Wahuni na mafisadi wanampago wa kuzima mtandao ili kufanya uchafuzi wao gizani, wameona kuwa mitandao itaeneza haraka mipango ya maandamano, kura fake, rushwa katika uchafuzi huo, na uonevu na matendo ya kinyama ya poliCCM dhidi ya raia Wema
Naona hawa wahuni na mafisadi wanajipalia Mkapa...