Kuna anayemuelewa Mtangazaji Maulid Kitenge na 'Interview' yake EFM akiwa na Gerald Hando?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,555
108,897
Kwa dakika 50 natafuta ya maana siyaoni sana sana ninachosikia tu ni 'Kujimwambafai' Kwake kingi tu kuwa amekaa Marekani, kaenda CNN, BBC, Facebook, Instagram, VOA, nimeachana na Mke wangu.

Nimeenda katika Kaburi la Bruce Lee, nimeenda alipouwawa Yule Mwafrika Floyd, zote Mimi ni Mtangazaji mkubwa sana Tanzania. sijaona bado wa Kunirithi Kiutangazaji wa Michezo, sina nina Watoto Wanne na Upuuzi mwingine mwingi na Ushamba lukuki.

Naomba aliyemuelewa anidadavulie pia.
 
U-TISS wake hapa unakujaje! Kwani kuwa TISS ni kitu cha ajabu. Halafu tuache ushamba wa kuwachukulia wafanyakazi wa idara ya usalama wa Taifa kama malaika au watu daraja la kwanza ni watu sawa na wewe ila wanafanya majukumu kwa ajili ya Taifa lao.
Ni upuuzi sana mkuu, hii hulka imeharibu Sana watu hata wenyewe TISS maana wanajiona watu special Sana japo wengi kwa Sasa mbumbu Ni wengi kuliko uhalisia
 
Ni upuuzi Sana mkuu, hii hulka imeharibu Sana watu hata wenyewe TISS maana wanajiona watu special Sana japo wengi kwa Sasa mbumbu Ni wengi kuliko uhalisia
Mkuu watanzania ni watu washamba sana, kuna jamaa mmoja nilikuwa nafanya naye kazi ofisi moja. Yule jamaa alisakamwa na karibu ofisi nzima kwa ni TISS hadi mshikaji akawa anaboreka. Unamshangaa mtu na elimu yake tena kubwa anamshadadia mtu kuwa ni TISS.

NDIYO NI TISS, UNATAKAJE SASA.
 
Kwa dakika 50 natafuta ya maana siyaoni sana sana ninachosikia tu ni 'Kujimwambafai' Kwake kingi tu kuwa amekaa Marekani, kaenda CNN, BBC, Facebook, Instagram, VOA, nimeachana na Mke wangu, sina Mke ila nina Watoto Wanne na Upuuzi mwingine mwingi na Ushamba lukuki.

Naomba aliyemuelewa anidadavulie pia.
Mpenzi wa manara halafu ANAPAKATWAGA huko ughaibuni
 
Mtangazaji kama huyu,hawezi kuajiriwa nje ya mipaka ya Bongo.

Ana jina kubwa lakini,Elimu yake haiwezi kumfanya awe kama Raly king wa CNN,au Jeff Koinage wa Kenya,au hata Hussein Mohamend wa Citizen.

Huyu kitenge ilibidi aajiriwe hata na Aljazeera kwenye kipindi Cha michezo,lakini sidhani,amekalia story za kimanzichana, mwanakwelekwe, Tandale, Kawe, local issues,ambazo hazivuki mipaka.
 
U-TISS wake hapa unakujaje! Kwani kuwa TISS ni kitu cha ajabu. Halafu tuache ushamba wa kuwachukulia wafanyakazi wa idara ya usalama wa Taifa kama malaika au watu daraja la kwanza ni watu sawa na wewe ila wanafanya majukumu kwa ajili ya Taifa lao.
Acha makasiriko mkuu
 
Back
Top Bottom