Na kama ni Yeye je, kabla ya ile Segment yao ya Magazeti Kuanza pale Wasafi FM kila Asubuhi huwa Kwanza anavuta Bange au huwa anakunywa labda Gongo kidogo?
Simzungumzii Mtangazaji Mwenzake wa Usomaji Magazeti Hillary Daud ( Zembwela ) kwakuwa tangia alipokuwa Comedian na Marehemu Max nilijua...
Katika maadhimisho ya Siku ya Redio Duniani 2022 mwanamama huyu/Bibi huyu ameelezea historia yake kwamba alianza kutangaza mwaka 1954 katika kituo cha "Sauti ya Tanganyika" anasema wakati mmoja kituo hicho cha redio kiliitwa "Sauti ya Mzizima" pia kiliitwa "Sauti ya Kariakoo".
Baadae kikaitwa...
Habari za Jumapili Wana wa JF. Mtangazaji Rebeka Mulesi wa Radio Free Africa amekuwa akitangaza kipindi Cha USHAURI WAKO kwa muda mrefu Sana.
Kipindi hurushwa kila Jumapili asubuhi saa mbili hadi saa Tatu. Hapa huja watu wenye matatizo mbalimbali na kuelezea matatizo yao. Wengi ni wagonjwa...
Mtangazaji wa Marekani Chris Cuomo amefukuzwa kazi na CNN baada ya kumsaidia kaka yake, gavana wa zamani wa New York Andrew Cuomo, alipokuwa akipambana na madai ya unyanyasaji.
Uamuzi huo ulikuja baada ya CNN kusema kuwa habari za ziada zimeibuka juu ya kiwango cha ushiriki wa Chris Cuomo...
Yaani Dada yangu Farhia Middle hivi Waziri wa Maji Awesso kuwa 'Field' kuangalia Changamoto za upatikanaji wa Maji Mkoani Dar es Salaam ndiyo hadi Umsifu mpaka utake hata Kumkufuru Mwenyezi Mungu katika Kipindi chenu Kizuri cha Mazungumzo ya Familia cha leo ukiwa na Pacha wako Aboubakary Sadick...
Aliyekuwa Mtangazaji wa kipindi cha Lovers Rock ya EastAfrica, Baba T amefariki dunia leo katika Hospitali ya Rabininsia iliyopo Tegeta jijini Dar es Salaam
Taarifa zaidi kuhusu taratibu za mazishi zitatolewa.
Pia soma > Mtangazaji na DJ wa EA Radio, Baba T atimiza miaka 81
Wasifu mfupi wa...
Natamani sana nikijue hicho Chuo ili nianze Kukidharau kwani Kimezalisha a very bogus Candidate katika Tasnia ya Uandishi wa Habari na Utangazaji nchini Tanzania.
Maulid Kitenge muda si mrefu akiwa katika Kipindi cha Sports Headquarters cha EFM katoka Kumuuliza Mchambuzi Jeff Leah Maoni yake...
Brother ifunze ku balance shobo basi yaani haihitaji hata mwanasaikolojia akiangalia hiii video kujua kwamba una chuki kwa simba iliyopitiliza, Magori anaongea vitu vya maaaa unajifanya uko bize na simu mara pc huku ukimeza fundo za mate zenye mchanganyiko wa hasira na wivu, pumbavu
Hata...
Kwa dakika 50 natafuta ya maana siyaoni sana sana ninachosikia tu ni 'Kujimwambafai' Kwake kingi tu kuwa amekaa Marekani, kaenda CNN, BBC, Facebook, Instagram, VOA, nimeachana na Mke wangu.
Nimeenda katika Kaburi la Bruce Lee, nimeenda alipouwawa Yule Mwafrika Floyd, zote Mimi ni Mtangazaji...
P R I S C A - K I S H A M B A !
- Mwandishi / Mtangazaji wa clouds fm ametishiwa kudhalilishwa na msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara.
"KOSA LANGU NINI? Leo nilikuwa sehemu ya waandishi wa habari waliohudhuria mkutano wa klabu ya Simba SC na waandishi wa habari za michezo mkutano ambao...
Mtangazaji wa Kituo cha Runinga cha KBN nchini Zambia amefunguka kuwa yeye na wenzake hawajalipwa mishahara yao.
Kalimina Kabinda alikatisha taarifa ya habari na kuwaumbua waajiri wake mubashara, na kisha kuichapisha video hiyo katika mtandao wa kijamii wa Facebook.
Pamoja na video hiyo...
Anaitwa Juma lokole ni mtangazaji mwenye elimu ya darala la saba kwa wanaoojua tangu akianza michezo michafu akiwa mdogo sana huko sinza hawashangai sana issues zake, kijana huyo alikuwa analelelewa na bibi yake ambaye alipiga hadi akachoka ikabidi amuachie tu kijana aendelee na starehe yake...
Kuna Kipindi nakumbuka ( nikiwa kama Msikilizaji Balozi na Mwandamizi wa Kipindi chao nikipendacho cha Mazungumzo ya Familia cha Radio One kila Jumapili Saa 1 na Nusu Asubuhi hadi Saa 4 Kamili Asubuhi ) aliwahi 'Kufiwa' na Dada yake tena wa toka nitoke ila wala hakuwa katika Majonzi na alisahau...
Hii imekaaje, mtangazaji kudanganya? Atasema mdomo uliteleza kwanini hakuwa na subira mpaka ripoti ya daktari itoke?
Ni aibu kwa kituo na kwa mtangazaji mwenyewe. Unachukua habari za mitandaoni unazitangaza? Mnaanza kututia wasi wasi kusikiliza vipindi vyenu.
Mtangazaji Fred Fidelis maarufu kwa jina la Fredwaa amefariki dunia leo tarehe 12 Juni, 2021 baada ya kupata ajali eneo la Kawe.
Kwa wale wakongwe, utamkumbuka Fredwaa kwa lipi?
====
Dar es Salaam. Mwandishi wa habari Fred Fidelis maarufu Fredwaa amefariki katika ajali ya gari iliyotokea...
Hatimaye Simba SC yaweka rekodi kwa Kuingiza Wachezaji Wanne katika Kikosi bora cha Wiki cha CAF akina Chama, Boko, Miquissone na Tshabalala?
Au
Twiti ya Kiutani wa Kimchezo ya Mwekezaji wa Simba SC Mo Dewji kwa Kuwaita Kaizer Chiefs FC ni Mediocre ( Wajinga ) baada ya Kufungwa Juzi Goli 3...
Je, kwa hali hii ina maana Tasnia ya Habari nchini imekuwa Kimafanikio au imeshuka na sasa imeanza kupoteza Umuhimu nchini?
Binafsi kwa Hadhi ya Unguli wa Habari aliokuwa nao Pascal Mayalla nilitegemea leo hii angekuwa anamiliki Chombo chake kikubwa sana cha Habari nchini Tanzania na siyo kuwa...
Wakati Watangazaji wenzake Wanaojitambua, wenye Elimu Kubwa kwa Fani aliyopo na waliomzidi Akili wakipongeza 'Merchandise and Events Deal' ya Kampuni ya VUNJA BEI na Simba SC Mtangazaji wa Wasafi FM Maulid Kitenge (Mwana Yanga SC lia lia) kaja na 'Majungu' yake yale yale.
"Kwanini Simba SC...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.