'Mila na Desturi' za Mtanzania ni zipi?

'Mila na Desturi' za Mtanzania ni zipi?

Mila na desturi za Mtanzania ni zipi?

Mataifa yenye makabila mengi na dini nyingi nayo huwa na mila na desturi zake ?
Usiangaike sana.

Ukiskia mtu wa CCM anaongelea kuhusu mila na desturi ujue anamaanisha ukondoo wa mtanzania kutokuhoji na kumkosoa kiongozi hata pale ambapo kiongozi anaonesha kwenda kinyume na katiba na sheria.

Kwa kifupi ni ile hali ya mtanzania kuitikia ndio kwa kila jambo analoambiwa na mkubwa au kiongozi wake.

Hizo ndio mila na desturi ambazo ma CCM yanamaanisha.
 
Usiangaike sana.

Ukiskia mtu wa CCM anaongelea kuhusu mila na desturi ujue anamaanisha ukondoo wa mtanzania kutokuhoji na kumkosoa kiongozi hata pale ambapo kiongozi anaonesha kwenda kinyume na katiba na sheria.

Kwa kifupi ni ile hali ya mtanzania kuitikia ndio kwa kila jambo analoambiwa na mkubwa au kiongozi wake.
Umenena vyema mkuu
Yaani wakiiba kura wasiulizwe, wakiua. Na kuteka wasiulizwe, wakiiba na ufisadi wasiulizwe
 
Huwa nasikia hii sentensi inasemwa sana mara kwa mara lakini sijawahi kuelewa hasa ni nini wanazungumzia wanaposema mila na desturi za Mtanzania.
Ni jambo ambalo hata mimi sijawahi kupata uelewa wowote zaidi ya kusikia tu vijiweni watu wakidai mara utamaduni wetu sijui uko hivi mara vile, lakini ile main point sijawahi kuifahamu kabisa.
 
Mila na desturi za Mtanzania ni zipi?

Mataifa yenye makabila mengi na dini nyingi nayo huwa na mila na desturi zake ?
Ukweli ni kwamba hazijulikani kwa uhakika na hata zingejulikana, kutetea kitu kwa hoja ya "mila na utamaduni" ni logical fallacy ya "argument from tradition".

Hii habari ya "mila na utamaduni" ni chaka la watu, hususana wanasiasa wahafidhina, kupitisha mambo yao bila kuhojiwa sana.

Vinginevyo nchi yenye katiba na sheria ambazo zimeandikwa iweke vitu muhimu vyote kikatiba na kisheria, mambo ya mila na utamaduni tuyaache yawe kwenye masomo kama ya historia, anthroplolojia na sosholojia.
 
Back
Top Bottom