mtangazaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla kutoka kuwa Mwandishi Nguli hadi Mtangazaji wa kawaida East Africa Radio inamaanisha nini katika Tasnia?

    Je, kwa hali hii ina maana Tasnia ya Habari nchini imekuwa Kimafanikio au imeshuka na sasa imeanza kupoteza Umuhimu nchini? Binafsi kwa Hadhi ya Unguli wa Habari aliokuwa nao Pascal Mayalla nilitegemea leo hii angekuwa anamiliki Chombo chake kikubwa sana cha Habari nchini Tanzania na siyo kuwa...
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu ndiyo Mtangazaji Maulid Kitenge wa Wasafi FM mwenye Chuki, Unafiki na Uzandiki dhidi ya Klabu ya Simba na Mafanikio yake

    Wakati Watangazaji wenzake Wanaojitambua, wenye Elimu Kubwa kwa Fani aliyopo na waliomzidi Akili wakipongeza 'Merchandise and Events Deal' ya Kampuni ya VUNJA BEI na Simba SC Mtangazaji wa Wasafi FM Maulid Kitenge (Mwana Yanga SC lia lia) kaja na 'Majungu' yake yale yale. "Kwanini Simba SC...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ashikiliwa mauaji ya mtangazaji wa ITV, Blandina Sembu

    .
  4. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mtangazaji Mukhsin Mambo alias MC Hammer afariki dunia nyumbani kwake Marekani

    Aliyekuwa mtangazaji wa StarTv, Muhsin Mambo Alias MC Hammer afariki dunia siku ya leo tarehe 8 Februari nyumbani kwake nchini Marekani. Pia soma > Muhsin Mambo yuko wapi? Mwanahabari Mukhsin Mambo, wakati wa uhai wake -- Mwandishi wa habari Mukhsin Mambo, amefariki dunia hii leo Februari 8...
  5. MTAZAMO

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji na DJ wa East Africa Radio, Baba T atimiza miaka 81

    Kutoka EATV facebook wall, Kwa mara nyingine tumebarikiwa kusherehekea siku ya kuzaliwa ya mfanyakazi mwenzetu mwenye umri mrefu zaidi hapa ofisini. Jina lake halisi ni Emsly Smith maarufu kama Baba T. Baba T ni Dj wa muziki wa Reggae na pia ni mtangazaji wa kipindi cha 'Lovers Rock' cha East...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mtangazaji Maarufu wa RTD Abissay Stephen amefariki dunia asubuhi hii

    Wanabodi, Nimepokea taarifa kuwa Mtangazaji Maarufu wa RTD, (sasa TBC), ABISAY STEVEN, amefariki dunia asubuhi hii. Mpashaji habari wangu amesema msiba huo umetokea katika hospitali ya Muhimbili alikolazwa kufuatia kuugua kwa muda mfupi. Taarifa zaidi zitafuatia. Kwa wale wa zamani huyu...
Back
Top Bottom