwaambia wapambe wake hapana na wasiwe na wasiwasi kwamba akiondoka labda ajae...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika, amesema kutokana na hali aliyonayo Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe, wamefikia uamuzi wa kufanya utaratibu wa kumsafirisha kuja jijini Dar es salaam kwa ajili uchunguzi zaidi na matibabu.
Katika tukio hili napo...
Akizungumza katika kipindi cha Jicho letu ndani ya habari mwandishi nguli Pascal Mayalla amewataka TCRA kuwafuatilia wale wanaoandika uchafu kwenye mtandao wa Twitter na kama wameshindwa basi waufungie mtandao huo hapa nchini.
Na kama hayo yote hayawezekani basi Watanzania wazalendo wajulishwe...
Sijui kama kuna watu wana mtazamo kama wangu juu ya wanawake wa Sinza.
Kwanza, mimi ni mdau mkubwa wa kuopoa vimwana au kutongoza mitandaoni hasa hii dating sites badoo(mtandao wa makahaba, mashoga, majimama na watu waliokubuhu, tinder(my favourite), tantan(mtandao wa single mamas...
Ajira ni mahusiano ya bosi na mfanyakazi yaliyofikiwa baada ya Bossi kumhitaji mfanyakazi huyo na kumchukua amtumikie kwa ujira maalum.
Kazi ni shuhuli yoyote ya halali ambayo mtu anaweza kuifanya ili kuongeza thamani ya kitu, ya jambo ama yake yeye mwenyewe bila kujali ina malipo ama haina...
Mimi kidogo nimesoma uchumi.Hivyo nitatoa short analysis ya kiuchumi.
Miaka kumi ijayo Tanzania itakuwa Kama afrika ya kusini au ureno.
Hebu fikiria yafuatayo.
Umeme mkubwa wa stiglaz gorge ambao utailuminate nchi yote na bado tukabakiwa na ziada.
Mradi wa REA ambao umeiluminate vijiji vingi...
Serikali ya CCM chini ya Rais Magufuli kwa miaka minne imekuwa ikiwadanganya wafanyakazi juu ya kuwaongeza mishahara Yao.
Wakati wanapiga kampeni CCM na Rais Magufuli waliwaahidi wafanyakazi kwamba watawaongeza mishahara Yao lakini kila mwaka Rais Magufuliakialikwa kwenye sherehe za meimosi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.