Tukiwa kidato cha kwanza kwenye somo la uraia, yaani civics mada ya kwanza kufundishwa ilikuwa ni familia. Sijui mitaala ya wadogo zangu Gen Z inasemaje, ila sisi tulifundishwa kuwa familia ndio msingi wa jamii zetu na Taifa letu.
Kwa muktadha huu sitakuwa nimekosea kulifananisha Taifa na...
secretarybird huwa najifeel mzalendo nikikumbuka kuwa Mimi ni mtanganyika.
Nikijitambulisha kama mtanzania ni kama kuna kitu napungukiwa, ndiyo maana sijawahi kuipenda Taifa stars.
Jamaa zetu wa ng'ambo wanajiita wazenji halafu sisi tunakazania kuwa watanzania.
Muungano huu ni wa kipuuzi sana...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), amewataka watumishi wa wizara na taasisi zilizo chini ya wizara hiyo kuhakikisha wanazingatia maslahi na utu wa Mtanzania wanapotoa huduma kwa wananchi.
Dkt. Kijaji ameyasema hayo jijini Dodoma mara baada ya kuripoti kazini na kufanya...
Sijui mambo ya sheriia za kimataifa yalivyo.
Nilikua naomba kufahamishwa, mbona mpaka sasa hakuna Mtanzania au taasisi yoyote ambayo imefungua kesi ICC dhidi ya Samia Suluhu na genge lake la wauaji?
Au utaratibu wa kufungua kesi huko icc ukoje wakuu?
====
Majibu kutoka kwa wadau
Yaani watu ni hawaogopi sasa hivi ni wanatoa spana tu.
Zamani watu walikuwa wanajificha wakitaka kukosoa lakini kwa sasa hivi watu ni kama wanajitoa muhanga yaani ile hofu imeondoka kabisa
Huyu dada ameongea maneno mazito sana. Mwenye kusikia na asikie
Hili ndio swali langu kumuhusu yule Mama wa Magogono anaeishi kwa kodi zetu.
Mpaka hapo uzii umekamilika kwani kila kitu kinajulikana.
Nyongeza: Kama anaumizwa na matusi, hizo picha kweli hazimuumizi?
Majibu tafadhali.
Ambao wana nafasi ya kukusaidia ndiyo watakuangusha na kukurudisha nyuma kwenye mapambano yako.
Wanasiasa wetu (hasa wale wenye tabia ambazo baba wa taifa aliziita za kimalaya malaya) ni adui zetu namba moja.
Tutachelewa kupata mabadikiko kwa sababu ya ujuaji mwingi na kukosa utayari wa...
Ni raia wa Eritrea, Cameroun na Uganda ndio walikuwa na asilimia kubwa wakiomba ukimbizi Ulaya wanapewa.
Eritrea na Cameroun wanapewa sana kwenye maswala ya siasa.
Waganda kwenye maswala ya ushoga.
Sasa kwaanzia tarehe 29 October mbongo Ulaya akiomba ukimbizi kwa maswala ya kisiasa faster...
Siku za hivi karibuni ,nimejikuta napata faraja Kila nikilitamka neno Tanganyika. Najisikia fahari sana kujitambulisha mbele za watu hususani wageni kama MTanganyika na sio mTanzania..
Inanifanya nijihisi karibu zaidi na asili yangu , chimbuko langu, wazee wangu na watu wetu wazuri ..Kila...
Asilaumiwe Rais kitakachowakomboa waTZ ni mapambano ya mafichoni dhidi ya mafisadi na viongozi wabovu siyo mitandao ya kijamii,wanaharakati au wanasiasa kwani hawa ndiyo wanaopanga kila leo kubaki madarakani.
CCM mlisema Rostam Aziz ni mtanzania, mfanyabiashara mashuhuri, ni mwenzenu.
Sisi wana Igunga hatumuoni mbunge wetu wa zamani. Haonekani kufuatia hotuba ya Kapteni Tesha.
Taarifa za chini zinasema katimkia Zambia. Tunamuomba mzalendo huyu toka Iran, aje kupiga kura.
Tunachezewa sana! Eti...
Erasto mpemba alikuwa ni mzaliwa wa Lushoto mkoani Tanga, Alikuwa ni mwanafunzi ambae alikuwa na bidii katika masomo yake
Wakati yupo kidato cha tatu katika shule ya secondary Magamba ya mkoani Tanga walikuwa wakitengeneza aiskrimu za maziwa na kuweka kwenye friji ili zigande
Kawaida yao...
Hongera sana NMB Bank kwa kuthamini utu, hakika ninyi ni bank bora kila Mtanzania ni shuhuda wa maneno haya, mnasifika kwa kuepuka dhuluma kwa wateja wenu
Mnaonesha uaminifu wa hali ya juu na taarifa zote za miamala kwa wateja wenu ni za wazi na zenye maelezo yanayojitosheleza
Tangu mtoe...
Ujumbe huu uamshe Hisia za uzalendo wa nchi yako Kwa jina la mwenyezi Mungu mkuu mwingi wa rehema mwenye kurehemu Mungu wa mbingu na Ardhi
Watanzania wenzangu, watoto wa ardhi hii ya thamani, tunabeba uzito wa historia mabegani mwetu. Tumelindwa na milima, mito na maziwa, tumekuzwa na jasho la...
Ninashangaa jeshi la polisi kutowachukulia hatua hawa wananchi wa Arusha wenye roho mbaya na wivu kwa mpambanaji Chinaa. Kumtaka ahame mtaa ni kumnyima haki yake ya kikatiba ya kuishi popote ndani ya nchi hii. Hii mbegu ya ubaguzi inayozidi kuchipua huko Arusha inabidi ikomeshwe.
Halafu...
Kuna Mtanzania amekamatwa somalia kwa tuhuma ya kujihusisha na kundi la Al shabaab.Amepandishwa kwenye mahakama ya kijeshi siku ya jana na endapo mahakama ikijirizisha ndugu yetu huyu huenda atapewa adhabu ya kuuliwa.
Hatuwezi kuendelea kuweka mazingira mazuri kwa mafisadi. Mmeharibu sana hii nchi huku waTanzania mkiwaona wakiteketea kila siku juu ya umaskini unaowazunguka.
Pesa ambazo zilitakiwa kujenga hospitali bora zinatumika na kakikundi fulani
Pesa ambazo zilitakiwa kuhakikisha kuna barabara bora ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.