mtangazaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. chiembe

    JamiiForums Tanzania Katikati ya kikao Arusha, Makonda atamba kumnunulia Mercedes Benz mtangazaji Cza wa Clouds, alimpigia simu akamchagua aje amuulize maswali

    Nilisikiliza interview ya Makonda huko Arusha, na moja ya jambo alilojitapa ni kumpatia gari mtangazaji wa Clouds aitwaye Cza. Na Cza anakiri kwamba alienda Arusha kwa kuitwa na Makonda, na si kwa kupangiwa kazi na ofisi. Naona kuna mradi wa kumtakatisha mtu.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi mtangazaji Barbara Hassan

    Wanajamvi ni kipindi kirefu kimepita sijamsikia mtangazaji huyu kwenye vipindi alivyokuwa anatangaza redio clouds. Yu wapi mtangazaji huyu jamani nimemiss sana utangazaji wake.
  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania TBC mnampaje mtangazaji kama huyu kazi ya kutangaza tukio la ngazi ya kitaifa?

    UWT ni jumuiya ya chama, lakini mtangazaji mara kadhaa anarudia kuiita chama cha UWT, ina maana hawa watangazaji hawana usimamizi? Hata huko TBC nani anasikiliza wanachotangaza? Hivi watangazaji wanapangiwa majukumu kulingana na seniority na ukubwa wa tukio?
  4. Mpekuzi Tanzania

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi mtangazaji Gerald Hando

    Baada ya usajili wa Mussa Kipanya pale Wasafi FM kwenye kipindi Cha Good Morning. Huyu Mwamba simuoni. Napenda kujua yupo wapi Mimi ni mfuasi wa utangazaji wake
  5. F

    JamiiForums Tanzania Inasemekana mtangazaji mmoja wa wachafu tv pesa alizokuwa anahongwa majuu na mshangazi ametumia kama mahari kwa covid I 9

    Aisee inasemekana mtangazi mmoja wa wachafu tv bwana x pesa alizokuwa anahongwa na mshangazi ambaye anaishi majuu ametumia kuhonga au kulipia mahari kwa wale watu wa covid 19 upande wa singida ndiyo maana jamaa kwa sasa route za majuu zimekata kutokana na mshangazi amekata kutoa fund raise kwa...
  6. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtangazaji wa ITV na Tundu Lissu hakika mmetutendea haki sisi watanzania kwenye kipindi cha dakika 45

    Tuache ushabiki pembeni, mtangazaji wa ITV alijipanga vyema sana katika kufyatua maswali ya msingi yenye kumuweka kwenye kona Lissu, na Lissu aliweza vizuri sana kukabiliana nayo moja kwa moja bila kukwepa, kuzunguka mbuyu au kulipua lipua. Hakika ulikuwa mjadala mzuri wenye kusisimua na...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa hii Kauli ya Kidharau niliyomsikia nayo huyu Mtangazaji wa Kike wa TBC1 Janet Leonard leo Asubuhi kwa Atakayemtongoza awe na Gari ya MERCEDES BENZ

    Tusipotezeane sana muda kwani bado nina HASIRA KALI ya Timu yangu ya WAPUMBAVU SC a.k.a Kisingizio cha bado TUNATENGENEZA Kikosi kufungwa tena Wiki iliyopita na kuendeleza ule msemo kuwa Mke huwa hana Ubishi wa Mume. "Kuna Clip moja niliiona Tembo akinyanyua Kigari cha ki IST hadi nikaogopa"...
  8. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Online TVs zote uchaguzi TLS, Mtangazaji ni Mmoja , nini maana yake?

    Kwanza itakua ni wendawazimu mkubwa Kwa WATU tunaowaita Mawakili kua Wala Rushwa na Kupokea Rushwa ili mradi kura wampigie mtu anayetakiwa na Serikali. Pili, Ni Ujinga wa kiwango Cha juu sana ikiwa Serikali itahitaji Kuiongoza TLS. Tatu, Hili la Online TVs zote kua na Mtangazaji Mmoja, ni...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Manara tukiwapiga Simba chini ya Goli nne nakuja hapa SportsArena kuwapa kila mtangazaji milioni moja

    “Wachezaji kila ukiwauliza wanasema wao wanawaza Agosti 8 tu, nawaambia kabisa ‘Makolo’ wasilite timu uwanjani, yani wale tukiwapiga chini ya nne nakuja hapa SportsArena kuwapa kila mtangazaji milioni moja moja.” —— Msemaji wa Yanga Sc, Haji Manara
  10. Rufiji dam

    JamiiForums Tanzania Azam Media mkanyeni mtangazaji Ngoda kuchanganya mpira na vyama vya siasa

    Hii mechi kati ya Simba na KMC leo imetangazwa na Ramadhan Ngoda muda mwingi katumia kuitaja CCM kila mara ajue kabisa anaharibu kuchanganya mpira na shetani CCM. AKOME
  11. D

    JamiiForums Tanzania Ricardo Momo ana kipindi kizuri sema mvivu sana. Mtangazaji mwingine akopi kazi zake

    Ricardo Momo I am a fan of Ricardo momo's 'zandaniii' sema jamaa yupo very inconsistent. He won't be available for weeks, sometimes months of radio sessions. Sadly, he could simply operate his sessions via phone calls hata akiwa nje ya inchi. There's alot of money in ads, wasafi isn't...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mtangazaji Swedy Mwinyi wa TBC afariki Dunia

    Taarifa inayosambaa mitandaoni inaeleza kwamba, Mtangazaji wa TBC, Sued Mwinyi amefikwa na Umauti leo, kwenye Hospitali ya Mloganzila ambako alilazwa kutokana na maradhi yaliyokuwa yanamsumbua. Apumzike kwa Amani
  13. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Shaaban Kissu, mtangazaji anayelipwa mshahara mkubwa kuliko watangazaji wote nchini, alifuatiwa na Gadner G

    Shaaban Kissu MC wa Taifa ndiye the most paid Radio presenter so far, akiwa TBC Na sasa AMG Analipwa zaidi ya milioni tano kwa mwezi, sababu ya kuwa hivyo inatokana na kuwahi kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya enzi za Kikwete. Kabla ya kutumbuliwa na JPM. Kanuni za utumishi ziko wazi ukipandishwa...
  14. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya Marekani ya Mtangazaji Maulid Kitenge yadaiwa kuaota mbawa baada ya kumuoa Mbunge Nusrat Hanje

    Hiyo ndiyo habari ya motomoto kunako mainstream, ambapo inasemekana mtangazaji maarufu Maulid wa Wasafi TV hapa nchini, ndoa yake ya Marekani imeota mbawa baada ya kumuoa Mbunge N. Chanzo cha ndoa hiyo kuvunjika ni mtangazaji huyo kuoa bila kuomba consent kutoka kwa mke wake huyo, na hata baada...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Ibrahim Masoud wa E-TV ni Mtangazaji wa hovyo kabisa wa Mpira

    Kama Yanga tunakerwa na utangazaji wa Baraka Mpenja wa Azam TV basi kuna korona la nazi linaitwa Ibrahim Masoud, no football knowledge or commentary professionalism at all from the man. Yan tangu dakika ya kwanza ya mchezo hadi sasa dk.80 anarudia tu kauli yake kuwa haamini kama Yanga atapata...
  16. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji wa TBC 1 anasema meli ya MV Mwanza itapiga route ikiwa ziwa Victoria kwenda Sudani Kusini, Burundi, Zambia Congo na Malawi

    Sitaki niongee mengi nishasema watanzania wengi hasa kwenye kada ya uandishi wa habari miaka ya 2000+ ni hopeless na vilaza wa kutupwa sijui journalism gani hawajui hata Geography ya Primary na O level. Kama mnauzinduzi wa MV Mwanza basi vilaza wenu washaropokwa huko. Endeleeni na vilaza...
  17. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Kituko: Mbunge wa Arusha, Mrisho Gambo abanwa maswali na Mtangazaji wa StarTv na kushindwa kutetea Kauli zake, Wabunge wafundishwe kujenga Hoja..

    Alipoulizwa kuhusu Kuleta maendeleo Arusha Mjini bado alionekana ana jing'ata ngata.. Tunahitaji Mijadala ya Kitaifa kwa Viongozi na Maswali magumu kama haya kwa Viongozi ili tujue Kama kiongozi wetu wako vizuri Upstair au Ni Gambo
  18. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Ni wakati Sasa vyuo vya Sanaa kutambua mchango wa Mtangazaji Masoud Masoud katika tasnia ya Muziki

    Habari wanaJF. Ukweli ni kwamba vyuo vikuuu na vyuo vingine vimekuwa vikitambua na kuwatunuku PhD katika kutoa huduma fulani katika jamii. Lakini Kuna nguli wa Utangazaji na Mwana Ethnomusicologist Yaani mtaalam wa sayansi ya Muziki na amekuwa akichambua historia na general structure ya...
  19. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Video ya Paul Makonda akimnanga Mzee Edward Lowassa

    Mtangazaji maarufu wa vipindi vya michezo nchini Maulid Kitenge, amepost video inayoonyesha Mhe. Makonda akimuongelea vibaya hayati Lowassa. Kitenge ameandika kwenye Video hiyo "WAKATI tunatafakari ya sasa tukumbuke tulipotoka". ANGALIA VIDEO HAPA Nini maoni yako? Written by Mjanja M1 ✍️
  20. maroon7

    JamiiForums Tanzania Huyu mtangazaji wa TBC1 wa michuano ya AFCON anatuongelea kiarabu kwa misingi ipi?

    Leo naangalia fainali ya AFCON kupitia TBC1 kutokana na mazingira niliyopo. Ila cha ajabu huyu mtangazaji somebody Upete anaboa anatuongelea kiarabu, hivi ndio professionalism yenu hii TBC1? Au hamjui sio wote wanaelewa hiyo lugha? Mnawatoa wapi hawa watangazaji wanajifanya mamwinyi waarabu wa...
Back
Top Bottom