mtandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Faida na hasara nilizozipata kutokana na CASINO za mtandaoni

    Mimi ni mlevi wa online CASINO hasa kutoka play Master na Meridian Bet. Nimeanza kuzicheza 2018 hivi. Nilizikuta tu mtandaoni bila kuelekezwa na mtu, nikajiunga na kuanza kucheza kwa dau dogo dogo la mia mia ila sasa hivi nacheza dau kubwakubwa. Faida nilizozipata ni hizi: 1. Muda wa kufanya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Muda niliopoteza kwa mtu asiyesahihi unanicost, je naweza pata mke tokea mtandaoni akawa mwema?

    Nishaandika week hii, nimeugulia Sana Maumivu, nataman kua na mwenza lakin kila nikiwaza jinsi ya Kumpata mwenye vigezo navyotaka nahisi ugumu, Imefika hatua nawaogopa wanawake kuanzisha nao mahusiano yaliyopita serious kwa ajili ndoa, kwakuwa kila nikianza fikiria maumivu ntakayopata pindi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Muda niliopoteza kwa mtu asiye sahihi unanicost, Umri unaenda nataka mke. Je, inawezekana akapatikana mtandaoni akawa mwema?

    Nishaandika week hii, nimeugulia Sana Maumivu, natamani kuwa na mwenza lakini kila nikiwaza jinsi ya kumpata mwenye vigezo navyotaka nahisi ugumu. Imefika hatua nawaogopa wanawake kuanzisha nao mahusiano yaliyopita serious kwa ajili ndoa, kwakuwa kila nikianza fikiria maumivu ntakayopata pindi...
  4. JamiiForums Tanzania Sehemu nne za kunasa wateja mtandaoni 2021

    Hii ni kwa wafanyabiashara,wamiliki wa blogs na wamiliki wa mitandao(tovuti) makala hii inakupa vyanzo vinne vya kupata watembeleaji na wateja mtandaoni na mbinu za kunasa watembeleaji kutoka vyanzo husikia. Vyanzo vyenyewe ni kama vifuatavyo 1. Google search 2. Facebook 3. Youtube 4...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Picha zinazofundisha kutoka Mtandaoni

    Nikiwa katika mitandao ya kijamii nikakutana na Educational Instagram page ambapo nimeona picha/post kadhaa zinazofundisha na nimeona sio mbaya nikazi-share hapa. Source: @naismeal
  6. JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa: Bunge la Ulaya limetuhukumu Tanzania bila kusikilizwa (2019 Video)

    Habari za asubuhi wakuu, Nimemsikia Dkt. Slaa akieleza kwa uchungu kuwa Bunge la Ulaya limeiadhibu Tanzania kwa kosa la kuminya Demokrasia. Na nchi zote za Umoja wa Ulaya hazitafanya biashara na Tanzania kwa kosa hilo, lakini jambo hilo limefanyika huku Bunge hilo likivunja Demokrasia kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Msaada: Leseni ya Maudhui ya Mtandaoni TCRA

    Wataalamu naomba kujua, Kama una YouTube Channel na Blog ambayo maudhui yake yanafanana na Channel. Je unatakiwa kusajili leseni mbili tofauti? au Ni leseni moja tu inajitosheleza? Maana leseni kwa mwaka ni Tsh 500,000 - 1,000,000
  8. JamiiForums Tanzania Tuchague kwa busara, Mbwa watulinde au tuwalinde mbwa?

    Anaandika Askofu Bagonza Mbwa hubweka. Asiyebweka hata akipigwa jiwe ni “mdoli “ wa mbwa. Mbwa halisi ukimzuia kubweka, utabweka wewe. Mbwa akibweka usiku humwamsha mwenye nyumba toka usingizini ili aione hatari iliyopo. Asipobweka, mwenye nyumba huamka kumwangalia mbwa kwa nini habweki. Kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Je, ukijitambulisha kuwa wewe ni 'Mkosoaji' Mkuu wa Rais Dkt. Magufuli 'Mtandaoni' lakini 'hufanikiwi' lipi la kufanya kati ya yafuatayo?

    1. Endelea tu na utaratibu wako wa Kimaisha na Familia yako ambayo huenda ikawa inakutegemea kuliko Siasa na Chuki zako? 2. Tambua kuwa unapoteza bure muda wako kwani wapo Manguli kukuzidi walianza na wakamshindwa? 3. Kuna muda utafika utaanza Kuonekana 'Kituko' kwa wale unaowashtakia au...
  10. JamiiForums Tanzania Bunge la Wananchi wa Tanzania Mtandaoni (BUWATA). Weka hapa hoja yako muhimu iwafikie watawala na kuwagusa mioyo yao migumu

    Mh. Spika napenda kutoa hoja kama ifuatavyo: Kwanza kabisa Mh. tumeona na kushuhudia ni kwa namna gani mtandao (internet) umeleta mageuzi makubwa kibiashara na kijamii na hivyo kufanya ubadili uti wa mgongo wetu wa Taifa kutoka "kilimo" na kuwa "biashara-mtandaoni". Vijana wengi sasa...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 ITV washambuliwa mtandaoni baada ya kuwataka wananchi wawatumie matukio yanayojiri kwa WhatsApp

  12. J

    JamiiForums Tanzania Fahamu haya kabla ya kutuma picha yako ya faragha mtandaoni

    Umeshawahi kukutana na picha za ngono mtandaoni? Bila shaka jibu ni ndiyo. Ipo mitandao (porn sites) iliyojikita mahususi kwa ajili ya kutengeneza na kuonesha picha ama video za ngono. Mara nyingi, picha au video zinazopatikana katika mitandao hiyo huwekwa kwa makubaliano baina ya mitandao hiyo...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali ingekuwa huundwa Mtandaoni, basi Mpaka sasa Tanzania ipo Mikononi mwa wanaCHADEMA

    Nitawajulia hali zenu baada ya uchaguzi! Niende moja kwa moja kwenye mada husika! CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO YA WATU na sio vitu ni chama pekee kilichoweza kujipambanua na kutawala kwenye social networks|social media na digital platform karibu zote nchini Tanzania. Actually, Naweza...
  14. JamiiForums Tanzania Msaada jamani ku download kitabu kinachouzwa mtandaoni lakini mi niki download kwa free

    Kitabu kinaitwa THE LOST BOOK OF HERBAL REMEDIES ( by Claude Davis and Dr. Nicole Apelian) Dah nakihitaji Sana. Wataalam wa ku cheza na kuchekecha mambo hamuwezi mkanisaidia aisee ni fanye free download?!! Asante sana 🙏🙏
  15. JamiiForums Tanzania Jarida la Mtandaoni la Wizara ya Afya (Toleo la 2): Marufuku wanafunzi kupewa vidonge vya ‘folic acid’ shuleni

    Marufuku wanafunzi kupewa vidonge vya ‘folic acid’ shuleni – Waziri Ummy NA EMMANUEL MALEGI-MOROGORO Shule zote nchini zimepigwa marufuku kuwapa wanafunzi (wasichana balehe) dawa aina ya Folic Acid badala yake zimesisitizwa kuhakikisha zinawajengea uwezo wa kulima maboga na mbogamboga katika...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi ninaweza ku order prescription drug mtandaoni kutoka nje na nikaipokea kwa njia ya posta au ninahitaji kibari?

    Wakuu, ninataka kujua kama ninaweza order prescription drugs mtandaoni kwzikaja kwa njia ya posta nikazipokea au ninahitaji kibari? Ni box kadhaa baada ya hapo nitaziforward kwenda sehemu nyingine maana tunatest tu system ya kudeliver dawa tz kama zitafika salama.
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu: Sijapokea wito kutoka Tume ya Uchaguzi. Sitarajii kuacha Kampeni kwa kuitikia wito kutoka mitandaoni

    Mgombea Urais kupitia CHADEMA amesema hajapokea malalamiko yoyote kuhusiana na uchaguzi na hajapokea wito wowote wa kufika tume zaidi ya kusikia kwenye mitandao. Hivyo hawezi kuacha Kampeni kwa maneno ya mitandaoni ===== => Sijapokea malalamiko yoyote juu ya jambo lolote linalohusiana na...
  18. JamiiForums Tanzania Malezi ~ Hizi hapa hatari tano anazoweza kukutana nazo mwanao mtandaoni

    Mara kadhaa kupitia wasaa huu tumezungumza juu ya matumizi ya mtandao na athari zake, chanya na hasi. Leo tunakutanabaishia aina tano kuu za hatari anazoweza kukutana nazo mwanao awapo mitandaoni na namna bora ya kukabiliana nazo ili kupafanya mtandaoni mahali salama kwa mwanao. Maudhui...
  19. JamiiForums Tanzania Naweza kupata (kudownload) katiba mtandaoni

    Wakuu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, huku mtandaoni naweza kupata katiba ambayo ipo updated? Naomba kama kuna mtu anajua anijuze au kama ana softcopy(pdf) pia nitashukuru. Naomba kuwasilisha.
  20. E

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu kununua vitabu mtandaoni

    Habari wakuu, Samahani nauliza ukinunua kitabu mtandaoni, halafu ukawa huna hela ya wao kukutumia Kama ni cha kutoka nje ya nchi unaweza ukakisoma kwa soft copy baada ya kununua? Na pia, Kama kuna mtu anajua hivi vitabu Chemistry demystified 2nd edition vinapatikana wapi hapa Tanzania anijulishe.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…