Nani Mtanzania mwenye karma nyingi huko Reddit?

Nani Mtanzania mwenye karma nyingi huko Reddit?

Mimi natumianga Kenya Talk (KT).

Hebu acheni kutumia tu time mingi kuperuzi kwa JF tu, you can come to KT na ujipatiange manzi ya kikenya.

Kitu nzuri ni kuwa kutongoza manzi ya Kenya ni kitu rahisi tofauti na wa TZ.
 
Ukichukua mods wa reddit uwalete JF 60% ya chats zinapungua, ban zinaongezeka 20 times. Na great thinkers wanazidi.
 
Back
Top Bottom